mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Wanajifanya hawajuiSote tunajua hii itaishaje.
Kwanini USA anachuki na North Korea?Kila mmoja anamuita mwenzie gaidi. Cha kushangaza zaidi ni kuwa Iran haipakani na Israel lakini ina chuki tu dhidi ya Taifa hilo. Lakini hatushangai kwasababu maandiko matakatifu yaneshabainisha hii chuki na mwishowe Iran itajiunga na Urusi na Uturuki pamoja na nchi zingine za kiislamu kija kuivamia Israeli ili kutimiza azna yao ya kuifuta duniani. Lakini natokeo tatari yamesgaamuliwa. Maana badala ya kwenda kupigana wataenda kuzikwa wote ktk nchi ya Israel kwa pigo la Mungu
upinzani wa hamas pale gaza ulionekana baada ya kuanza mapigano ya mguu kwa mguu...hivi tunavyoongea israel ndo kwanza wametia maguu lebanon na cha moto kimeanza kuonekana km unavyoona,baada ya mwezi au miezi miliwi ya ground battle ndo tutakuja kupima nani mkali kati ya hamas na hezbollah...Huko Lebanoni upinzani ni mdogo sana kuliko Gaza, tusubiri matokeo ndo tunaamini kubwa hiki kinachosemwa ni kweli, hata hamasi ilikuwa ni hivi hivi baada ya muda vilio nikaanza eti wanaua watoto.
Unakuta wameuawa kirahisi sababu walijua hao ni raia tu wa kawaida, lakini ikitokea Israel imewastukia na kuwaua hao kabla mngekuja mitandaoni kusema wameua raia.
upinzani wa hamas pale gaza ulionekana baada ya kuanza mapigano ya mguu kwa mguu...hivi tunavyoongea israel ndo kwanza wametia maguu lebanon na cha moto kimeanza kuonekana km unavyoona,baada ya mwezi au miezi miliwi ya ground battle ndo tutakuja kupima nani mkali kati ya hamas na hezbollah...
kingine kumbuka hapo lebanon israel hawakuingia ghafla km pale gaza wenyewe walikiri kwa kusema walishatuma watu miezi kadhaa iliyopita ili kujua chocho za hezbolah kabla hawajatia mguu lkn naamini bado watashindwa ground battle na hezbolah kwani watu ambao hawana facilities za kutosha za kivita wao hujiimarisha zaidi kwenye mapigano ya mguu kwa mguu
Acha hasira. Mziki unakuja lazima supapawa wenu anyee debeHuyo shehe uchwara chanzo chake kikubwa cha habari waga ni masjid ubwabwa ndio maana akishaandika waga anaishia ku-comment tena mwenyewe. Bure kabisa.
Propaganda ya juzi hii tunaikumbuka.
Hii ya masaa mawili tu yaliyopita Al JazeeraPropaganda ya juzi hii tunaikumbuka.
Naam, umeniita?Samahani nje ya mada, nilitaka kusave hizi nyuzi za shangwe kama huu na zile za faizafox nabonyeza wapi? Nina matumizi nazo wiki hii haiishi...
Weka source mzee. Acha propaganda za Hitller za second Warld War.Hii ya masaa mawili tu yaliyopita Al Jazeera
Nauliza nyuzi za mtindo huu nafanyeje kuzisave??Naam, umeniita?
Tatizo nini?