Acha uongo, Hamas wanauliwa Kwa maelfu. Ngoja mpigwe mpaka mchakae. Si mlitaka wenyewe. Sumu haionjwi Kwa kulambwa.Mbona tunaona wanaokufa ni watoto na akinamama zaidi.
Au wewe kwa chuki zako huwaoni.
Ukiona mtu anaongelea ushoga kila saa ujue huyo ni shoga mzoefu. Kimtokacho mtu ndio kilicho ndani mwake.Wanapiga watu wasiyo na silaha yoyote na bado wanaangaika! Wale wenye silaha kama Hezbollah wanafanya kuwavizia halafu mashabiki wao wanawaita taifa teule! Labda taifa teule la mashoga.
Weka ushahidi hapa, na sio kuongopea watu. Ulishaona hamas wamevaa kiraia??Acha uongo, Hamas wanauliwa Kwa maelfu. Ngoja mpigwe mpaka mchakae. Si mlitaka wenyewe. Sumu haionjwi Kwa kulambwa.
Mbona mlichekelea Kipindi Hamas anavamia Israel October?. Ngoja wafundishwe adabu.Nawaona wayahudi weusi mkishangilia na wengine wakiwa kwenye ofisi za serikali wakichekelea ugaidi wa mzayuni.
Hivi Oct7 wakati Hamas wanavamia na kuua waisraeli hovyo na kuwashikilia mateka hadi leo hii walikua wanategemea nin?
Israel inaona sheria za kimataifa haziwezi kuwafanya wakawa salama, ni jukumu lao kuhakikisha wanafanya kila wanaloona linafaa kuhakikisha wanabaki salama
Usa ni marangapi amevunja sheria za kimataifa kulinda maslahi yake?
Ndio tutegemee ikomae kwa Israel?
Siyo elfu 20 tu ...Magaidi zaidi ya elfu 20 yameshaaga dunia,kwasasa na baadae ni somo ambalo kila wakitaka kufanya uhuni watakuwa wanajiuliza mara tatu
Kwani wakati wanakufa watoto na wakina mama waume zao wanakuwa wap??Mbona tunaona wanaokufa ni watoto na akinamama zaidi.
Au wewe kwa chuki zako huwaoni.
Mwana kulitafuta mwana kulipata acha kazi iendeleeSiyo elfu 20 tu ...
Wizara ya Afya ya Gaza inayoendeshwa na Hamas inasema idadi ya watu waliouawa katika mzozo huu hadi sasa inazidi 35,000, takwimu hizi zinajumuisha vifo vilivyorekodiwa hospitalini tu.
Pia, Umoja wa Mataifa unakadiria kiasi cha vifusi katika Ukanda wa Gaza ni karibu tani milioni 37, na miili mingi ya watu imefukiwa na kuna takribani tani 7,500 ya silaha ambazo hazijalipuka. Jambo linalowaweka hatarini waokoaji na watu wa kujitolea.
Mwana kultafuta mwana kulipata,Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
Na hao wanajeshi wa Israeli waliouawa jana baada ya kuwekewa mtego waliuawa na nani? Si mlisema kuwa wakiingia gaza wote watafyekwa, na sasa Rafah?!!Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya wa kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
Hamas walipovamia Israel, kuua, kubaka na kuchukua mateka walikuwa wanaume?Mbona tunaona wanaokufa ni watoto na akinamama zaidi.
Au wewe kwa chuki zako huwaoni.
kama kachukua rafah hiyo inatosha,kuhusu mateka bado hujajua kama ni kisingizio?kobazi akili zenu ziko kikobazi kweli kweli.Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
wale waliokuwa wanashangilia ule ukatili okt7 walivaa uniform za hamas?Mbona tunaona wanaokufa ni watoto na akinamama zaidi.
Au wewe kwa chuki zako huwaoni.
Kobazi mna ubinadamu?zile satanic verses ndio ubinadamu?Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
Na wewe ni kwanini uone ajabu sasa wakati kumbe wanafanyiwa hivi kwa miaka zaidi ya 70?Wewe umeona oct tu, mbona hamuongelei miaka zaidi ya 70 wanapitia changamoto gani wenye nchi yao/PALESTINA! maelfu wameuawa, hamuoni hicho, ila mnaangalia ya oct tu!
Katika hiyo 35000 toa 20000 ya maiti za wanamgambo wa Hamas inayobakia ndio raia waliokufa.Siyo elfu 20 tu ...