Walipita wapi kutoroshwa nje ya Gaza.Kama wapo nje ya Gaza watapatikana vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipita wapi kutoroshwa nje ya Gaza.Kama wapo nje ya Gaza watapatikana vipi?
Mkuu naomba unieleza utakua unazijua vizuri.Wewe upo majohe , unafamu kona za gaza zote????
Tupo nao huku mtwara hao mateka.Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.
===
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.
Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.
Lakini hii ni kwa raia wa Gaza sio kwa waBongo mun'zehee.Wacha niingie kazini
OK; OK roja. nimekusoma. Malipo yanaandaliwa - ova and out.Tupo nao huku mtwara hao mateka.
Aaaa basi nishakosa kazi tenaLakini hii ni kwa raia wa Gaza sio kwa waBongo mun'zehee.
Anawapelekea moto mashoga wavaa pedoLaana zinamtesa huyo SATAN NYAU
Dah! Pole sana rafiki yangu ila kwa sasa nenda K/K kajitolee kuokoa na ndani ya hayo masaa 24 tuliyopewa "Bonus" unaweza kujipatia ka kibarua humo. Charity begins at Home.Aaaa basi nishakosa kazi tena
Kk tutaokoa nini sshv.......dizain kama mambo yameishaDah! Pole sana rafiki yangu ila kwa sasa nenda K/K kajitolee kuokoa na ndani ya hayo masaa 24 tuliyopewa "Bonus" unaweza kujipatia ka kibarua humo. Charity begins at Home.
Sasa kama wao wameshindwa Hawa wengine watawezea wapi....shirika lao si ndo linaongoza kwa ujasusi🤠🤠🤠Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.
===
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.
Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.
Halafu ukiwatonya na wakifanikiwa 100% wanakuja kwako kukupoteza ili usiwe unawadai.🐒Sasa kama wao wameshindwa Hawa wengine watawezea wapi....shirika lao si ndo linaongoza kwa ujasusi🤠🤠🤠
Anawapelekea moto mashoga wavaa pedo
Hiii ni aibu kubwaaaa mnooo kwa jeshi ...sasa hata hao mateka wakipatikana msije na Uzi wa kusifia mosad hapaWakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.
===
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.
Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.
Silaha haijaasaidia?Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.
===
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.
Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.
Mayahudi ni bure kabisa! Baada ya kufanya uharibifu mkubwa wa kubomoa majengo na kuua watu hovyo, bado mpaka leo eti wameshindwa kutambua walipo ndugu zao!!Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.