Israel ataanzisha mashambulizi makubwa mara tu Donald Trump atakapoanza Rasimi Uongozi wake hapo January

Allah huyu huyu aliyekula kona wakati watu wake wanapewa kichapo
Connection ya Allah huwezi kuijua wew ambaye humtambui nabii Ayoub A S alipoteza kila kitu na ugonjwa akakimbiwa na kila Mtu, alichomuomba Allah ni ulimi angalau ulimi wake ubaki aweze kuomuomba je alikua ameachwa!? Wana wa Israel walifanyia unyama kila mtoto wa kiume alichinjwa na wao kukatwa viungo Kwa kupishanisha je Mungu alikua kawaacha,?

Most of you hamuelewi Mola anafanyaje kazi ndio maana mtu akipata shida kidogo anatapatapa mara Kwa waganga, mara anahama kanisa kiujumla ukiyapa thamani sana maisha ya Dunia utakua disappointed TU utake usitake, shetani ana umri mrefu zaidi kuliko wewe, na Hana matumaini zaid yako wew hivyo hajali maisha Yako.

Waislam katka history wameshatwangana vita nyingi mno na Kuna nyingine wamepigwa vibaya Kuna nyingine wamekimbiwa na baadhi ya wanajeshi vitani mpambano yakiendelea, Kuna nyingine walishinda Kwa wanajeshi wachache mno dhidi ya kundi kubwa. Hivyo kuachwa na Allah Hilo sahau huo ni mtihani Kam ilivyo mithani mingine Kama ugonjwa,umaskini, utajiri,elimu kubwa,kutokuwa na elimu,kuuguza usijekukata tamaa na rehma za Mwenyezi Mungu Kwa kua hajakujibu maombi Yako Kwa wakati Kwa kua yeye anajua zaidi ni muda Gani na majibu Gani unastahili muda upi Kuna wengine wanamaombi tofauti na unavyotarajia hivyo Mungu hujibu ulichoomba au hukuletea kilicho bora zaidi. Yapo mengi ya kuandika
 
Kumbe Quran ndio inawafundisha hivi? Maana yake ni kwamba duniani hapa hakuna amani kwa mujibu wa uislam na ndio maana popote mlipo ni kuendekeza vurugu na kuchinjana

Na mm nasema mzidi kuchinjwa ili muwahishwe huko peponi mnakoamini pia wale wanaowauwa mfano IDF inabidi muwashukuru maana wanawapeleka huko iliko amani.
Hujaona mistari ukitaka amani unapewa? Nakuhakikishia bila hizi harakati Uislam ungefutiliwa mbali na Illuminatis wametuandama mno
 
Brother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams
Allah huyu huyu magaidi wanapayuka wakimtaja taja wanapoteka wanawake na watoto waisrael na kuua watu hovyo hovyo
 
Umeona nikochokisema?.
Nimeona lakini siku zote vita haitoi solution ya muda mrefu hapo PATA vurugika mno tel avivi wala Gaza hapatakalika matukio ya kisasi yataongezeka hivyo wao wafanye Kwa kutarajia matokea
 
Amani Iko peponi huwezi kuishi Kwa amani na mtu anayetaka vita, Uislam una discipline yake wametaka ceasefire wamepewa, wameanza upya watapelekewa tena
Israel imeshtukia hiyo ceasefire ya kinafiki mkizidiwa hezbollah wanaingia ceasefire huku silaha zinaenda kufichwa msikitini na ndege za iran zinapeleka silaha kwa hezbollah ndio maana israel kazilipua
 
Amani Iko peponi huwezi kuishi Kwa amani na mtu anayetaka vita, Uislam una discipline yake wametaka ceasefire wamepewa, wameanza upya watapelekewa tena
Sasa mbona mnasemaga uislamu ni dini ya amani na huku tunaona waislamu ndio watu wenye fujo duniani mfano Alshababu, bokoharamu, Iss, hamas, hezbollah, alqaida?
 
