Israel imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60 - Trump

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
srael imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60, Trump anasema

Israel imekubali "masharti ya lazima" ili kukamilisha usitishaji vita wa siku 60 huko Gaza, Rais wa Marekani Donald Trump amesema.

Wakati wa makubaliano yaliyopendekezwa, "tutafanya kazi na pande zote kumaliza Vita", Trump alisema katika chapisho kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth Social, bila kuelezea masharti ni nini.

"Waqatar na Wamisri, ambao wamefanya kazi kwa bidii sana kusaidia kuleta Amani, watatoa pendekezo hili la mwisho. Natumai... kwamba Hamas itayakubali Makubaliano haya, kwasababu hayatakuwa mazuri – MAMBO YANAWEZA TU KUWA MABAYA ZAIDI," Trump aliandika.

Israel ilianzisha kampeni ya kijeshi huko Gaza baada ya shambulio la Hamas la tarehe 7 Oktoba 2023 dhidi ya Israel, ambapo takriban watu 1,200 waliuawa. Takriban 56,647 wameuawa huko Gaza tangu wakati huo, kulingana na wizara ya afya ya eneo hilo inayoendeshwa na Hamas.

Haijabainika mara moja iwapo Hamas itakubali masharti ya kusitisha mapigano.

Tangazo la Trump linakuja kabla ya mkutano na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu uliopangwa kufanyika wiki ijayo, ambapo rais huyo wa Marekani amesema atakuwa "atakuwa na msimamo thabiti".

Rais wa Marekani alisema Jumanne kwamba anaamini Netanyahu anataka kumaliza uhasama huko Gaza.
 
Iran mzee wa kuwapelekea moto hao kenge
Moto gani hivi kobazi huwa mna akili timamu Iran amezika magenerali,wanasayansi, na raia 600 wameuawa bado nuklia zimelipuliwa kwa Israel watu 28 wameuawa na manyumba kubomolewa sasa iran kapeleka moto gani au yeye ndio kapelekewa moto
 
Nani kakuambia mimi ni kobazi? Wewe ndio hauna akili timamu rudi kajielimishe kwanza
 
srael imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60, Trump anasema

Israel imekubali "masharti ya lazima" ili kukamilisha usitishaji vita wa siku 60 huko Gaza, Rais wa Marekani Donald Trump amesema.

Wakati wa makubaliano yaliyopendekezwa, "tutafanya kazi na pande zote kumaliza Vita", Trump alisema katika chapisho kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth Social, bila kuelezea masharti ni nini.

"Waqatar na Wamisri, ambao wamefanya kazi kwa bidii sana kusaidia kuleta Amani, watatoa pendekezo hili la mwisho. Natumai... kwamba Hamas itayakubali Makubaliano haya, kwasababu hayatakuwa mazuri – MAMBO YANAWEZA TU KUWA MABAYA ZAIDI," Trump aliandika.

Israel ilianzisha kampeni ya kijeshi huko Gaza baada ya shambulio la Hamas la tarehe 7 Oktoba 2023 dhidi ya Israel, ambapo takriban watu 1,200 waliuawa. Takriban 56,647 wameuawa huko Gaza tangu wakati huo, kulingana na wizara ya afya ya eneo hilo inayoendeshwa na Hamas.

Haijabainika mara moja iwapo Hamas itakubali masharti ya kusitisha mapigano.

Tangazo la Trump linakuja kabla ya mkutano na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu uliopangwa kufanyika wiki ijayo, ambapo rais huyo wa Marekani amesema atakuwa "atakuwa na msimamo thabiti".

Rais wa Marekani alisema Jumanne kwamba anaamini Netanyahu anataka kumaliza uhasama huko Gaza.
Kwani israel haijawamaliza hamasi miaka yote.....halafu israel ni puppet wa America
 
Israel akipata kibonde, anakung'ang'ani hataki kabisa mambo ya ceasefire, ila akipata baunsa.... 🤣🤣🤣
 
Kwani israel haijawamaliza hamasi miaka yote.....halafu israel ni puppet wa America
Tulikuwa tunawambia wakanisa hapa siku zote Israel hana lolote ni mtumwa wa Europe na America anatumiwa tu. Wa kanisa ohh sijui taifa teule labda taifa la mikundu yao.
 
Back
Top Bottom