Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Sifuri wewe wa sema. Kubwabwaja bila references ni kufoka.Nimeshangaa sana kumbe unasoma habari za Wikipedia na google na kuja nazo hapa kama references, umesahau hizo Wikipedia na google zimeasisiwa na wazungu kwenye mitandao., dah kumbe uko mbali sana
Wikipedia sio msahafu ni mawazo ya mtu au watu kwa uelewa wao au kwa makusudi hueka watakavyo na duniani sijawahi ona mtu kaenda mahakamani na ushahidi wa Wikipedia kumbe wewe ni sifuri
hujaeleza , otherwise nisingalikuulizaNimeshakuelekeza mahali pa kupakua historia hizo bhana.
Muda wa kurudia kueleza kwa kirefu sina.
Ni bora kua na matatizo ya akili kuliko kua SHOGAlakini matatizo ya akili si atakuwa nayo yule anayeua watu wenye njaa ?
Siku ukikutana na Masheikh wa hivyo waulize hivi:-[emoji16][emoji16] kule Lushoto kuna sheikh tena alhaji alimuuliza wife kwanini umekubali kuolewa na kafiri? Few days later nikamkuta sheikh huyo huyo anapata huduma za kiafya kwenye zahanati inayomilikiwa na masista
Nimechoka sana eti references zako unatoa Wikipedia, haya endelea ... ku-googleSifuri wewe wa sema. Kubwabwaja bila references ni kufoka.
Weka historia na vielelezo, kwani shida nini?
WorldKatika hali ya kuchanganyikiwa na vita vya Gaza Israel imeelezwa kukubali kimsingi vita visitishwe ili irejeshewe mateka wake.
Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kumeonekana hapo juzi ambapo iliwamiminia mabomu mazito kutoka angani na kuwapiga kwa risasi watu zaidi ya mia waliokuwa wakisubiri misaada huko kaskazini ya Gaza.
Kingine kinachowachanganya ni kuona maeneo yote waliyopita na kudhani wamewamaliza Hamas wamegundua bado yana wapiganaji hao wenye silaha na wanaoendelea kuleta maafa kwa askari wake.
Leo Jumamosi IDF imetangaza kupoteza askari wake watatu eneo la Khan Younis ambalo jeshi hilo lilikwishatoa tangazo la kudhibiti eneo hilo.
Maafisa wa ngazi za juu wa ikulu ya Marekani wamesema kimsingi Israel imeshakubali kusitishwa kwa vita kati yake na Hamas kwa muda wa wiki sita.Kipindi hicho kitaambatana na kuachiwa huru kwa mateka wa Israel wanaoendelea kushikiliwa na Hamas
Baada ya kueleza hayo afisa mmoja kati yao akaongeza kuwa mpira sasa uko kwa Hamas.
Six-week ceasefire ‘basically accepted’ by Israel, waiting on Hamas, US official says
US: Israel Has Agreed To The Framework For A Gaza Cease-fire, Now Awaiting Hamas' Decision