Israel imeahidi kitita cha Tsh Bilioni 13.2 ($5M) kwa yeyote atakayesaidia kurudisha mateka kutoka Gaza

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.

===

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.

Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.

Screenshot_20241119-111104.png

Screenshot_20241119-110728.png
 
Intelijensia kali kuliko zote duniani (MOSSAD) wameshindwa kugundua mateka walipo kwenye kamji kadogo kama Kigamboni?

Kweli tulidanganywa sana na propaganda za mabeberu kuhusu Mazayuni.

Asante HAMAS, HEZBOLLAH, Yemen pamoja na Iran kwa kuufumbua macho ulimwengu.
 
Maguvu ya jesh yameshindwa galama ya kuwasaka imekuwa kubwa ndani y Jesh lao na awajafanikiwa uku wanazika wajeda wao uku wao wanauwa watu ovyo ovyo kias Dunia imedhidi kuwachukia kias mashabiki wao wanalidwa na polisi wazungu wenzao awawataki kias polisi wakae katikati mm sijawai ona timu ya mpila kila ikicheza inabidi walidwe mashabiki wao tena ni ULAYA uko uko. JE wale walioliita taifa Alamu wana maono ya kuona mbali juu y Taifa ili la Israel kwann watu duniani wanalipinga?
 
Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.

===

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.

Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.

Omba omba anapotangaza kitita kutokea kwenye bakuli ..
 
Intelijensia kali kuliko zote duniani (MOSSAD) wameshindwa kugundua mateka walipo kwenye kamji kadogo kama Kigamboni?

Kweli tulidanganywa sana na propaganda za mabeberu kuhusu Mazayuni.

Asante HAMAS, HEZBOLLAH, Yemen pamoja na Iran kwa kuufumbua macho ulimwengu.
Unawasifia kwa utekaji sio?
 
Sasa wameamua kuwapa pesa wapalestine ili wawapate raia wao kwann tangu mwanzo wasifanye Dili ili kuachiwa watu wao kunanini wamekiona kigumu adi wamwage mipesa kwa magaidi sindio wanavyowaita lkn dunia imejua GAID nani ndio mana ktk dunia wanaishi kwa kutegemea polisi yani ww ukauwe vitoto vichanga njiti wamama afu upende wa pili unawauwa wajeda wako tu. Afu unataka Dunia ikuamini ŵw sio GAID japo unauwa vitotoʻ vichanga haaaa kwenye msafala wa Mamba kenge awakosekani kwaiyo wapo kenge wataamino Gaid uyu anaeuwa Wanajeshi. Sio uyu anaeuwa watoto misukule kama iyo utoipata kwa wazungu ila uku kwetu est afrika haaa wamejaaa.
 
Walitaka wawakaange kidogo sasa mmeshakaangika
 
Intelijensia kali kuliko zote duniani (MOSSAD) wameshindwa kugundua mateka walipo kwenye kamji kadogo kama Kigamboni?

Kweli tulidanganywa sana na propaganda za mabeberu kuhusu Mazayuni.

Asante HAMAS, HEZBOLLAH, Yemen pamoja na Iran kwa kuufumbua macho ulimwengu.
Wameshindwa kuwaokoa Jeshi la isreal is over rated mwaka mzima mnapigana na wana mgambo mlio waxingira sehemu ndogo kama kigamboni,na mnashindwa kupata matekwa wenu.
Overrated in at which rate??

Unataka liwe perfect kiasi gani

Mwanaume anapigana vita na tapeli watatu kwa wakakti mmoja alafu. Unamlinganisha na upeo wa akili yako.

Acha utapeli
 
Wameshindwa kuwaokoa Jeshi la isreal is over rated mwaka mzima mnapigana na wana mgambo mlio waxingira sehemu ndogo kama kigamboni,na mnashindwa kupata matekwa wenu.
Kama wapo nje ya Gaza watapatikana vipi?
 
Back
Top Bottom