Israel imeshaichukua Rafah yote. Hakuna bataliani za Hamas wala mateka. Inaua tu bila kizuizi ikipingana na amri ya ICJ

Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
Mkuu hapo bado sana, tarehe 7 October wasioipenda Israel 🇮🇱 ilifurahia mauaji na utekaji wa watoto na raia wa Israel,

Ila kipigo kilipogeuka dhidi yao, zile shangwe hakuna bali vilio, mtoto alililia wembe wacha umkate tu hakuna namna, mpaka watakapoachia mateka kwani vita dhidi ya ugaidi ina gharama zake na gharama ndio hizo.

MUNGU WA IBRAHIM IBARIKI ISRAEL
 
Wahenga walisema mkaanga mbuy hula na wanawe!
Hata ww mleta Uzi kukitokea Mtu akawapa sitakula Wala kunywa mpaka nifute kivuli chako na ukoo wako juu ya ardhi utasubiri ufutwe juu ya ardhi??🎤

Wabakie mashoga tu ??
 
Mkuu hapo bado sana, tarehe 7 October wasioipenda Israel 🇮🇱 ilifurahia mauaji na utekaji wa watoto na raia wa Israel,

Ila kipigo kulipogeuka dhidi yao, zile shangwe hakuna bali vision, mtoto alililia wembe wacha umkate tu hakuna namna, mpaka watakapoachia mateka kwani vita dhidi ya ugaidi ina gharama zake na gharama ndio hizo.

MUNGU WA IBRAHIM IBARIKI ISRAEL

Bado sana na mtasema sana lakini neno la Mungu wa mbinguni halibadiliki, Kickapoo kipo pale pale, hii video haitabadili kichapo, kila lakheri

Neno la mungu hilo uliambiwa wewe na Nabii wako Tito
 
Wanapiga watu wasiyo na silaha yoyote na bado wanaangaika! Wale wenye silaha kama Hezbollah wanafanya kuwavizia halafu mashabiki wao wanawaita taifa teule! Labda taifa teule la mashoga.
Kwa vyovyote vile iwe ni taifa teule la Mungu au mashoga ukweli unabaki palepale kuwa Israel ni taifa teule.
 
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
Lakin mlisema wanaenda kuridhi mabikira au wameahirisha
 
Watazaliwa milioni 20 na kuendelea kuwaandama mayahudi.Kama hawatatumia akili kukubali maazimio na amri za mahakama na wao hawataishi kwa utulivu daima.
Hao watakaozaliwa mtawapa silaha hapo hapo kama mnavyofanya kwa watoto.?
 
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
Hivi zile kelele na shangwe za octba 7 za alakubar mbona sizisikii,sahivi hata pray for palestina mmeacha mana mmekula kipigo hadi mmezoea,hakika israel ni kiboko ya magaidi ya kidini.
 
Back
Top Bottom