Israel imeanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iran muda huu

Kuanzia mwaka 1948, order ya dunia ilikuwa inaongozwa na Marekani na dunia ilitulia sana kiasi kuwa standard za maisha katika sehemu nyimgi za dunia ilianza kupanda. Baada ya Marekani kushindwa kuongoza order ya dunia tena na kuwa America First, tutakumbana na haya mambo kwa wingi sana. Rais wa sasa wa Marekani ni chanzo cha haya mambo! Marekani itashindwa vibaya sana kwenye vita hii, tofauti na iwapo rais angekuwa mtu kama George H. W. Bush, JFK, au Dwight Eisenhower.
 

Kweli kabisa na pale Iranian uwepo wa uyu Ayatollah Dogo Dogo kwasasa Dunia itachangamka zaidi!!
Umemuuwa Babake kikakitili Mtoto kwasasa anamiliki Makombora ya ali ya juu.

Tutegemee mechi kubwa zaidi sio poa kabisa👈
 
Trump ni mwehu, yaan mtu anishambulie nyumbani kwangu alafu unanifunga mikono nisi retaliate huo ni upumbavu
 
Kweli kabisa na pale Iranian uwepo wa uyu Ayatollah Dogo Dogo kwasasa Dunia itachangamka zaidi!!
Umemuuwa Babake kikakitili Mtoto kwasasa anamiliki Makombora ya ali ya juu.

Tutegemee mechi kubwa zaidi sio poa kabisa👈
We pimbi kweli matako wewe,wameanzishiwa kichapo Iran huyo dogo anahara huko we unajamba tu humu
 
Kwa hali hii hivi vita vitachukua mda mrefu sana kumalizika na tutegemee athari kubwa zaidi kwenye sekta ya mafuta kote duniani
 
Naunga mkono hoja ijapokuwa candidate wote wa republican ni kama wanafana George bw bush na Trump siioni tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…