Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Wanaumoja sana baina yao na wakiamua jambo lao huwa hawateterki wanalisimamia kikamilifu na kwa gharama yoyote ile.Lipo wazi wayahudi ni wabaguzi, ila sijui watu wanawasaport kwa lipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaumoja sana baina yao na wakiamua jambo lao huwa hawateterki wanalisimamia kikamilifu na kwa gharama yoyote ile.Lipo wazi wayahudi ni wabaguzi, ila sijui watu wanawasaport kwa lipi
(.......lakini uislam unakataa kumtesa mwanamke thus ... hvo) i.e Mwanamke ni special case sio?Watoto wa mungu hawapiti au watakupopoa watasema unajua kule nazareti yesu sijui alisema kawakamateni muwatese sijui ujinga gani lakini uislam unakataa kumtesa mwanamke thus ukawaona wako hvo
Most probably Yes.Hamas wamewapiga miti vizuri mpaka wakadevelop Stockholm syndrome (Ugonjwa wa Stockholm)
Aisha alivyo pigwa paipu na pedophile Muhammad akiwa na miaka 9 ni special case au?(.......lakini uislam unakataa kumtesa mwanamke thus ... hvo) i.e Mwanamke ni special case sio?
Namaanisha kwamba inaonekana wenzetu wanammaindi sana mwanamke. Kwa mfano wameonesha wanawake kwenye picha na kusifia kwamba walikuwa wanatunzwa vizuri. Sasa je, mbona hawakuonesha mwanaume hata mmoja- inamaana hawakuwepo kati ya walioachiwa???Aisha alivyo pigwa paipu na pedophile Muhammad akiwa na miaka 9 ni special case au?
Aisha Toka miaka 6 Muhammad analala nae wakiwa uchi wa nyama uki pedophile Muhammad akiwa na miaka 54 ni special case au?
Pamoja na msaada ila madeni ni mengi sanaSawa na Israel itachukua miaka 50 mpaa wajipate walivyo kuwa kabla ya vita.
Hela nyingi imemwagww kwa walokole ili kuwapa promo has kwa dunia ya tatu has kupitia christian zionistLipo wazi wayahudi ni wabaguzi, ila sijui watu wanawasaport kwa lipi
Mfungwa ama detenee .. ww ndo uliowafungaUdini umejaa hadi akili zenu zimefubaa na mnashindwa kutofautisha kati ya mfungwa na mtu aliyetekwa.
Hamas ilikamata watu wasiyo na hatia na ilikuwa ni jukumublao kuhakikisha wanakuwa salama.
Israel inaachia wafungwa ambao wengi walikuwa na makosa ya mauaji na ndo maana wengine wanahamishiwa Egypt hawarudi Gaza wala West Bank.
Mshangazi tenaBro usisahau alienda kutoa posa akiwa na miaka 6 mzee. Usitetee uzinz kaka. Kwamba Iraq ndipo watoto wanavunja ungo mapaema dunian sio? Usisahau pia mtume alilelewa na lishangazi kaka.
Kwani yule mama tajiri aliyemuoa alikuwa na miaka mingapi na mzee baba alikuwa na miaka mingapi? Umario haujaanza leo mzeeMshangazi tena
Mtu anayehutumikia kifungo cha maisha Jera kwa kosa la kuua siyo mfungwa?Mfungwa ama detenee .. ww ndo uliowafunga