Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

Kila mmoja anamuita mwenzie gaidi. Cha kushangaza zaidi ni kuwa Iran haipakani na Israel lakini ina chuki tu dhidi ya Taifa hilo. Lakini hatushangai kwasababu maandiko matakatifu yaneshabainisha hii chuki na mwishowe Iran itajiunga na Urusi na Uturuki pamoja na nchi zingine za kiislamu kija kuivamia Israeli ili kutimiza azna yao ya kuifuta duniani. Lakini natokeo tatari yamesgaamuliwa. Maana badala ya kwenda kupigana wataenda kuzikwa wote ktk nchi ya Israel kwa pigo la Mungu
Kwanini USA anachuki na North Korea?
 
Huko Lebanoni upinzani ni mdogo sana kuliko Gaza, tusubiri matokeo ndo tunaamini kubwa hiki kinachosemwa ni kweli, hata hamasi ilikuwa ni hivi hivi baada ya muda vilio nikaanza eti wanaua watoto.
upinzani wa hamas pale gaza ulionekana baada ya kuanza mapigano ya mguu kwa mguu...hivi tunavyoongea israel ndo kwanza wametia maguu lebanon na cha moto kimeanza kuonekana km unavyoona,baada ya mwezi au miezi miliwi ya ground battle ndo tutakuja kupima nani mkali kati ya hamas na hezbollah...

kingine kumbuka hapo lebanon israel hawakuingia ghafla km pale gaza wenyewe walikiri kwa kusema walishatuma watu miezi kadhaa iliyopita ili kujua chocho za hezbolah kabla hawajatia mguu lkn naamini bado watashindwa ground battle na hezbolah kwani watu ambao hawana facilities za kutosha za kivita wao hujiimarisha zaidi kwenye mapigano ya mguu kwa mguu
 
View: https://x.com/manniefabian/status/1842620298023051511/video/1

Vita ya Gaza na Lebanon ni tofauti sana.

Gaza ina wakaazo 2M ni jiji watu wa Gaza hawakuruhusiwa kukimbilia popote Kwa hiyo Israel ilikuwa inawapanga na kuwapangua,

Lebanon vita ilipo sehemu kubwa ni vijiji na mapori ambayo ni Rahisi kupiga Makombora na Silaha nzito zaidi ya yote watu wa Lebanon wanawezakukimbilia hata Uturuki na miji ya mbali na kutoa nafasi ya Askari wa Israel na Hezbollah kupigana kwa kuonana, ndio maana Hezbollah ameonekana dhaifu kutokea mwanzo
 
Huyo shehe uchwara chanzo chake kikubwa cha habari waga ni masjid ubwabwa ndio maana akishaandika waga anaishia ku-comment tena mwenyewe. Bure kabisa.
 
Unataka source kutoka BBC au CNN?
Kutoka Al Jazeera

超级截屏_20241005_210310.png
 
Back
Top Bottom