Watu wanaamini propaganda za mazayuni tu, ila wale jamaa hawana shida ni waislamu safi.Kiukweli hilo jambo limenishangaza, mabinti wamenawiri sana tofauti na mateka wallioachiwa kutoka Israel wamekonda na wanaonekana kuwa na matatizo ya akili!
Ila Israel hili suala la kusitisha vita limewaumiza sana. Unaweza kuona wanavyochelewesha kuwaachia mateka, na hata leo baada ya kuwaachia wakawapiga risasi!Watu wanaamini propaganda za mazayuni tu, ila wale jamaa hawana shida ni waislamu safi.
Hii vita yao walishasomana wanajuana vizuri sana, pamoja na kuwaachia mateka bado Israel hawajui wanatokea wapi!Alqassam released a clip the 4 female Israeli soldiers exchanged today speaking Arabic and thanking Alqassam brigades:
Wale maluuni ni watu wa fujo hii ceasefire haitodumu kule lebanon wamesema hawatatoka ndani ya lebanon baada ya muda wa makubaliano kuisha maana yake hezbollah akirespond tu vita vinaanza upya yaani wao ni fujo fujo tu ila asiyejua anaona kama wao ndo hua wanaanzwa.Ila Israel hili suala la kusitisha vita limewaumiza sana. Unaweza kuona wanavyochelewesha kuwaachia mateka, na hata leo baada ya kuwaachia wakawapiga risasi!
Kabisa mabinti wako vizuri na hawawezi kuwapa interview ya live kwa sababu watawasifia hamas😂Hii vita yao walishasomana wanajuana vizuri sana, pamoja na kuwaachia mateka bado Israel hawajui wanatokea wapi!
Nimeipenda video, mabinti wanawaka MaashAllah!
Mtume Muhammad (SAW) Alisisitiza huruma kwa mateka na ndio wanafuata mpaka keshoKiukweli hilo jambo limenishangaza, mabinti wamenawiri sana tofauti na mateka wallioachiwa kutoka Israel wamekonda na wanaonekana kuwa na matatizo ya akili!
Walisha pigwa miti sana hadi wamezoea wakawa wanagombea kupigwa mitiKabisa mabinti wako vizuri na hawawezi kuwapa interview ya live kwa sababu watawasifia hamas😂
Sawa na Israel itachukua miaka 50 mpaa wajipate walivyo kuwa kabla ya vita.Itachukia miaka 16+ kuijenga Gaza mpya.
Wanafuata misingi na mafundishoKabisa jamaa ni waislamu safi mashaallah
Mayahudi wao hawahitaji amani kwa sababu wanajiona so special wanataka wamdictate kila mtu aliyewazunguka usipokubaliana nao basi ni vitaBaadae Wamkamate Netanyahu kwa uuaji wa halaiki Genocidal actions.
Kuna katoto ka Palestina kameuwawa 1hr before ceasfire. Inauma sana.
Tuyombe ceasefire iwe na mashiko, kuna watu wanateseka, hata kwa kuona picha tu za wanaoteseka.
Lebanon ceasefire agreement inasema baada ya siku 60 wawe wameshaondoka ndani ya lebanon now wanasema hawataweza kuondoka lebabon after sixty days maana yake hezbollah akirespond vita inaanza tenaBaadae Wamkamate Netanyahu kwa uuaji wa halaiki Genocidal actions.
Kuna katoto ka Palestina kameuwawa 1hr before ceasfire. Inauma sana.
Tuyombe ceasefire iwe na mashiko, kuna watu wanateseka, hata kwa kuona picha tu za wanaoteseka.
Wewe angalia thamani yao. Muisrael mmoja sawa na wapalestina 50! Yaani wamebadilishana waisrael 4 magaidi 200.Kiukweli hilo jambo limenishangaza, mabinti wamenawiri sana tofauti na mateka wallioachiwa kutoka Israel wamekonda na wanaonekana kuwa na matatizo ya akili!