Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

Mimi nilichopinga ni kuwa hakuna sababu ya kuvunja Msikiti ili Israel iwe Israel. Kwani kama Mungu alikuwa hawataki hao waliujenga huo msikiti, wakati wakiujenga kwani alikuwa wapi? Wokovu wetu upo Rohoni na Katika sadaka ya Yesu Kristo. Hayo mengine ya Kuvunja misikiti, kuuwa wengine kama mbwa unayajua wewe. Naijua bibilia kuliko unavyodhani. Nimeenda Shule ya Bibilia, Nimefundisha na Kuhubiri miaka zaidinya 20. Na nimeandika Vitabu 2 vya Kikristo. Najua na Kuamini Israel kama taifa lolote linahitaji kujilinda. Nisichokubali ni kuwa ati Israel imepewa mamlaka na Mungu ya kuuwa na kumwaga damu bila hatia.
Kama unajifanya mjuaji wa Biblia Imeandikwa Wazinzi wapigwe mawe, Je tufanye hivyo leo? Kama hilo halifai, kwanini kupigania ardhi na kuuana ni sawa! Na kwanini Yesu "alivunja" amri kwa kukataa kupiga mawe? Kama kuna upumbavu ulionikuta nao mimi ni hilo la kukataa kupiga mawe, kumwaga damu za wengine kwa Kisingizio cha dini. Upumbavu huo basi Nautaka.

Any one who think that his humanity has more value than that of others, based on his religion, ethnicity, wealth, education or any social grouping, such a person is dangerous and a curse among humanity.
Unaongelea umesoma theology au siyo??? Tufuate nini, theolojia na hisia au uhalisia wa neno la Mungu??? Na suala hapa so kufurahia umwagikaji damu. Ni uhalisia wa mini kimesemwa kati ya tabaka hizi mbili na Mungu. Yesu alisema akiwaambia Israel; "...kwa kuwa Siku zitakuja, adui zako watakapokujengea boma, likuzunguke; watakuzingira na kukuhusuru pande zote; watakuangusha chini wewe na watoto wako ndani yako, wasikuachie jiwe juu ya jiwe, kwa sababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako"
Lk 19:41-44
Sasa swali kwako; HUO WAKATI MUNGU ATAKUWA WAPI???
Lakini pia, ukisoma ufunuo kwa habari ya wale watakatifu ambao idadi yao itatokana na kukatwa vichwa kutokana na mateso ya kuitetea Injili, kwa nini Mungu Aache hivyo??
Na nikukumbushe tu kwamba wanaopigana hapo Mashariki ya Kati sio watu; ni 'MUNGU' na 'mungu' wa watu hao na habari ya Yesu naamini kwa wao wote ni mambo wasiyoyaamini ila pia MUNGU hajaondoa jicho lake juu ya Israeli hata sasa japo walimkataa Yesu . TUMIA VIZURI ELIMU YAKO YA DINI (MAANA ELIMU YA BIBLIA SIYO ROHO MTAKATIFU) NA USITAKE KUPOTOSHA WATU LAKINI PIA KUANDIKA VITABU SIYO LEGALITY YA KUTUPOTOSHA.
 
Unaongelea umesoma theology au siyo??? Tufuate nini, theolojia na hisia au uhalisia wa neno la Mungu??? Na suala hapa so kufurahia umwagikaji damu. In uhalisia wa mini kimesemwa kati ya Tanaka hizi mbili na Mungu. Yesu alisema akiwaambia Israel; "...kwa kuwa Siku zitakuja, adui zako watakapokujengea boma, likuzunguke; watakuzingira na kukuhusuru pande zote pande zote; watakuangusha chini wewe na watoto wako ndani yako, wasikuachie jiwe juu ya jiwe, kwa sababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako"
Lk 19:41-44
Sasa swami kwako; HUO WAKATI MUNGU ATAKUWA WAPI???
Lakini pia, ukisoma ufunuo kwa habari ya wale watakatifu ambao idadi yao itatokana na kukatwa vichwa kutokana na mateso ya kuitetea Injili, kwa nini Mungu Aache hivyo??
Na nikukumbushe tu kwamba wanaopigana hapo Mashariki ya Kati sio watu; ni 'MUNGU' na 'mungu'. TUMIA VIZURI ELIMU YAKO YA DINI USITAKE KUPOTOSHA WATU.

