Israel imeahidi kitita cha Tsh Bilioni 13.2 ($5M) kwa yeyote atakayesaidia kurudisha mateka kutoka Gaza

Tupo nao huku mtwara hao mateka.
 
Nakupeni orodha ya watu ambao ukimpata hata mmoja tu hilo zoezi anakwenda kulikamilisha mchana wa saa nane tena ndani ya dakika chache kabisa!

Tom Cruise (jack reacher)
Dolph Lundgren (
Sylvester Stallone (rambo)
Arnold Schwarzenegger (
Michael Jay White (
Scott Edward Adkins (
Salman Khan (pathaan)
John Abrams(force)
Vidyut Jamwal (force)
Tiger Shroff (war)
Shah Rukh Khan (pathaan)
Hrithik Roshan (war)
Agent Bavo
Yule mnyakyusa wa kwenye (Mlinzi)
Tom Mkongo


List ni ndefu kwakweli lakini hebu anzeni na hiyo kamateni yeyote mtakayeona anafaa kati yao pelekeni akaokoe wattu huko, watatesekaje watu kizembe hivyo wakati nguvu kazi imejaa kona zote za dunia!? Hapana aisee...
Haiwezekani watuoneshe uwezo mkubwa kiasi kile halafu kwenye majanga halisi wanapoteana wamejificha kama hawaoni kinachoendelea

KAMATA PELEKA HATA IKIBIDI MTUMIE NGUVU
 
Aaaa basi nishakosa kazi tena
Dah! Pole sana rafiki yangu ila kwa sasa nenda K/K kajitolee kuokoa na ndani ya hayo masaa 24 tuliyopewa "Bonus" unaweza kujipatia ka kibarua humo. Charity begins at Home.
 
Dah! Pole sana rafiki yangu ila kwa sasa nenda K/K kajitolee kuokoa na ndani ya hayo masaa 24 tuliyopewa "Bonus" unaweza kujipatia ka kibarua humo. Charity begins at Home.
Kk tutaokoa nini sshv.......dizain kama mambo yameisha
 
Sasa kama wao wameshindwa Hawa wengine watawezea wapi....shirika lao si ndo linaongoza kwa ujasusi🤠🤠🤠
 
Hiii ni aibu kubwaaaa mnooo kwa jeshi ...sasa hata hao mateka wakipatikana msije na Uzi wa kusifia mosad hapa
 
Silaha haijaasaidia?
 
Mayahudi ni bure kabisa! Baada ya kufanya uharibifu mkubwa wa kubomoa majengo na kuua watu hovyo, bado mpaka leo eti wameshindwa kutambua walipo ndugu zao!!

Hopeless kabisa! Hilo dau la hela sasa si wangelitangaza tangu mwanzo! Badala ya kutumia nguvu nyingi, kuliko akili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…