Israel siyo wajinga kiasi hicho, wao wanajua wanachokifanya, umeongea kweli mateka watakuwa wametawanywa katika vikundi, changamoto itakayouwa mateka ni ukosefu wa chakula, huko watakuwa wanagawana kipande Cha mkate na magaidi, Israel kama ingeona haiwezi huo mziki ingetumia USA ashinikize mpaka mateka wapatikane.
Mpaka kuingia vitani inajua inachokifanya na matunda yake yataonekana, pia ukumbeke Kuna magaidi ya Hamas yameshadakwa mengi sana na wanafanyiwa interrogation, madogo wengine wameshaanza kutoa Siri za Hamas kutumia ambulance na hospital, hata walipo mateka watasema tu.
Mateka watapatikana wengi wakiwa wamekufa, Hamas ndo kwaheri, baada ya vita kuisha lazima bunge la Israel lishinikize Netanyahu, waziri wa ulinzi, waziri wa vita, mkuu wa mossad, mkuu wa shibet wajiuzuru kwenye nafasi zao kwa kushindwa kuzuia shambulizi la Hamas la 7 October 2023.