Wewe punguani kweli mweye uwezo wa kufanya hivyo ni Mungu tu isiwe na akili za kishoga.Waponze wenzio. Israel inataka kuwatumia hao mateka kama kigezo cha kuwamaliza gaza, yani kuacha msururu wa makaburi, walemavu wa kutisha na umasikini uliotukuka.
Magaidi akili zipo? wao hawakuuwa watoto Israel? au kuchanganyikiwa kwa kipigo?Naandika jina lako vita ikiisha nitakuuliza "yako wapi uliyoyasema"
Kuuwa watoto kwenye incubators ndiyo ushujaa wa magaidi wa Israel.??
Mtaendelea kufa Gaza hadi akili zenu zirudi sahivi mnaondolewa kwa nguvu na kuswekwa barabarani bila msaada wowote, Hamas mbona haibuki kutoka shimoni kusaidia mji unachukuliwa na wenyewe dahWewe punguani kweli mweyewe uwezo wa kufanya hivyo ni Mungu tu isiwe na akili za kishoga.
Maandamano hayo Israel wanataka ndugu zako waliotrkwa wewe endelea kujitibu UTI
Muisael mwesi wa Tukuyu anatamba huku anaumwa UTI.Mtaendelea kufa Gaza hadi akili zenu zirudi sahivi mnaondolewa kwa nguvu na kuswekwa barabarani bila msaada wowote, Hamas mbona haibuki kutoka shimoni kusaidia mji unachukuliwa na wenyewe dah
Endelea kusifia ujinga wakati Gaza inaendelea kugeuzwa vumbiJapo waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu baada kuona ukweli amesema wameshazungumza na Hamas ili wawaachie mateka inaowashikilia. Hata hivyo kwa sasa Hamas hawawezi kukubali hadaa.
Mwanzoni mwa vita mwezi uliopita Israel walikataa masharti mepesi ili kuachiwa kwa mateka hao ambayo waliyapuuza wakiamini katika ukali wa silaha zake. Katikati ya vita nafasi ilitolewa tena kwa kuachiwa idadi fulani na bado wakapuuza.
Ilipofikia sasa si rahisi tena kwa mateka hao kupatikana hai. Hivyo Netanyahu atakuwa amebeba lawama kutoka kila upande wa dunia na kutoka kwa raia zake.
Ugumu wa kupatikana kwa mateka hao kwanza ni kuwa hawakuwekwa sehemu moja kama kambi ya wakimbizi. Waligawanywa vikundi vidogo vidogo kila kikundi na muangalizi wake. Katika hali ya kuwepo vifaru ndani ya Gaza haitakuwa rahisi kuwakusanya kutoka maeneo walipo kwa wepesi.
Kwa upande mwengine baada ya Israel kusababisha uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu ya Gaza wapiganaji wa Hamas hawatopenda kutoa zawadi kwa Jeshi la Israel kwa kuwakabidhi mateka hao halafu wabaki wao wawindwe ili kuuliwa. Kama ni kuuliwa wao basi wataamua wafe pamoja na mateka wao ili kusitokee sinema nyengine ya kusifu ushujaa wa makomandoo wa IDF ambao tayari ukamandoo huo umeshaingia dosari.
Hali ikimalizika kwa namna hiyo ni wazi itakuwa Israel haikutimiza malengo yao yoyote. Fikra ya kuimega Gaza haitofanikiwa kwa namna kadhaa. Pamoja na kupingwa kwa fikra hiyo kutoka kwa washirika wa Israel baada ya kuona ukweli. Waungaji mkono wa Palestina watakuwa wakipata nguvu siku baada ya siku watakapoona shida zitakazowapata wapalestina milioni 2.3 kuminywa kwenye eneo dogo ambapo tayari watu wameanza kulalamika kuwa hawapati nafasi ya hata kulala vizuri kwenye migongo yao kutokana na msongamano kwenye maeneo waliyopelekwa.
Kawachangie wajane wenzio kwanza,ostaz si nasikia dini yako ya kigaidi ndio dini ya kweli, sasa mbona unatuletea uwongo wako hapa jf, hii peleka kwa magaidi wenzio huko msikitini, Netanyahu shujaa kiboko cha magaidi wanaojificha kwa allah
Neta hawezi ongea na panya walio chini ya ardhi, Israel sio Tanzania ostaz hawawezi vunja miiko waliojiwekea wa kutobagain na magaidi, vita imekuwa ngumu kwenu magaidi sasahivi ni kujitungia uwongo tu kila dakika
Anachowaza Neta ni kuimiliki gaza, na sio ujinga wenu huo, mmekuwa mkipiga kelele ceasefire dunia nzima, mmekuwa mkitengeneza video za kuonesha watoto wanauliwa mara wanawake nani hasikie hayo? kaaeni hivyo chini ya ardhi panya nyie allau akbarriiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwezi unakatika,Hamas hata kifaru hawana 🤣🤣🤣ostaz si nasikia dini yako ya kigaidi ndio dini ya kweli, sasa mbona unatuletea uwongo wako hapa jf, hii peleka kwa magaidi wenzio huko msikitini, Netanyahu shujaa kiboko cha magaidi wanaojificha kwa allah
Neta hawezi ongea na panya walio chini ya ardhi, Israel sio Tanzania ostaz hawawezi vunja miiko waliojiwekea wa kutobagain na magaidi, vita imekuwa ngumu kwenu magaidi sasahivi ni kujitungia uwongo tu kila dakika
Anachowaza Neta ni kuimiliki gaza, na sio ujinga wenu huo, mmekuwa mkipiga kelele ceasefire dunia nzima, mmekuwa mkitengeneza video za kuonesha watoto wanauliwa mara wanawake nani hasikie hayo? kaaeni hivyo chini ya ardhi panya nyie allau akbarriiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Afrika ni shamba lao la malighafi.Mbona huulizi kwann Marekani hakupeleka meli za kivita Darfur.??
