Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Bwana Ezra amesema kuwa vurugu nyingine zinasababishwa na vijana wanaotoa hotuba za chuki dhidi ya wengine.
Aidha ametoa wito kwa vijana kuwa mabalozi wazuri wa amani na kuhakikisha kuwa wanashiriki kuzuia hotuba za chuki.
Aidha ametoa wito kwa vijana kuwa mabalozi wazuri wa amani na kuhakikisha kuwa wanashiriki kuzuia hotuba za chuki.