Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

Mungu yupi?, kama huyo mungu ali angamiza sodama na gomora, atashindwa leo?, mungu wa bibilia buana, si ndiye alipigana mieleka na yakobo na mungu aka chezea ki chapo?
 
Israel si akubali kutambua uwepo wa palestina , inakuwaje ana matatizo pekee wala hafanani na wenzie ukanda mzima.
palestina na waarabu ndo wakubali kumtambua myahudi kwenye ardhi yake ya asili..ukanda mzima ni waislamu ambao wanaitaka al aqsa kwa nguvu, al aqsa kulikua na hekalu la wayahudi ambalo wanataka kulijenga upya..mziki ndo upo hapo sasa.
 
Hauna akili...
 
Hakuna mahali ambapo viongozi waandamizi na makamanda wakuu wameuawa kirahisi na Israel kama wa Hezbollah, hata Hamas wameleta upinzani walau
Your browser is not able to display this video.
 

Askari wa Jamaa zako wamewekewa papuchi wanapigana Lebanon


View: https://www.instagram.com/reel/C1sJUnZrzEq/?utm_source=ig_web_copy_link
 
Hizi ble blee zinamaana gani aisee!?
Ilhali wanajeshi wa IDF 300 washalambishwa mchanga.
Au kulipua majengo ndio ushindi!?
Na usitudanganye kuwa Israel wanaingia na kutoka hapo Lebanon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…