Hata kama ni mashoga mimi hainihusu, kikubwa magaidi yapigwe tu na safari hii wameyakanyaga.Mungu ibariki israelUnataka Mungu awabariki mashoga..au na wewe ni.....? au basi..
Ninyi pigeni raia ila wanaume watapiga wanajeshi.
View: https://x.com/MOSSADil/status/1842692383135457304/mediaViewer?currentTweet=1842692383135457304¤tTweetUser=MOSSADil&mode=profile
Someone anatoa taarifa sahihi sana kwa IDF, Kituo kinachofata ni Syria
Kila mmoja anamuita mwenzie gaidi. Cha kushangaza zaidi ni kuwa Iran haipakani na Israel lakini ina chuki tu dhidi ya Taifa hilo. Lakini hatushangai kwasababu maandiko matakatifu yaneshabainisha hii chuki na mwishowe Iran itajiunga na Urusi na Uturuki pamoja na nchi zingine za kiislamu kija kuivamia Israeli ili kutimiza azna yao ya kuifuta duniani. Lakini natokeo tatari yamesgaamuliwa. Maana badala ya kwenda kupigana wataenda kuzikwa wote ktk nchi ya Israel kwa pigo la Mungu
Umeamua kujizima DataHata kama ni mashoga mimi hainihusu, kikubwa magaidi yapigwe tu na safari hii wameyakanyaga.Mungu ibariki israel
Kama hivi,,,Nauliza nyuzi za mtindo huu nafanyeje kuzisave??
Hapo sasa lazima jeshi liweke habari kama hiyo ambayo ni nzuri Kwa upande wao
Hizo zama zimepita sasa hivi waarabu wanataka kukomboa ardhi yao tena kwa vita.Mwisho wa siku kelele zitakuwa Israel amenyakua Ardhi kimabavu
Hata kama ni mashoga mimi hainihusu, kikubwa magaidi yapigwe tu na safari hii wameyakanyaga.Mungu ibariki israel
Myahudi wa Ushuzi hamna huko Nkombolelo anaripoti kutoka front line muda huu.Huko Lebanoni upinzani ni mdogo sana kuliko Gaza, tusubiri matokeo ndo tunaamini kubwa hiki kinachosemwa ni kweli, hata hamasi ilikuwa ni hivi hivi baada ya muda vilio nikaanza eti wanaua watoto.
Hizo Video ni Urusi/Ukraine War.Muisrael mweusi anaripoti kutoka IMPOMU
View: https://x.com/arnoudvdoorn/status/1842479755708273130?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Acha ushabiki unadhani islael ndugu zako? P..v..mwenyewe..Pamoja na kwamba i stand with Hezbollah ila hapa we ustadhi chogo umetunywesha chai.
Hiyo video attachment ya chini ninayo siku ya 4 sasa, acha kuleta habari za uongo pumbaffff ww
Ni ndugu ya mama yako, shoga wwAcha ushabiki unadhani islael ndugu zako? P..v..mwenyewe..
Huyo shehe uchwara chanzo chake kikubwa cha habari waga ni masjid ubwabwa ndio maana akishaandika waga anaishia ku-comment tena mwenyewe. Bure kabisa.