Allah huyu huyu magaidi wanapayuka wakimtaja taja wanapoteka wanawake na watoto waisrael na kuua watu hovyo hovyo
Kisasi ni haki ya muislam ukichinjiwa mtoto nawe chinja mtoto, mtu nzima Kwa mtu mzima lakin kusamehe ni bora zaid na Kuna malipo ya thawabu.
 
Sasa mbona mnasemaga uislamu ni dini ya amani na huku tunaona waislamu ndio watu wenye fujo duniani mfano Alshababu, bokoharamu, Iss, hamas, hezbollah, alqaida?
Uislam sio dini ya amani ni dini ya haki. Lakini tunatakiana amani kila tunapopishana na kukutana, Assalam Aleykum au Shaloom Kwa walokole
 
Tatizo unakaririshwa, to correct you six day war, US hakuwa anatoa msaada wa kijeshi yet hakushiriki hiyo vita. By the CIA nguvu zao walikuwa wameelekeza eastern europe

Unajua nchi ya kwanza kuiuzia israel silaha za kivita?
Ufaransa , nchi ya kwanza kabisa ku support israel. Japokuwa haikupeleka wanajeshi wake. Lakini waliwauzia israeli silaha mbali mbali
Vita wakapigana wenyewe
USA ilishiriki kiintelijensia na kisilaha pia.
Na ndio maana aliyeikataza Israel isiendelee na airstrike Syria ni rais wa Marekani Lyndon Baines Johnson.
Alitishia kukatisha msaada wa kijeshi kama Israel itaendelea na mashambulizi ya anga Syria baada ya kutoka Egypt Sinai peninsula .
 
Uislam sio dini ya amani ni dini ya haki. Lakini tunatakiana amani kila tunapopishana na kukutana, Assalam Aleykum au Shaloom Kwa walokole
Uislam ni dini ya amani na haki pia.
Ikibidi kuitafuta haki basi amani itavunjwa kwanza.
 
Sasa mbona mnasemaga uislamu ni dini ya amani na huku tunaona waislamu ndio watu wenye fujo duniani mfano Alshababu, bokoharamu, Iss, hamas, hezbollah, alqaida?
Kuna sababu ya Fujo kote huko uliposema Fujo haizuki from no where Hata hapa Tanzania tungekua Serious na mambo ya kiserikali Tungeshachapana vibaya mno kutokana na upumbafu na dhulma zinazoendelea
 
Ndugu zangu Ayatollah, najua mnafurahia makubaliano ya kusitisha vita, ila nawapa Pole.

Hivi kweli Israel anawadanganya nanyie mnaingia King?

Alafu Trump naye akawazuga, Et ohoo nitasitisha vita Gaza??.. yaan Trump aloitambua Jerusalemi kama mji Mkuu wa Israel?

Subirini, sahizi Israel inapokea SILAHA tu ,mtakubali wenyewe, lipigo Cha mwakani, US atahusika
Hakuna jipya hapo.
Hata kama wampee silaha lukuki ila Hizbollah,Hamas na Houthi hakuna atakayeweka silaha chini.
Pasi na kusahau hadi sasa Baab Al mandib imeshikiliwa na Houthi.
Israel na washirika wakizidi kukaza fuvu nao waarabu wakiongozwa na muajemi watakaza bichwa zaidi.
 
Connection ya Allah huwezi kuijua wew ambaye humtambui nabii Ayoub A S alipoteza kila kitu na ugonjwa akakimbiwa na kila Mtu, alichomuomba Allah ni ulimi angalau ulimi wake ubaki aweze kuomuomba je alikua ameachwa!? Wana wa Israel walifanyia unyama kila mtoto wa kiume alichinjwa na wao kukatwa viungo Kwa kupishanisha je Mungu alikua kawaacha,?

Most of you hamuelewi Mola anafanyaje kazi ndio maana mtu akipata shida kidogo anatapatapa mara Kwa waganga, mara anahama kanisa kiujumla ukiyapa thamani sana maisha ya Dunia utakua disappointed TU utake usitake, shetani ana umri mrefu zaidi kuliko wewe, na Hana matumaini zaid yako wew hivyo hajali maisha Yako.

