Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.
===
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.
Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.
Unawasifia kwa utekaji sio?Intelijensia kali kuliko zote duniani (MOSSAD) wameshindwa kugundua mateka walipo kwenye kamji kadogo kama Kigamboni?
Kweli tulidanganywa sana na propaganda za mabeberu kuhusu Mazayuni.
Asante HAMAS, HEZBOLLAH, Yemen pamoja na Iran kwa kuufumbua macho ulimwengu.
Walitaka wawakaange kidogo sasa mmeshakaangikaSasa wameamua kuwapa pesa wapalestine ili wawapate raia wao kwann tangu mwanzo wasifanye Dili ili kuachiwa watu wao kunanini wamekiona kigumu adi wamwage mipesa kwa magaidi sindio wanavyowaita lkn dunia imejua GAID nani ndio mana ktk dunia wanaishi kwa kutegemea polisi yani ww ukauwe vitoto vichanga njiti wamama afu upende wa pili unawauwa wajeda wako tu. Afu unataka Dunia ikuamini ŵw sio GAID japo unauwa vitotoʻ vichanga haaaa kwenye msafala wa Mamba kenge awakosekani kwaiyo wapo kenge wataamino Gaid uyu anaeuwa Wanajeshi. Sio uyu anaeuwa watoto misukule kama iyo utoipata kwa wazungu ila uku kwetu est afrika haaa wamejaaa.
Intelijensia kali kuliko zote duniani (MOSSAD) wameshindwa kugundua mateka walipo kwenye kamji kadogo kama Kigamboni?
Kweli tulidanganywa sana na propaganda za mabeberu kuhusu Mazayuni.
Asante HAMAS, HEZBOLLAH, Yemen pamoja na Iran kwa kuufumbua macho ulimwengu.
Overrated in at which rate??Wameshindwa kuwaokoa Jeshi la isreal is over rated mwaka mzima mnapigana na wana mgambo mlio waxingira sehemu ndogo kama kigamboni,na mnashindwa kupata matekwa wenu.
Ahhaha nyie ndio definition ya laana
Mnanuka damu
Mnanuka mauaji
Nyie ni matapeli
Kama wapo nje ya Gaza watapatikana vipi?Wameshindwa kuwaokoa Jeshi la isreal is over rated mwaka mzima mnapigana na wana mgambo mlio waxingira sehemu ndogo kama kigamboni,na mnashindwa kupata matekwa wenu.