Wanaukumbi.
BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah.
View: https://x.com/iriran_military/status/1842370522643886275?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kuna watu walikua wanasema Hizbollah hawavai gwanda wanavaa kiraia aya
Paschal qamara
Lior
Kujeni muone gwanda za hizbollah.