kama hujui kaaa kimya , muislam asiye ijuwa dini kiundan ndo mstaarabu ila hii dini ili ikukae lzm ujitoe ufahama maana inafundisha chuki na mauajMimi ni mkristu wa RC, lakini kwenye dini hapana sioni uhusiano, tena waislam wa kweli ni wastaarabu sana
Umeandika ni "watu wenye njaa/raia tu.Halafu hapohapo Israel wakashangaa kuwakuta Hamas bado wana silaha na wanapambana.Hivi hiwa unasomà ulichokiandika kabla ya kutuletea tusome?lakini matatizo ya akili si atakuwa nayo yule anayeua watu wenye njaa ?
nan anapigania ushoga ? wanapigania usawa katika jamii , je mashoga wanajifir@ wenyew si nyiny ndo mnawaharib halaf baadae kweny umma mnawatenga , HUKUMU ANATOA MUNGU SIO MWANADAMU WAACHENI ILA KAMA NI DHAMBI BAS KWA MUNGU WATAHUKUMIWA ILA SIO SISI WANADAMU NDO TUFANYE KAZ YA MUNGUMtu anayepigania ushoga anakuwa na akili nyingi sana au vipi ??
"Mkristo akiijua dini vizuri anakuwa mwenye huruma na mwema sana kwa watu wote, muislamu akiijua vema dini ya uislamu anakuwa mtu mkatili na anayechukia watu na kuwaza kuwaletea madhara wasiokuwa wa dini yake muda wote."Mkristo akiijua dini vizuri anakuwa mwenye huruma na mwema sana kwa watu wote, muislamu akiijua vema dini ya uislamu anakuwa mtu mkatili na anayechukia watu na kuwaza kuwaletea madhara wasiokuwa wa dini yake muda wote.
Unajichanganya mwenyewe.Umeandika ni "watu wenye njaa/raia tu.Halafu hapohapo Israel wakashangaa kuwakuta Hamas bado wana silaha na wanapambana.Hivi hiwa unasomà ulichokiandika kabla ya kutuletea tusome?
Mnalishwa matango sana kuhusu historia ya Israel na Palestina jomba.Na ukiwa mkiristo moto unakungojea.
Usijaribu kuwatukana waislam vita ya Israel na Palestine Mayahudi siku zote ndio waliokuwa wanaanza kuwauwa waislamu wa palestina na kuwatesa ilifika mahali sasa wakasema basi, Israel haikuwa na eneo hata inch 1 katika ardhi ya palestina lakini leo wanataka ardhi yote waichukue wao baada ya kipande kidogo walichomilikishwa ni nchi US na Uingereza,
Jifunze hili siku zote: Ukiona muislamu anapigana jua haki yake imechukuliwa ama amedhulumiwa na kuonewa. fuatilia tokea dunia imeanza hakuna mahali muislamu alianzisha vita
nan anapigania ushoga ? wanapigania usawa katika jamii , je mashoga wanajifir@ wenyew si nyiny ndo mnawaharib halaf baadae kweny umma mnawatenga , HUKUMU ANATOA MUNGU SIO MWANADAMU WAACHENI ILA KAMA NI DHAMBI BAS KWA MUNGU WATAHUKUMIWA ILA SIO SISI WANADAMU NDO TUFANYE KAZ YA MUNGU
Ulisha laani jinsi Hamas walivyoua waisrael kabla mapambano hayo kuanza?Unajichanganya mwenyewe.
Hapo walipouliwa wenye njaa wakisubiri chakula ni Gaza City na walipouliwa askari wa Israel ni Khan Younis.
Hata Gaza City Hamas wapo na wana silaha lakini katika ile foleni hawakuwepo na Israel ilijua hilo
Ni jeuri tu na ajenda ya Israel ya kuua bila sababu ndio wakatekeleza unyama huo unaolaaniwa na kila mwenye akili.
UmeandikaMnalishwa matango sana kuhusu historia ya Israel na Palestina jomba.
Kwamba wayahudi hawakuwa na nchi hadi mwaka '47 walipopata uhuru?
Historia ya Abraham, Mussa, Jackob, Suleiman na mwisho Jesus ni za kufikirika?
Kama zilitokea, hao wafalme na manabii walitawala dola gani?
Tunachokosea ama aina ya mafunzo tunayoyapokea ni kwamba uhalisia wa historia unafichwa kwa ajili tu ya imani za kidini.
Lakini sasa hivi tumerahisishiwa sana kupata maarifa kwa njia ya google ama Wikipidia!
Unafukunyua na kuielewa historia ya kweli ambayo hapo mwanzo hukupata kuijua ama ulipotoshwa katika kufundishwa.
Uzuri wa wenzetu huko, wameanza kutunza kumbu kumbu tangia 'pre history to date'!
Nikusihi sasa, fungua usome tawala zote zilizopita maeneo hayo ya mashariki ya kati (Israel ya leo) ili upate uuelewa ukweli wenyeji wa eneo hilo ni kina nani hasa.
Ulisha laani jinsi Hamas walivyoua waisrael kabla mapambano hayo kuanza?
Upande wa nani?Upande wa haki miliki
Na wale wenye element za kishoga ndio wapo timamj sioUkiwa muislam ni lazima uwe na matatizo ya akili
IslamophobicUkiwa muislam ni lazima uwe na matatizo ya akili
Mnapigana na Raia?? Taifa teule la mungu BidenUnaongelea askari watatu ambapo raia wa Palestine wanaendelea kupukutika Kama mchwa. Acha vita isimame mateka warudishwe then mtanange uendelee
Wenye matatizo ya akili ni wale wanaomuabudia yule fundi seremala anae ning'inia pale msalabani na kichupi tu.Ukiwa muislam ni lazima uwe na matatizo ya akili
Nimeshangaa sana kumbe unasoma habari za Wikipedia na google na kuja nazo hapa kama references, umesahau hizo Wikipedia na google zimeasisiwa na wazungu kwenye mitandao., dah kumbe uko mbali sanaMnalishwa matango sana kuhusu historia ya Israel na Palestina jomba.
Kwamba wayahudi hawakuwa na nchi hadi mwaka '47 walipopata uhuru?
Historia ya Abraham, Mussa, Jackob, Suleiman na mwisho Jesus ni za kufikirika?
Kama zilitokea, hao wafalme na manabii walitawala dola gani?
Tunachokosea ama aina ya mafunzo tunayoyapokea ni kwamba uhalisia wa historia unafichwa kwa ajili tu ya imani za kidini.
Lakini sasa hivi tumerahisishiwa sana kupata maarifa kwa njia ya google ama Wikipidia!
Unafukunyua na kuielewa historia ya kweli ambayo hapo mwanzo hukupata kuijua ama ulipotoshwa katika kufundishwa.
Uzuri wa wenzetu huko, wameanza kutunza kumbu kumbu tangia 'pre history to date'!
Nikusihi sasa, fungua usome tawala zote zilizopita maeneo hayo ya mashariki ya kati (Israel ya leo) ili upate uuelewa ukweli wenyeji wa eneo hilo ni kina nani hasa.
kuwaambia wengine hawana akili haimanishi wewe una akili...hata chizi jalalani anajiona mwamba kuliko jamaa aliyopo KFC akila vipaja,pole sanaUkiwa muislam ni lazima uwe na matatizo ya akili
Nimeshakuelekeza mahali pa kupakua historia hizo bhana.Umeandika
Historia ya Abraham, Mussa, Jackob, Suleiman na mwisho Jesus ni za kufikirika?
Unaweza kutuletea historia hizo nje ya biblia ??