Mnalishwa matango sana kuhusu historia ya Israel na Palestina jomba.
Kwamba wayahudi hawakuwa na nchi hadi mwaka '47 walipopata uhuru?
Historia ya Abraham, Mussa, Jackob, Suleiman na mwisho Jesus ni za kufikirika?
Kama zilitokea, hao wafalme na manabii walitawala dola gani?
Tunachokosea ama aina ya mafunzo tunayoyapokea ni kwamba uhalisia wa historia unafichwa kwa ajili tu ya imani za kidini.
Lakini sasa hivi tumerahisishiwa sana kupata maarifa kwa njia ya google ama Wikipidia!
Unafukunyua na kuielewa historia ya kweli ambayo hapo mwanzo hukupata kuijua ama ulipotoshwa katika kufundishwa.
Uzuri wa wenzetu huko, wameanza kutunza kumbu kumbu tangia 'pre history to date'!
Nikusihi sasa, fungua usome tawala zote zilizopita maeneo hayo ya mashariki ya kati (Israel ya leo) ili upate uuelewa ukweli wenyeji wa eneo hilo ni kina nani hasa.