Israel imekubali 3% ya makombora ya Iran yalipiga kambi mbili za jeshi. Yaliyodunguliwa sasa ni 97% tu

Wakiua watoto lazima tutasema.Pamoja na hayo Israel sio kama ile mliyoisifia.
Iko hali mbaya kiusalama.
Hapana kiongozi mimi sijaisifia Israel na nachukia wanavyofanya gaza Kwa sasa wanaumiza watu ila kiuhalisia/ukweli Kwa pale middle east hakuna mtu anaemuweza huyo jamaa kivita/technology
 
Kibaya zaidi vita vyote vya middle east mara nyingi huchanganya raia na Askari wote wanapigwa tofauti kama vya Ukraine wanaotumia wengi ni Askari zaidi
 
Hapana kiongozi mimi sijaisifia Israel na nachukia wanavyofanya gaza Kwa sasa wanaumiza watu ila kiuhalisia/ukweli Kwa pale middle east hakuna mtu anaemuweza huyo jamaa kivita/technology
Hao wayahudi feki bila msaada wa kifedha na kiulinzi wa marekani na ulaya ni weupe hata Burundi wanajipigia..
Eti teknolojia!wameitoa wapi wakati kila kitu wanapewa msaada na wazungu wenzao..
 
Yaani hata kwamba ameshindwa na Hamas na Hizbullah bado hujaona kuwa hana hizo nguvu tena za kupigana na middle east.
Miezi 6 nini kimemfanya asiweze kuwashinda Hizbullah na watu wanaopata shida wakarudi majumbani kwao.Au kuwakamata viongozi wa Hamas na kuitawala Gaza.
 
Hao wayahudi feki bila msaada wa kifedha na kiulinzi wa marekani na ulaya ni weupe hata Burundi wanajipigia..
Eti teknolojia!wameitoa wapi wakati kila kitu wanapewa msaada na wazungu wenzao..
Apo middle east hiyo Israel ndo anaesimama Kwa niaba ya hao wazungu wote kuanzia ulinzi na kila kitu na ndiye wanamuamini wenyewe apo muda wote kwa masilahi yao,Hao waarabu wengine ni vibaraka tu na wanabadilika muda wowote..kwa gharama yoyote lazima wampe kila kitu kumlinda Israel ndo maana nikasema apo middle east hakuna wa kusimamia na Israel vitani
 
Hiyo equation inaparaganyika safari hii baada ya Iran kuingia kati.
Itakuwa ni vurugu tupu mpaka kila mmoja ataomba yaishe.
 
AFU KUMBE MAKOMBORA YENYEWE NI MAPYA YALIKUWA KWENYE MAJARIBIO TU,YALITENGENEZWA NA WANAFUNZI WA CHUO WAKATI WA FIELD.
Na bado yamefanya kazi kama hiyo.Iran anayo kwa maelfu mengine anapeleka Yemen.
 
Israel asitafute huruma ya mataifa anachokoza
Alianza uchokozi miaka mingi na watu walipokaa kimya akawaona ni mabwege.
Kumbuka mara ngapi imepiga maeneo ya maslahi ya Iran ndani ya Syria,na mara ngapi imepiga mpaka Iran na kuua wataalamu wake muhimu kama wa nyuklia.
Mara ngapi wameuwa viongozi wa Palestina ndani ya Gaza na kwengineko.Na mara ngapi wameunajisi msikiti mtakatifu wa Alqsa.Mara ya mwisho ni muda mfupi kabla ya shambulio la oktoba 7.
 
Israel walipowauwa wale watalaamu wa mambo ya Nyuklia na Iran kukaa kimya wakajua tukifanya kitu chochote hawa jamaa hawatafanya kitu kitendo cha kupiga bomu Ubalozi ni kosa kubwa sana Nentanyau kafanya na ndio maana anaogopa kurudisha kisasi maana yeye ndio mkorofi anajua kabisa atatengeneza vita yenye madhara makubwa kuliko hiyo ya Hamas...
 
Back
Top Bottom