Au tuambie kwann hakuna anayeleta uzi wa "Yanayoendelea Darfur"?
Majibu yatakufanya ubadilike.
Kuingia vitani ni panic tuIsrael siyo wajinga kiasi hicho, wao wanajua wanachokifanya, umeongea kweli mateka watakuwa wametawanywa katika vikundi, changamoto itakayouwa mateka ni ukosefu wa chakula, huko watakuwa wanagawana kipande Cha mkate na magaidi, Israel kama ingeona haiwezi huo mziki ingetumia USA ashinikize mpaka mateka wapatikane.
Mpaka kuingia vitani inajua inachokifanya na matunda yake yataonekana, pia ukumbeke Kuna magaidi ya Hamas yameshadakwa mengi sana na wanafanyiwa interrogation, madogo wengine wameshaanza kutoa Siri za Hamas kutumia ambulance na hospital, hata walipo mateka watasema tu.
Mateka watapatikana wengi wakiwa wamekufa, Hamas ndo kwaheri, baada ya vita kuisha lazima bunge la Israel lishinikize Netanyahu, waziri wa ulinzi, waziri wa vita, mkuu wa mossad, mkuu wa shibet wajiuzuru kwenye nafasi zao kwa kushindwa kuzuia shambulizi la Hamas la 7 October 2023.
Kauli hii imetoka kwa kima mmoja toka SimanjiroMtaendelea kufa Gaza hadi akili zenu zirudi sahivi mnaondolewa kwa nguvu na kuswekwa barabarani bila msaada wowote, Hamas mbona haibuki kutoka shimoni kusaidia mji unachukuliwa na wenyewe dah
Kichwa chako kina ombwe kubwa lilijaa ka cabbage (ujinga) na ni mzigo kwa shingoostaz si nasikia dini yako ya kigaidi ndio dini ya kweli, sasa mbona unatuletea uwongo wako hapa jf, hii peleka kwa magaidi wenzio huko msikitini, Netanyahu shujaa kiboko cha magaidi wanaojificha kwa allah
Neta hawezi ongea na panya walio chini ya ardhi, Israel sio Tanzania ostaz hawawezi vunja miiko waliojiwekea wa kutobagain na magaidi, vita imekuwa ngumu kwenu magaidi sasahivi ni kujitungia uwongo tu kila dakika
Anachowaza Neta ni kuimiliki gaza, na sio ujinga wenu huo, mmekuwa mkipiga kelele ceasefire dunia nzima, mmekuwa mkitengeneza video za kuonesha watoto wanauliwa mara wanawake nani hasikie hayo? kaaeni hivyo chini ya ardhi panya nyie allau akbarriiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa sikuelewi akili yako kabisa, unakaa kushabikia watu wanauana kwa mbwembwe kabisa, ulitakiwa uwe unafunga na kusali kuomba vita viishe, wacha ulimbukeni na ujinga!Japo waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu baada kuona ukweli amesema wameshazungumza na Hamas ili wawaachie mateka inaowashikilia. Hata hivyo kwa sasa Hamas hawawezi kukubali hadaa.
Mwanzoni mwa vita mwezi uliopita Israel walikataa masharti mepesi ili kuachiwa kwa mateka hao ambayo waliyapuuza wakiamini katika ukali wa silaha zake. Katikati ya vita nafasi ilitolewa tena kwa kuachiwa idadi fulani na bado wakapuuza.
Ilipofikia sasa si rahisi tena kwa mateka hao kupatikana hai. Hivyo Netanyahu atakuwa amebeba lawama kutoka kila upande wa dunia na kutoka kwa raia zake.
Ugumu wa kupatikana kwa mateka hao kwanza ni kuwa hawakuwekwa sehemu moja kama kambi ya wakimbizi. Waligawanywa vikundi vidogo vidogo kila kikundi na muangalizi wake. Katika hali ya kuwepo vifaru ndani ya Gaza haitakuwa rahisi kuwakusanya kutoka maeneo walipo kwa wepesi.
