Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Duuuuuh. Lada taaamini kama ningeona hata kapichaaMkuu, mbona kwenye vita huwa kuna bajeti ya mambo kama hayo? Kumbuka ndani ya jeshi kuna kila fani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuuh. Lada taaamini kama ningeona hata kapichaaMkuu, mbona kwenye vita huwa kuna bajeti ya mambo kama hayo? Kumbuka ndani ya jeshi kuna kila fani.
Taifa la Mungu ! Nakuabudu Israel
Nimesema kwamba zipo fani nyingi au tuseme vitengo vingi ndani ya jeshi; na kimojawapo ni kikosi cha ujenzi e.g. madaraja, barabara, viwanja n.k. Sasa ndg. yangu picha ntaitoa wapi?. Mm sina.Duuuuuh. Lada taaamini kama ningeona hata kapichaa
Israel anapowaua Wapalestina na kuchukua Ardhi yao siyo fujo!nenda kaabudu allah wenu anaewafundisha fujoo
Kabisa ndugu ndicho kinachofwata.Kama Israel wameanza kujenga barabara watajenga na nyumba zao za kuishi
Wameporwa tena? kwani ni Yao alafu sio Wapalestina ni Arabs immigrants from Egypt.. Hamna History yeyote inayosema Gaza ni ardhi ya Waarabu.. Ulislam ulivamia maeneo mengi middle east.. even Madina ulikuwa ni Jewish Business hub City.. Mudy alikimbilia kuomba hifadhani then akaondoka alipopata nguvu akajawaua na wengine wakakimbia, ndio wapumbavu wanadhania Israel anaonea watu ni chake even Allah anajua na kujidai yeye ndie alimpa Mussa...Kabisa, Wapalestina wanaporwa tena ardhi yao na dunia imebakia kimya.
Nani alikufundisha Historia... wazani vita huwa zinazuka tu enh... Kosome Quran utajua hiyo ardhi ni ya NaniIsrael anapowaua Wapalestina na kuchukua Ardhi yao siyo fujo!
Wapo kwenye mashimoIsraeli imeweza vipi kujenga barabara bila hamas kuwafyatulia mabomu?
Yes! Unapiga, unabomoa mazagazaga yao waliyojijengea hapo halafu unajenga kitu kilicho nyooka hapo na unakalia eneo hilo ili kuhakikisha ustaarabu na utulivu vinatamalaki. Daadek. 😳Hii safi Sana unapiga,kubomoa na kujenga haya magaidi ya kiislamu hayana maana.