Uwezi jua faida ukitazama kwa jicho la taifa teule!!!! Unatakiwa kwanza ujue lengo la HAMAS kuvamia lilikuwa nini jibu lilikuwa kupata mateka waisrael swali wanini jibu HAMAS iliwabidi watafute mateka waki Israel asa wanajeshi w IDF ili iweze kuwatumia kuwakomboa wapalestina zaid ya elf 10000+ wanaoteswa kwenye jela za Israel ukamatwaji wake awa wapelestina ni sawa na kuwateka tu kibri cha ukoloni wa israel kuwatisha kuwanyanyasa wapalestina wakate tamaaa ya kudai ardhi yao,,, HAMAS walipofanikiwa kuwapata mateka waisrael ili wafanye ubadilishanaji na ndugu zao wapalestina Netanyahu aligoma kuwatoa wapalestina akatangaza vita ili kwenda kuwakomboa meteka waisrael akufanikiwa kukomboa zaid ndio vifo vya wapalestina wengi lkn pia askari IDF wengi wamekufa uchumi wa israel umezolota dunia imeilani israel ICC inamsaka Netanyahu .mwisho Netanyahu baada kutokufanikiwa kupata mateka ndio ivo kaja mezani upya kama walivotaka HAMAS nakupewa waisrael uku yeye akitoa wapalestina kwakua wapalestina wapo wengi mateka 10000+ uku mateka waisrael wapo 200+ so wapalestina wakataka muisrael 1 kwa wapalestina 50. Kike kiume 1 kwa 30 pale apo kazi kwako kujua nani kashindwa,,.