Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

Israel si akubali kutambua uwepo wa palestina , inakuwaje ana matatizo pekee wala hafanani na wenzie ukanda mzima.
Aliyeanza kukataa uwepo wa mwenzake ni nani? Yaani mtake kunifuta niichukue nchi kwa nguvu halafu mje niwape kiulaini? Vujeni jasho kama nilivyovuja munipokonye😆😆
 
Huko Lebanoni upinzani ni mdogo sana kuliko Gaza, tusubiri matokeo ndo tunaamini kubwa hiki kinachosemwa ni kweli, hata hamasi ilikuwa ni hivi hivi baada ya muda vilio nikaanza eti wanaua watoto.
Hezbollah walikuwa wanatumia mbinu ya vita inaitwa "appear strong than how you are". Israel ikapika dawa ya kutosha kwa Hezbollah, yaani kabla ya kuanza vita Hezbollah wakawa wameshafarakana wote, Israel inaingia na kutoka Lebanon na wakikaza vita hayo mapori hayarudi Lebanon
 
Israel anaua wanajeshi wake kijinga sana naona kama hawana mbinu za kivita kabisa na ikiwezekana warudi tu nyumbani kwao hao wanaowatafuta wamejitoa kwa lolote..
 
Israel si akubali kutambua uwepo wa palestina , inakuwaje ana matatizo pekee wala hafanani na wenzie ukanda mzima.
Wapalestina na waarabu ndiohawaitambuwi Israel wanataka kuifuta kwenye uso wa dunia,Israel wanachopinga ni wapalestina kuwa taifa kamili na wamefanya hivyo kwa sababu wapalestina hawajawakubali waisrael.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…