Israel imeahidi kitita cha Tsh Bilioni 13.2 ($5M) kwa yeyote atakayesaidia kurudisha mateka kutoka Gaza

Israel imeahidi kitita cha Tsh Bilioni 13.2 ($5M) kwa yeyote atakayesaidia kurudisha mateka kutoka Gaza

Washagundua Hamas hawana Mateka, Mateka wameshikiliwa na wadau ambao walikabidhiwa na Sinwar sasa Sinwar kadedishwa ni fursa iliyoje kuipoteza kwa wadau washika harufu ya pesa... and unaambiwa unapewa getpass kwenda nchi yeyote kuishi hata Vatican hahahahaha
 
😆😆😆😆 it's just a shame

IDF wameshindwa Kazi Hiyo sindio tafsiri yake , Ule Ubora tuliokuwa tuna ambiwa kuwa Israel ni hatari uko wapi !!! Leo wanatolewa kamasi na Wana mgambo
Magaidi wamekufa zaidi ya elf 40 pamoja na viongozi wao wakuu
 
Mayahudi ni bure kabisa! Baada ya kufanya uharibifu mkubwa wa kubomoa majengo na kuua watu hovyo, bado mpaka leo eti wameshindwa kutambua walipo ndugu zao!!

Hopeless kabisa! Hilo dau la hela sasa si wangelitangaza tangu mwanzo! Badala ya kutumia nguvu nyingi, kuliko akili!
Wamewakaanga wapalestina ili wasirudie tena ugaidi wa Oct 7
 
Nyau inatapa tapa, yeye mwenyewe kakoswa na drones na bado. Ikiwa Kuna mashujaa duniani ni Hamas.

Hakuna mateka Tena, tuzungumzie mizoga tu
 
Magaidi wa Israel wana askari dhaifu sana ndo wanataka vita na Iran?
 
Ujue sio kazi rahisi kudhibiti makundi unayoyaita ya wapigania Uhuru ambayo yapo ndani ya nchi iliyo huru i.e. ni Ironical kusema kwamba unapigania Uhuru ilhali upo ndani ya nchi Huru. Makundi hayo huko kwingine ndo wanayaita makundi ya kigaidi. Mtindo wao wa mapambano ni ule wa chini ya magugu "Guerrilla warfare." kama ilivyo kwa HAMAS ni tofauti na kupigana na jeshi linaloeleweka/rasmi kama ilivyo kwa Hezbollah. Hilo lipo karibu dunia nzima e.g. huko Mexico, Serikali toka muda mrefu inapambana na magenge ya wauza madawa ya kulevya lakini bado haijafanikiwa. Kwa mantiki hiyo hatushangai kwa Israel.
Nchi ya Palestina imevamiwa na majangili ambao ni Wayahudi toka Poland
 

Attachments

  • IMG_20241112_013239.jpg
    IMG_20241112_013239.jpg
    63 KB · Views: 2
Back
Top Bottom