Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

Unaongea utumbo kama manabii wenzako wanavyoongeaga utumbo.
We unajua kwanini Iran inamchukia Israel!?
Au unabwabwaja!?
Hivi bado munasomaga post za hao manabii machizi jitu lisha jiita nabii unazani kichwani Kuna kitu umo
 
Ila source ingekuwa Israel military ikitoa takwimu za vifo vya wanamgambo wa Hezbollah ndio ungeamini?

Haki ya Mungu hizi akili sijui ni za kijiji kipi ambazo zenyewe huamini taarifa ya uapnde mmoja pekee.
Hawa wavaa msalaba hawana akili.
Yani hawajielewi kabbissa.
 
Afu tukiwambia hawa vijana wa 1=3 kuna nchi za kiarabu zinataka Israel abaki pale ili US awe anatumia nchi hio kama tools ya kuwauwa warabu, haswa wanao pinga ujinga wa hao Westerns puppets 😄

Tazama jeshi la nchi ya kiarabu lipo Gaza lina.saidia Israel.


View: https://x.com/RassdNewsN/status/1842997334692495690?t=GzQN3h7hRfn8vFStzZaRIg&s=19

Pia msikie Nyau anasema nini kuhusu warabu hao


View: https://x.com/drhossamsamy65/status/1842326443360960686?t=hyBh4yU6CD36_2R-I3mHcQ&s=19
 
Back
Top Bottom