Israel imepata hasara. Hawawezi kuwaokoa mateka 230. Walitamani watoke na sinema nyengine ya Uganda

Vp tamko la Hezbollah bado ijumaa haijafika 😂🤣🤣🤣🤣
 
Sasa kama Mayahudi wanapata hasara shida Iko wapi hasa Mkuu? Mimi nilidhani ingaliluwa furaha kubwa Kwa HAMAS na ulimwengu wa Kiarabu?
 
Wew haya yote umeyajuaje? Hemu tuambie pia hao mateka leo wamekula nn lunch huko walikopelekwa kwenye vikundi vidogo vidogo?
 
Ni kipi chanzo cha habari hiyo.
Anasema PM " vita itaendelea hata kama tutatengwa na ulimwengu wote"
Baada ya vita kuisha tutakuwa na wajibu wote wa usalama wa gaza"
Chanzo
Aljazira, BBC.
CNN
 
Naam umeandika vyema sana mkuu.

Haya tudadavulie yanayojiti Darfut hukk. Maana tumeshupaza shingi na mavita yasiyotuhusu na kuacha kipiga kelele dhidi ya vita zinazoendelea Afrika
Sisi tunafuata penye mziki mnene.Mziki uko Gaza waliko Hamas.
Moto umeripuliwa mpaka mwisho na hakuna mateka wala Hamas aliyepatikana.
Gaza kuna watu wana njaa tu na ujinga wa kupandikizwa.
 
Hamas na vikundi vingine vinavyopinga unyanyasaji, uporaji wa ardhi, mauaji, uonevu, ugaidi wa wazayuni haviwezi futika.
Kumbukeni hapo SA, MOZAMBIQUE, NAMIBIA, TANZANIA, nk nk.
Kila Mpalestina anayeuliwa, wengine kumi wanazaliwa, na wanapozaliwa tu wanafundishwa ADUI WAO NI ISRAEL
Wale walioumia, walionyanyasika na kupata madhara toka kwa Israel, mpaka wafe wataichukia na kupigana na Israel mpaka KIFO..
 
Wewe punguani kweli mweye uwezo wa kufanya hivyo ni Mungu tu isiwe na akili za kishoga.

Maandamano hayo Israel wanataka ndugu zako waliotrkwa wewe endelea kujitibu UTI
Sisi tunawapiga tu na wenzenu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…