Waislam katka history wameshatwangana vita nyingi mno na Kuna nyingine wamepigwa vibaya Kuna nyingine wamekimbiwa na baadhi ya wanajeshi vitani mpambano yakiendelea, Kuna nyingine walishinda Kwa wanajeshi wachache mno dhidi ya kundi kubwa. Hivyo kuachwa na Allah Hilo sahau huo ni mtihani Kam ilivyo mithani mingine Kama ugonjwa,umaskini, utajiri,elimu kubwa,kutokuwa na elimu,kuuguza usijekukata tamaa na rehma za Mwenyezi Mungu Kwa kua hajakujibu maombi Yako Kwa wakati Kwa kua yeye anajua zaidi ni muda Gani na majibu Gani unastahili muda upi Kuna wengine wanamaombi tofauti na unavyotarajia hivyo Mungu hujibu ulichoomba au hukuletea kilicho bora zaidi. Yapo mengi ya kuandika
Kwa mujibu wa hadith za Qur'an iliyotokea pangoni
 
USA ilishiriki kiintelijensia na kisilaha pia.
Na ndio maana aliyeikataza Israel isiendelee na airstrike Syria ni rais wa Marekani Lyndon Baines Johnson.
Alitishia kukatisha msaada wa kijeshi kama Israel itaendelea na mashambulizi ya anga Syria baada ya kutoka Egypt Sinai peninsula .
Msaasa mkubwa ulitoka france, nchi ya kwanza kabisa kuuzia israel ndege vita. US by then walikuwa wakichangia political and economic help, but hawakuchangia silaha mwanzoni kwa vita
Us walianza kuingiza silaha baada ya france ku stop ku supply silaha israel

France walioweka embargo juu ya israel, ndio US aka step up, by then vita vilianza kuelekea mwishoni. Na israel alikuwa ana silaha nyingi kuweza kujitegemea wakati huo

Why france, rais wa wakati huo alianza kuishutumu israel juu ya aggretaion wanayofanya kwa kuchukua kushambulia maeneo kadhaa.
Na hiyo ikaleta mvutano mkubwa kupelekea UN kuingilia kati, wataki huo UN ilikuwa powerful na kujitoa kwa mataifa ya kiarabu yalikuwa in direct confortation with israel
so si rais wa US per say.
 
Kwa kiasi uko sahihi mkuu ila umeteleza uliposema USA ilianza ku supply silaha mwishoni noop si kweli.
USA ilianza kutoa silaha tangu 1965-1966 vifaru na ndege za Skyhawk.
Na hili lilikuja baada ya Soviet kuanza kusupply silaha uarabuni hususan Egypt kwa Gamal Ambdel Nasser.
Kuna makubaliano waliingia sijayapata vema nikiyapata nitayaleta mkuu,ambayo yalikua yanazuia millitary power expansion katika mataifa ya middle east,Sasa Soviet ku supply silaha ikaonekana kama wamekiuka nao USA wakakubali kuwauzia Israel silaha hususan vifaru vya M48A3 na ndege za A-4 skyhawks japo zipo zilizotolewa kwa msaada wa vifurushi kama Ukraine kuanzia 1965 kuja hadi mwaka wa vita.
 
Magaidi ya Hamas yameanza makubaliano na Fatah ili kuiachia Gaza Strip huenda ndio Wanasarenda hivyo😂maongezi yameanza huko Cairo🤣🤣

Saudi Arabia imesema itaijenga upya Gaza Strip lakini bila Magaidi wa Hamas. Mwisho wa Hamas umefika.
 
Cha kushangaza zaidi ni taifa ambalo nyinyi warokole mnasema ni teule wa Mungu linategemea silaha za Marekani kujilinda badala ya kutegemea maombi kujilinda.
Kama mnaona Israel inafaidi sana nanyie tafute tafuteni washirika mkabiliane dhidi ya Israel, kumbe kinachowauma ni Israel kusaidiwa na marekani!!
 
Back
Top Bottom