No! It is more Than That, me and you have an irreconcilable difference, n here is the problem

I DONT KNOW, AND I KNOW I DONT KNOW. As for you, YOU DONT KNOW, BUT YOU DONT KNOW, THAT YOU DONT KNOW.

At a miserable sitution such as this, I can try till the cows come home, It will not make a dent! Am sorry, I got other important things to do!
 
Then go and do them brother/sister...but next time come up with Biblical Points and not theological concepts/perspectives, they are not "The Holy Ghost"
 
ukibakwa na mfilisti utamfanyeje?
kwa taarifa yako mm sijipendekezi kwenye makabila ya watu eti nianze kuwapenda nani kasema ila nyie ambao mnawapenda hadi mnasema atakaye walaani na yy amelaaniwa how comes kwa mfano? eti nilaaniwe kisa muisraeli ? haipo akilini mm naamini hata awe muisraeli gani akifanya makosa ni jehanamu tu mungu hana mzaha sasa hebu nijibu swali langu ww kondoo SASA HIVI MUISRAELI KATOKEA KAKUBAKA WW UTAFANYAJE KWA KUWA MNAWASHOBOKEA SANA!
 
Hivi Bwana alishawahi kuvunja lile agano la milele na Israel? Halafu kumbe siku hizi akili za Bwana zinachunguzika? Maana naona watu wanamuelezea kana kwamba wanazijua tabia zake zote. Halafu pia hivi kumbe siku hizi Bwana siyo Bwana wa majeshi na visasi kwa wale wanaotesa wateule wake au kuwanyang'anya milki yao? Nauliza tu.
 
Israel inajiandaa na wale wanaojiita waphilisti na waungaji wao mkono akina iran, pia inajiandaa vilivyo kuhakikisha kuwa ni lazima tu ali aqsa ibomolewe na lile ni dome lao maan yamejengwa juu Mlima Moria mahali ambapo Suleman mwana wa Daudi Mfalme wa Israel alianza kuijenga nyumba ya BWANA mwaka ule wa 957 B.C tazama 2 Nyakati 3:1 halafu wapuuzi fulan wanasema eti hapo siku zote wao ndo wamekuwa wakiabudu hapo mlima Moriah, sasa ukiwauliza pindi Suleman anajenga Hekalu wao walikuwa wapi, hawana hata majibu bali kuanza matusi kwakuwa walishafundishwa kukataa ukweli kwa ajili ya faida yao wenyewe.
Na Babu yako mtemi Milambo au chifu Nyumanyika waliacha wapi mahekalu yao....mnaacha ya kwenu mnazungumzia ya wenzenu, yakwenu je wanayazungumzia hao waphilist siju kina Nani...
 
Unaonekana hata hujui historia ya Israel na ya mashariki kati kwa ujumla; si dhani kama unauelewa unabii wa Biblia juu ya Israe na siku za.mwisho; kama wewe ni mlokole basi kwahili pole sana, nenda kumuulize mchungaji wako juu ya mambo haya, muulize hekalu alilolijenga Sulemani liko wapi? na kama halipo ni nani alilibomoa tena ni lini? Je hekalu alilolikuta Yesu Kristo liko wapi? maana Biblia inasema wazi kuwa Yesu aliingia hekaluni na mafarisayo wakaanza kumuuliza maswali, je hili hekalu nani aliliboa na ni lini,

halafu tafuta kujua utofauti kati ya hekalu alilolijenga Sulemanibna lile alilolikuta Yesu. hii itakusaidia kujua nini kinaenda kutokea madhariki ya kati hasa Israel. Tafuta uhusiano wa hekalu linalotaka kujengwa na Wayahudi na ujio wa mara ya pili wa Kristo. Soma Ezekieli sura mbili hizi zote 38 na ile ya 39 kisha ujue Mungu alimwambia nini Ezekieli kuhusu Israel na siku za mwisho; tafuta kujua chanzo cha vita ya magogu na ile Arimagedoni. Basi ikiwa wewe unajaribu kuwa na huruma zidi ya wafilisti basi hiyo ni huruma yakwako wala Mungu hayumo kwenye hiyo huruma ni lazima yote yatimie yaliyoandikwa. kumbuka vita ya Israel na wafilisti ni ya tangu enzi za Joshua, Waamuzi, Samweli, Mfalme Sauli, Mfalme Daudi hadi leo hii, na mwisho wa yote hayo Israel ndiyo mshindi wa hii vita ikiongozwa na Kristo mwenyewe akiwa MFALME.

