Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,438
- 4,053
Mateka waliochwa leo kutoka kwa hamas wameonekana wakiwa kwenye afya nzuri hali inayoashiria walikua sehemu salama na walikua wakiishi vizuri, tofauti na wapalestina waliochwa kutoka jela za waisrael ukiwaona tu unajua wametoka kwenye mateso.
Huu ni mfano bora kuwa waislamu ni watu wema, na Mazayuni mungu awalaani wao ndio chanzo cha matatizo yote haya.
Huu ni mfano bora kuwa waislamu ni watu wema, na Mazayuni mungu awalaani wao ndio chanzo cha matatizo yote haya.