Kwa upande mwengine baada ya Israel kusababisha uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu ya Gaza wapiganaji wa Hamas hawatopenda kutoa zawadi kwa Jeshi la Israel kwa kuwakabidhi mateka hao halafu wabaki wao wawindwe ili kuuliwa. Kama ni kuuliwa wao basi wataamua wafe pamoja na mateka wao ili kusitokee sinema nyengine ya kusifu ushujaa wa makomandoo wa IDF ambao tayari ukamandoo huo umeshaingia dosari.
Hali ikimalizika kwa namna hiyo ni wazi itakuwa Israel haikutimiza malengo yao yoyote. Fikra ya kuimega Gaza haitofanikiwa kwa namna kadhaa. Pamoja na kupingwa kwa fikra hiyo kutoka kwa washirika wa Israel baada ya kuona ukweli. Waungaji mkono wa Palestina watakuwa wakipata nguvu siku baada ya siku watakapoona shida zitakazowapata wapalestina milioni 2.3 kuminywa kwenye eneo dogo ambapo tayari watu wameanza kulalamika kuwa hawapati nafasi ya hata kulala vizuri kwenye migongo yao kutokana na msongamano kwenye maeneo waliyopelekwa.
Mkuu huu uzi mwingine 🤣🤣🤣😂😂 mwaka huu utakufa mapema kwa stress wakati HAMAS wenzio wanakula bata DohaJapo waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu baada kuona ukweli amesema wameshazungumza na Hamas ili wawaachie mateka inaowashikilia. Hata hivyo kwa sasa Hamas hawawezi kukubali hadaa.
Mwanzoni mwa vita mwezi uliopita Israel walikataa masharti mepesi ili kuachiwa kwa mateka hao ambayo waliyapuuza wakiamini katika ukali wa silaha zake. Katikati ya vita nafasi ilitolewa tena kwa kuachiwa idadi fulani na bado wakapuuza.
Ilipofikia sasa si rahisi tena kwa mateka hao kupatikana hai. Hivyo Netanyahu atakuwa amebeba lawama kutoka kila upande wa dunia na kutoka kwa raia zake.
Ugumu wa kupatikana kwa mateka hao kwanza ni kuwa hawakuwekwa sehemu moja kama kambi ya wakimbizi. Waligawanywa vikundi vidogo vidogo kila kikundi na muangalizi wake. Katika hali ya kuwepo vifaru ndani ya Gaza haitakuwa rahisi kuwakusanya kutoka maeneo walipo kwa wepesi.
Kwa upande mwengine baada ya Israel kusababisha uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu ya Gaza wapiganaji wa Hamas hawatopenda kutoa zawadi kwa Jeshi la Israel kwa kuwakabidhi mateka hao halafu wabaki wao wawindwe ili kuuliwa. Kama ni kuuliwa wao basi wataamua wafe pamoja na mateka wao ili kusitokee sinema nyengine ya kusifu ushujaa wa makomandoo wa IDF ambao tayari ukamandoo huo umeshaingia dosari.
Hali ikimalizika kwa namna hiyo ni wazi itakuwa Israel haikutimiza malengo yao yoyote. Fikra ya kuimega Gaza haitofanikiwa kwa namna kadhaa. Pamoja na kupingwa kwa fikra hiyo kutoka kwa washirika wa Israel baada ya kuona ukweli. Waungaji mkono wa Palestina watakuwa wakipata nguvu siku baada ya siku watakapoona shida zitakazowapata wapalestina milioni 2.3 kuminywa kwenye eneo dogo ambapo tayari watu wameanza kulalamika kuwa hawapati nafasi ya hata kulala vizuri kwenye migongo yao kutokana na msongamano kwenye maeneo waliyopelekwa.
Mlifuata nini israel October 07....????Naandika jina lako vita ikiisha nitakuuliza "yako wapi uliyoyasema"
Kuuwa watoto kwenye incubators ndiyo ushujaa wa magaidi wa Israel.??
Waislamu waafrika ni wanafiki.Mbona huulizi kwann Marekani hakupeleka meli za kivita Darfur.??
Au tuambie kwann hakuna anayeleta uzi wa "Yanayoendelea Darfur"?
Majibu yatakufanya ubadilike.
Hakuna udhaifu.Ila katika udhaifu aliowahi kuuonesha Israel kwenye issue ya kuwakomboa Mateka, hii imetia fora. Israel hajawahi kushindwa namna hii kwenye suala la kuwakomboa watu wake wanaoshikiliwa na vikundi kama Hamas. Ni Mataifa mawili (2) tu Duniani (Israel na Urusi)huwa hawana utamaduni wa kukubali matakwa ya Watekaji. Safari hii kama anawataka wakiwa hai watu wake waliotekwa na Hamas itabidi wakubali kukaa mezani, endapo mambo yataendelea kuwa kama yalivyo.
Yeah tunapiga tu hakuna cease fireHadi sasa ripoti ya Hamas inasema mateka 60 wameuliwa kwa mashambulizi ya Israel. Na Israel analijua hilo moja ya jambo ambalo huwa si mshabiki wake ni kutumia mateka ili magaidi wapate nusura mara nyingi hu sacrifice wafe ili bargaining isiwepo
Mshindi HAMAS 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpaka hapa mshindi ameshajulikana.Hutaki kumtaja tu.