Israel imeshaichukua Rafah yote. Hakuna bataliani za Hamas wala mateka. Inaua tu bila kizuizi ikipingana na amri ya ICJ

Kwahiyo kama Rafah yote imechukuliwa na Israel manake vita vimefikia mwisho sasa hali ni shwari hakuna mapigano wala wanawake na watoto hawauliwi tena?
Maana kama Rafah imechukuliwa na Mayahudi ni tafsiri ya wazi kwamba Hamas wote wameuawa.
 
Hapana mkuu. Kazi ndo inaanza - Bado sasa kazi nzito ya kuwafukua magaidi waliojichimbia kwenye mahandaki kama nungunungu au fuko.
 
Ukiona mtu anatetea sana mashoga basi ujue na yeye ni mmoja wao.
Mkuu, mbona unabadili gia angani? Mwenzako kasema kuonglea; lakini wewe unabadili na kusema kutetea. Au kuongelea na kutetea ni neno lenye maana moja?
 
Mvamizi ni mvamizi tu, hata awe na nguvu kiasi gani, pale sio kwake, end of the day ataondoka tu.
Aondoke aende wapi tena? Mbona hapo ndo kwake tayari? Ninyi ni mashahidi. Israel alipanunua toka 07 Oct. 2023 kwa kubadilishana na wayahudi 1200 + na bado waHAMAS wanaendelea tena kumwuzia Myahudi palipobaki. Wapalestina nao wamerogwa hawajamstukia HAMAS. Mbona kabla ya 07 Oct. Hapo Gaza walau to some extent palikuwa shwari?
Unasema eti at the end of the day... wakati kila siku iendayo kwa Mungu; Israel anazidi kumega na kupanua wigo? Labda ungelisema Israeli hatopata Hati Miliki
 
kwani waliovamia 1947 wakachukukuwa ardhi za watu kwa nguvu wakauwa mpaka leo watu, wao walitegemea nini ??
Ok. Haya sasa wakubaliane na matokeo vinginevyo warudi wakajipange tena upya. Hapo wamesha chemka mazima.
 
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.

Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.

Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.

Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.

Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.

View attachment 3002534
IC

ICJ ni kwaajili ya ya Wapumbavu
 
Back
Top Bottom