Israel imekubali 3% ya makombora ya Iran yalipiga kambi mbili za jeshi. Yaliyodunguliwa sasa ni 97% tu

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Kilichoipata Israel kutokana na kipigo cha Iran ni siri kubwa japo kidogo kidogo ukweli unaanza kujitokeza.

Marekani imesema makombora 9 ya ballistic hayakushikika na yalitua kwenye kambi mbili nyeti za jeshi la Isreael.

Kati ya hayo makombora matano yalipiga kambi ya Nevatim kwenye jangwa la Negev na kuharibu ndege moja ya mizigo ya C-130 pamoja na kuipiga njia ya kurukia ndege na kuharibu jengo moja la kuhifadhia vifaa.

Israel admits Iranian ballistic missiles struck two military bases

 
Mm baada ya kuona povu limekuwa kubwa kutoka kwa wale mazayuni na vikao visivyoisha nikajua tu Hawa wamegongwa pabaya....yule Balozi wao kule UN alivyoanza kutoa speech yake na kutaka kuwagombanisha Iran na Waislamu wte ulimwenguni kwa kuonesha namna viroketi vyao vikivyokuwa vinajitahidi kuzuia drones juu ya Masjid Al Aqsa na kutoa kauli kwamba Iran hawawaheshimu hata hao waislamu nikasema Hawa sio bure kwa kulia huku kuna jambo limewakuta🤠🤠🤠...sifa ya kwanza ya mzayuni ni Uongo...ya pili ni kujifanya muhanga wa Kila kitu....ya tatu ni mtafuta huruma kwlikwli....Sasa hzi namba zitaendelea kubadilika tu....waingie uwanjani tuone mbinyano...waache manenomaneno
 
raisi wa Iran ameapa kujaribu kuipiga Iran hata kidogo tu basi wataipiga Israel isivyotarajiwa.
 
Walisema hamna kitu,,,,,wanabana wanaachia......na hizo sehemu zilizopigwa ndo zilikua target zenyewe ,yale madude mengine yalikua yakuzubaisha tu hizo air defense
Sawa Meja Kunta.
 
AFU KUMBE MAKOMBORA YENYEWE NI MAPYA YALIKUWA KWENYE MAJARIBIO TU,YALITENGENEZWA NA WANAFUNZI WA CHUO WAKATI WA FIELD.
 

Wakionekana MK254, Moisemusajiografii au wale wengine nguli hapa, tuelezane waungwana.
 
Baadaye huwa hamkawii kuanza kulia ohooo UN,iko wapi mbona kuna mauaji ya haraiki huku!!gaza mmelia weee wala dunia haiwasikii kwani mlianza wenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…