Mh! yaani uilinganishe Israel na S. Africa? nyingine ni nchi ya Agano na Ahadi tena Takatifu halafu hiyo S. Africa yako in nchi ya kawaida tu kama zilivyo nchi nyingine tu mfano
S. Sudan. Kwa miaka zaidi ys 1896 Wayahudi walisambaratishwa na Rumi mwaka 70 AD, mwaka wa 1945 baada ya WWII wakarejea sawaswa na neno la Nabii Isaya sura yote ya 54. Pole sana kwa wanaowaunga mkono wafilisti ila hawatafanikiwa hata kidogo maana mpaka mipaka yote na ardhi yote ya Israel ichukuliwe na Wayahudi kama ilivyotajwa na Mungu akimwambia Musa yaani kuanzia mto Jordan hadi milima ya goran ya Syria, hadi upande wa gaza na Yerushalayim yote bila kuigawanya ndiyo mji mkuu wa Yisrael. Hapa akina arafat, abas na wote akina yahe hawana chao.
Akishajua hayo yanamsaidiaje ktk mfumo wake wa maisha ya kila na dhiki aliyonayo....
 
Wayahudi wanamtambua kristo kama nani?
Ukristo una nafasi yoyote kwa wayahudi ?
Wayahudi wanaamini katika utatu mtakatifu ?
Msaada wa majibu ya maswali haya.
 
Huo ubabe wao hapo mashariki ya kati Marekani iko nyuma yao na wamekua wakipokea msaada wa kifedha( in billions) na kijeshi kutoka Marekani kwa miongo kadhaa sasa ndo maana ana jeuri mpaka ya kukiuka maazimio ya UN na anaua wapelistina wanyonge daily maana anajua yupo anayemlinda hivyo hicho kiburi Chao kinalindwa na wakubwa ila wao binafsi kusimama wenyewe hawawezi.
 
Unaonekana hata hujui historia ya Israel na ya mashariki kati kwa ujumla; si dhani kama unauelewa unabii wa Biblia juu ya Israe na siku za.mwisho; kama wewe ni mlokole basi kwahili pole sana, nenda kumuulize mchungaji wako juu ya mambo haya, muulize hekalu alilolijenga Sulemani liko wapi? na kama halipo ni nani alilibomoa tena ni lini? Je hekalu alilolikuta Yesu Kristo liko wapi? maana Biblia inasema wazi kuwa Yesu aliingia hekaluni na mafarisayo wakaanza kumuuliza maswali, je hili hekalu nani aliliboa na ni lini,

halafu tafuta kujua utofauti kati ya hekalu alilolijenga Sulemanibna lile alilolikuta Yesu. hii itakusaidia kujua nini kinaenda kutokea madhariki ya kati hasa Israel. Tafuta uhusiano wa hekalu linalotaka kujengwa na Wayahudi na ujio wa mara ya pili wa Kristo. Soma Ezekieli sura mbili hizi zote 38 na ile ya 39 kisha ujue Mungu alimwambia nini Ezekieli kuhusu Israel na siku za mwisho; tafuta kujua chanzo cha vita ya magogu na ile Arimagedoni. Basi ikiwa wewe unajaribu kuwa na huruma zidi ya wafilisti basi hiyo ni huruma yakwako wala Mungu hayumo kwenye hiyo huruma ni lazima yote yatimie yaliyoandikwa. kumbuka vita ya Israel na wafilisti ni ya tangu enzi za Joshua, Waamuzi, Samweli, Mfalme Sauli, Mfalme Daudi hadi leo hii, na mwisho wa yote hayo Israel ndiyo mshindi wa hii vita ikiongozwa na Kristo mwenyewe akiwa MFALME.

