Kha! ziku hizi kila kitu hadharaniHiyo niliisoma katika gazeti la Gurdian mwaka 1999 nilipokuwa ulaya , Library
Umekuwa msemaji wa Hamas pia ?Umekuwa msemaji wa Hamas pia ?
La mashogaKwa vyovyote vile iwe ni taifa teule la Mungu au mashoga ukweli unabaki palepale kuwa Israel ni taifa teule.
Hiyo ni mwaka 1999, siku hizi Mkapa anapata alichokichuma huko alikoKha! ziku hizi kila kitu hadharani
Ukiona mtu anatetea sana mashoga basi ujue na yeye ni mmoja wao.Ukiona mtu anaongelea ushoga kila saa ujue huyo ni shoga mzoefu. Kimtokacho mtu ndio kilicho ndani mwake.
Yote hayo ni magaidi. Hao kina mama kwanini yanakubali kubebeshwa mimba na kuzaa terror breds na future terrorists?Mbona tunaona wanaokufa ni watoto na akinamama zaidi.
Au wewe kwa chuki zako huwaoni.
Mkuu wewe upo sehemu gani huko Gaza?Nawaona wayahudi weusi mkishangilia na wengine wakiwa kwenye ofisi za serikali wakichekelea ugaidi wa mzayuni.
Linalowafunza adabu wavaa vipedo na kobasi.La mashoga
Hapana mkuu. Kazi ndo inaanza - Bado sasa kazi nzito ya kuwafukua magaidi waliojichimbia kwenye mahandaki kama nungunungu au fuko.Kwahiyo kama Rafah yote imechukuliwa na Israel manake vita vimefikia mwisho sasa hali ni shwari hakuna mapigano wala wanawake na watoto hawauliwi tena?
Maana kama Rafah imechukuliwa na Mayahudi ni tafsiri ya wazi kwamba Hamas wote wameuawa.
Mkuu, mbona unabadili gia angani? Mwenzako kasema kuonglea; lakini wewe unabadili na kusema kutetea. Au kuongelea na kutetea ni neno lenye maana moja?Ukiona mtu anatetea sana mashoga basi ujue na yeye ni mmoja wao.
Aondoke aende wapi tena? Mbona hapo ndo kwake tayari? Ninyi ni mashahidi. Israel alipanunua toka 07 Oct. 2023 kwa kubadilishana na wayahudi 1200 + na bado waHAMAS wanaendelea tena kumwuzia Myahudi palipobaki. Wapalestina nao wamerogwa hawajamstukia HAMAS. Mbona kabla ya 07 Oct. Hapo Gaza walau to some extent palikuwa shwari?Mvamizi ni mvamizi tu, hata awe na nguvu kiasi gani, pale sio kwake, end of the day ataondoka tu.
Ok. Haya sasa wakubaliane na matokeo vinginevyo warudi wakajipange tena upya. Hapo wamesha chemka mazima.kwani waliovamia 1947 wakachukukuwa ardhi za watu kwa nguvu wakauwa mpaka leo watu, wao walitegemea nini ??
Taifa la kishoga limlaani Nani? Ukubwa wa US unazitisha Nchi nyingi wasifanye kituHayo mataifa yako kimya yanaogopa yakilaani nayo yatalaaniwa.
Wajanja sana.
Taifa la kishoga ni lipi hilo mkuu?Taifa la kishoga limlaani Nani? Ukubwa wa US unazitisha Nchi nyingi wasifanye kitu
Taifa la Israel ni Taifa la KishogaTaifa la kishoga ni lipi hilo mkuu?
ICKinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
ICJ ni kwaajili ya ya WapumbavuKinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
Nao si waliteka na wanawake na watoto. Jino kwa jino. Mwana kulitafuta. Hakuna kulia lia.Mbona tunaona wanaokufa ni watoto na akinamama zaidi.
Au wewe kwa chuki zako huwaoni.
Israel ni Taifa la Kishoga tangu lini ?Taifa la Israel ni Taifa la Kishoga