Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kilichoipata Israel kutokana na kipigo cha Iran ni siri kubwa japo kidogo kidogo ukweli unaanza kujitokeza.
Marekani imesema makombora 9 ya ballistic hayakushikika na yalitua kwenye kambi mbili nyeti za jeshi la Isreael.
Kati ya hayo makombora matano yalipiga kambi ya Nevatim kwenye jangwa la Negev na kuharibu ndege moja ya mizigo ya C-130 pamoja na kuipiga njia ya kurukia ndege na kuharibu jengo moja la kuhifadhia vifaa.