Mh! yaani uilinganishe Israel na S. Africa? nyingine ni nchi ya Agano na Ahadi tena Takatifu halafu hiyo S. Africa yako in nchi ya kawaida tu kama zilivyo nchi nyingine tu mfano
S. Sudan. Kwa miaka zaidi ys 1896 Wayahudi walisambaratishwa na Rumi mwaka 70 AD, mwaka wa 1945 baada ya WWII wakarejea sawaswa na neno la Nabii Isaya sura yote ya 54. Pole sana kwa wanaowaunga mkono wafilisti ila hawatafanikiwa hata kidogo maana mpaka mipaka yote na ardhi yote ya Israel ichukuliwe na Wayahudi kama ilivyotajwa na Mungu akimwambia Musa yaani kuanzia mto Jordan hadi milima ya goran ya Syria, hadi upande wa gaza na Yerushalayim yote bila kuigawanya ndiyo mji mkuu wa Yisrael. Hapa akina arafat, abas na wote akina yahe hawana chao.
. Israeli hawamtambui yesu...full stop...otherwise hujui historia...ww ni shabiki wa kuskia
 
Israel inajiandaa na wale wanaojiita waphilisti na waungaji wao mkono akina iran, pia inajiandaa vilivyo kuhakikisha kuwa ni lazima tu ali aqsa ibomolewe na lile ni dome lao maan yamejengwa juu Mlima Moria mahali ambapo Suleman mwana wa Daudi Mfalme wa Israel alianza kuijenga nyumba ya BWANA mwaka ule wa 957 B.C tazama 2 Nyakati 3:1 halafu wapuuzi fulan wanasema eti hapo siku zote wao ndo wamekuwa wakiabudu hapo mlima Moriah, sasa ukiwauliza pindi Suleman anajenga Hekalu wao walikuwa wapi, hawana hata majibu bali kuanza matusi kwakuwa walishafundishwa kukataa ukweli kwa ajili ya faida yao wenyewe.
Bwana yupi unamaanisha?
 
Wewe ni miongoni mwa kondoo waliopotea.
 
Israel hawawezi kuvunja huo msikiti. Marekani kuwapatia misaada kama hii Israel ni kawaida.
Msikiti ndugu yangu kuvunjwa ni lazima ili matukio mengine yawezekutokea, maana mpinga kristo ili aje full lazima pawepo na HQ yake na ambapo masjidi aqswa ulipo so kubomolewa na LAZIMA.
 
Sidhani kama kuna kitabu cha mungu kinaaamuru mtu au kikundi cha watu kutumia mabavu waliyonayo kumwaga damu za wengine kwa misingi ya kisiasa na maslahi ya kidunia lakini wakitumia jina la mwenyezimungu kama kivuli chao.... Eeh mola wetu watie moyo wa ujasiri, subira na ahueni wote waonewao juu ya ulimwengu kwa kutumia kivuli cha jina lako... Aamiin

MUNGU HAKUTUTUMA KUUWANA
 
Israel inajiandaa na wale wanaojiita waphilisti na waungaji wao mkono akina iran, pia inajiandaa vilivyo kuhakikisha kuwa ni lazima tu ali aqsa ibomolewe na lile ni dome lao maan yamejengwa juu Mlima Moria mahali ambapo Suleman mwana wa Daudi Mfalme wa Israel alianza kuijenga nyumba ya BWANA mwaka ule wa 957 B.C tazama 2 Nyakati 3:1 halafu wapuuzi fulan wanasema eti hapo siku zote wao ndo wamekuwa wakiabudu hapo mlima Moriah, sasa ukiwauliza pindi Suleman anajenga Hekalu wao walikuwa wapi, hawana hata majibu bali kuanza matusi kwakuwa walishafundishwa kukataa ukweli kwa ajili ya faida yao wenyewe.
Sawa mfia DINI.
Utaenda mbinguni.
Benjamin Neta.......... ni mkristo mwenzio ila sijui thehebu lake ni lipi.
Israel ni Taifa la kikristo...!!
Dini zimeletwa, wa TZ tupendane.
Sipati picha tunge tawaliwa na wahindi, wachina au MIANMAR.
I guess, Ungekua Mhindu au Budha.
 
