Israel imeshaichukua Rafah yote. Hakuna bataliani za Hamas wala mateka. Inaua tu bila kizuizi ikipingana na amri ya ICJ

Mbona tunaona wanaokufa ni watoto na akinamama zaidi.
Au wewe kwa chuki zako huwaoni.
Acha uongo, Hamas wanauliwa Kwa maelfu. Ngoja mpigwe mpaka mchakae. Si mlitaka wenyewe. Sumu haionjwi Kwa kulambwa.
 
Nawaona wayahudi weusi mkishangilia na wengine wakiwa kwenye ofisi za serikali wakichekelea ugaidi wa mzayuni.
Watashangilia kwa muda tu.Kinachofuata wote watakimbizana.
Imeanza na lile pier pale baharini Gaza.
 
Acha uongo, Hamas wanauliwa Kwa maelfu. Ngoja mpigwe mpaka mchakae. Si mlitaka wenyewe. Sumu haionjwi Kwa kulambwa.
Weka ushahidi hapa, na sio kuongopea watu. Ulishaona hamas wamevaa kiraia??
 
Hivi Oct7 wakati Hamas wanavamia na kuua waisraeli hovyo na kuwashikilia mateka hadi leo hii walikua wanategemea nin?

Israel inaona sheria za kimataifa haziwezi kuwafanya wakawa salama, ni jukumu lao kuhakikisha wanafanya kila wanaloona linafaa kuhakikisha wanabaki salama

Usa ni marangapi amevunja sheria za kimataifa kulinda maslahi yake?
Ndio tutegemee ikomae kwa Israel?

Wewe umeona oct tu, mbona hamuongelei miaka zaidi ya 70 wanapitia changamoto gani wenye nchi yao/PALESTINA! maelfu wameuawa, hamuoni hicho, ila mnaangalia ya oct tu!
 
Magaidi zaidi ya elfu 20 yameshaaga dunia,kwasasa na baadae ni somo ambalo kila wakitaka kufanya uhuni watakuwa wanajiuliza mara tatu
Siyo elfu 20 tu ...

Wizara ya Afya ya Gaza inayoendeshwa na Hamas inasema idadi ya watu waliouawa katika mzozo huu hadi sasa inazidi 35,000, takwimu hizi zinajumuisha vifo vilivyorekodiwa hospitalini tu.

Pia, Umoja wa Mataifa unakadiria kiasi cha vifusi katika Ukanda wa Gaza ni karibu tani milioni 37, na miili mingi ya watu imefukiwa na kuna takribani tani 7,500 ya silaha ambazo hazijalipuka. Jambo linalowaweka hatarini waokoaji na watu wa kujitolea.
 
Mwana kulitafuta mwana kulipata acha kazi iendelee
 
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.

Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.

Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.

Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.

Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.

View attachment 3002534
Mwana kultafuta mwana kulipata,
Mwana kulikoroga mwana kulinywa
 
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.

Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.

Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.

Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya wa kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.

Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.

View attachment 3002534
Na hao wanajeshi wa Israeli waliouawa jana baada ya kuwekewa mtego waliuawa na nani? Si mlisema kuwa wakiingia gaza wote watafyekwa, na sasa Rafah?!!
 
Mbona tunaona wanaokufa ni watoto na akinamama zaidi.
Au wewe kwa chuki zako huwaoni.
Hamas walipovamia Israel, kuua, kubaka na kuchukua mateka walikuwa wanaume?
Usianzishe vita ya mawe ikiwa nyumba yako ni ya vyioo.
Hao wapalestina, Siwezi kuwaonea huruma kwasababu huwa wanajizima data na kujiona wenyewe wana haki kuliko wengine.
Zanzibar ikifika ramadhqn wanaanza kuchapa viboko watu ovyo, hufunge wewe wengine wakila uanze kuwachapa viboko.
Inatakiwa Rafah mpaka Gaza isafishe yote na yawe majimbo ya Israel
 
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.

Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.

Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.

Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.

Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.

View attachment 3002534
kama kachukua rafah hiyo inatosha,kuhusu mateka bado hujajua kama ni kisingizio?kobazi akili zenu ziko kikobazi kweli kweli.
 
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.

Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.

Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.

Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.

Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.

View attachment 3002534
Kobazi mna ubinadamu?zile satanic verses ndio ubinadamu?
 
Wewe umeona oct tu, mbona hamuongelei miaka zaidi ya 70 wanapitia changamoto gani wenye nchi yao/PALESTINA! maelfu wameuawa, hamuoni hicho, ila mnaangalia ya oct tu!
Na wewe ni kwanini uone ajabu sasa wakati kumbe wanafanyiwa hivi kwa miaka zaidi ya 70?

Mkuu mimi naamini pande zote zina shida ila Hamas wamekuja kuufanya mgogoro huu kuwa mbaya zaidi

Mtu ambaye anakuonea na amekuzidi kila kitu halafu unakwenda kumfanyia kama kilichofanyaka Oct7....... to be honest sijajua hadi leo Hamas walikua wanategemea nini baada ya kufanya vile kwasababu kila mara wanapo ingia kwenye mapigano Israel inazidi kumega aridhi na kuzidisha uthibiti
Sasa sijui walikua wanategemea Huruma ya kimataifa?
 
Duh, Israel kashindwa kumpata mjerumani kulipiza kisasi cha Holocaust, kaamua kurudia yaleyale kwa wapalestina. Sio mchezo. History is doomed to repeat itself.
 
Siyo elfu 20 tu ...

Wizara ya Afya ya Gaza inayoendeshwa na Hamas inasema idadi ya watu waliouawa katika mzozo huu hadi sasa inazidi 35,000, takwimu hizi zinajumuisha vifo vilivyorekodiwa hospitalini tu.

Pia, Umoja wa Mataifa unakadiria kiasi cha vifusi katika Ukanda wa Gaza ni karibu tani milioni 37, na miili mingi ya watu imefukiwa na kuna takribani tani 7,500 ya silaha ambazo hazijalipuka. Jambo linalowaweka hatarini waokoaji na watu wa kujitolea.
Katika hiyo 35000 toa 20000 ya maiti za wanamgambo wa Hamas inayobakia ndio raia waliokufa.
 
Back
Top Bottom