Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

Kila mmoja anamuita mwenzie gaidi. Cha kushangaza zaidi ni kuwa Iran haipakani na Israel lakini ina chuki tu dhidi ya Taifa hilo. Lakini hatushangai kwasababu maandiko matakatifu yaneshabainisha hii chuki na mwishowe Iran itajiunga na Urusi na Uturuki pamoja na nchi zingine za kiislamu kija kuivamia Israeli ili kutimiza azna yao ya kuifuta duniani. Lakini natokeo tatari yamesgaamuliwa. Maana badala ya kwenda kupigana wataenda kuzikwa wote ktk nchi ya Israel kwa pigo la Mungu

Hii taarifa Israel au Iran na Russia wanaijua au ni yako tu ndugu?
 
Mwisho wa siku kelele zitakuwa Israel amenyakua Ardhi kimabavu
 
My
Huko Lebanoni upinzani ni mdogo sana kuliko Gaza, tusubiri matokeo ndo tunaamini kubwa hiki kinachosemwa ni kweli, hata hamasi ilikuwa ni hivi hivi baada ya muda vilio nikaanza eti wanaua watoto.
Myahudi wa Ushuzi hamna huko Nkombolelo anaripoti kutoka front line muda huu.
 
Pamoja na kwamba i stand with Hezbollah ila hapa we ustadhi chogo umetunywesha chai.

Hiyo video attachment ya chini ninayo siku ya 4 sasa, acha kuleta habari za uongo pumbaffff ww
Acha ushabiki unadhani islael ndugu zako? P..v..mwenyewe..
 
Ni ndugu ya mama yako, shoga ww
IDF imekubali kuwa makombora ya irani yamepiga kambi za ndege za kijesh za Israel ila bado hawajafichua ukweli juu ya uharibifu wa F-35.
 
Back
Top Bottom