Unaonekana hata hujui historia ya Israel na ya mashariki kati kwa ujumla; si dhani kama unauelewa unabii wa Biblia juu ya Israe na siku za.mwisho; kama wewe ni mlokole basi kwahili pole sana, nenda kumuulize mchungaji wako juu ya mambo haya, muulize hekalu alilolijenga Sulemani liko wapi? na kama halipo ni nani alilibomoa tena ni lini? Je hekalu alilolikuta Yesu Kristo liko wapi? maana Biblia inasema wazi kuwa Yesu aliingia hekaluni na mafarisayo wakaanza kumuuliza maswali, je hili hekalu nani aliliboa na ni lini,

halafu tafuta kujua utofauti kati ya hekalu alilolijenga Sulemanibna lile alilolikuta Yesu. hii itakusaidia kujua nini kinaenda kutokea madhariki ya kati hasa Israel. Tafuta uhusiano wa hekalu linalotaka kujengwa na Wayahudi na ujio wa mara ya pili wa Kristo. Soma Ezekieli sura mbili hizi zote 38 na ile ya 39 kisha ujue Mungu alimwambia nini Ezekieli kuhusu Israel na siku za mwisho; tafuta kujua chanzo cha vita ya magogu na ile Arimagedoni. Basi ikiwa wewe unajaribu kuwa na huruma zidi ya wafilisti basi hiyo ni huruma yakwako wala Mungu hayumo kwenye hiyo huruma ni lazima yote yatimie yaliyoandikwa. kumbuka vita ya Israel na wafilisti ni ya tangu enzi za Joshua, Waamuzi, Samweli, Mfalme Sauli, Mfalme Daudi hadi leo hii, na mwisho wa yote hayo Israel ndiyo mshindi wa hii vita ikiongozwa na Kristo mwenyewe akiwa MFALME.

Mh! yaani uilinganishe Israel na S. Africa? nyingine ni nchi ya Agano na Ahadi tena Takatifu halafu hiyo S. Africa yako in nchi ya kawaida tu kama zilivyo nchi nyingine tu mfano
S. Sudan. Kwa miaka zaidi ys 1896 Wayahudi walisambaratishwa na Rumi mwaka 70 AD, mwaka wa 1945 baada ya WWII wakarejea sawaswa na neno la Nabii Isaya sura yote ya 54. Pole sana kwa wanaowaunga mkono wafilisti ila hawatafanikiwa hata kidogo maana mpaka mipaka yote na ardhi yote ya Israel ichukuliwe na Wayahudi kama ilivyotajwa na Mungu akimwambia Musa yaani kuanzia mto Jordan hadi milima ya goran ya Syria, hadi upande wa gaza na Yerushalayim yote bila kuigawanya ndiyo mji mkuu wa Yisrael. Hapa akina arafat, abas na wote akina yahe hawana chao.
Aisee kumbe kuna wayahudi humu!!,
Ukristo na uyahudi kumbe vina mahusiano sawa!!
Benjamin Neta... .. ni mkristo afu ni myahudi!!
Afu kumbe Israel ni Taifa la Kikristo.
But, mbona Mh. B. Neta.....anasema israel ni taifa la kuyahudi.?
Ufafanuzi please.
 
Uyahudi(JUDAISM) sio sawa na Ukristo(CHRISTIANITY). Wayahudi wanatumia zaidi Torati (Torah) kama kitabu cha mwongozo, lakini pia wana vitabu vyao vingi tu vikiwemo vingine vilivyo katika Biblia kama Zaburi na Mithali.

Kibaya zaidi Wayahudi wanapinga sana mambo yoyote yanayomhusisha Yesu Kristo kama Mwokozi wa ulimwengu. Hata hivyo bado kuna Wana wa Israel ambao ni Wayahudi lakini ni Wakristo(JEWISH CHRISTIAN).
 
Back
Top Bottom