Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Peleka moto haswaaaa
😁😁😄😄😄 Nilitaka kumjibu hivi hiviHata yakitoka humuhum nchini hayawezi kuuzwa kwa bei Hiyo. Ccm ni laana.
Haiwezekani,na hii ndio kitu ambacho IRAN anapiganiaNilisoma makala moja ya BBC kuna nchi afrika mafuta yanauzwa chini ya dola moja kama Sudani kwan hatuwez kutoa huko??
Mkuu, ipo wazi hivi vita vina athari kubwa kwa uchumi wa dunia, kama ingewezekana wamaliza haya matatizo yao ingekuwa vyema zaidi, hali ni mbaya.Akili imewajia sasa hivi na mmeacha ushabiki sasa baada ya ugumu wa Maisha sio?
🤪😂😆😊🤣😃Kwani iyo Dola mbili kwa pesa ya tz ni kiasi gani??
Yawahishe kwa mabikraIsrael inaishambulia Iran muda huu kama kujibu mashumbulizi ya iran ambapo, chombo Cha habari cha Israel cha chanel 14 kimeripoti kuwa milipuko ya mabomu imesikika muda huu nchini Iran katika jiji la Tehran
View attachment 3603345View attachment 3603346View attachment 3603347
Nani alisema anahitaji faida hapo?km hoja ya kipuuzi itajibiwa kipuuzi tu no mercy.Acha kupiga nyundo hoja za watu, unapotukana watu unapata faida gani
Naunga mkono hoja ijapokuwa candidate wote wa republican ni kama wanafana George bw bush na Trump siioni tofauti
🤪😂😆😊🤣😃
Apo sawa👍