Israel imeuchukua mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na Gaza, Mizigo na watu kuvushwa chini ya uangalizi na idhini ya Israel

Safi sana

Safi sana yesu inyoshee nchi yako mikono
Yaani huko kwenye hiyo vita Yesu hayumo kabisa, hata alipozaliwa Waisrael walijua amekuja kuwakomboa dhidi ya utawala wa Warumi kumbe wapi yeye alikuja kwa ajili ya kumkomboa mwanadamu na dhambi na sio vita.
 
Hiyo habari ya houthi kushikilia njia unayo peke yako. Mtuache tusafishe magaidi na muwe na huruma na wapalestina wanaangamia
 
Utaitaje chuki ilhali watu wa Gaza walikua wakijitetea kwa vurugu za wayahudi tokea Agosti za kuchomewa mashamba!?
Au wewe ulitaka WaPalestina wachomewe mashamba na wavunjiwe nyumba wakae tu kimya!?
Angalia nguvu ya unaejitetea kwake mengine yanahitaji busara tu. Sisi mbona tunaonewa na ccm ila hatuwafanyi kitu miaka yote
 
Ukiona wale watoto waliokuwa kwenye mashine wanaohamishwa ilikuwa inatia huruma, mimi sina huruma na hamas ila sasa watoto wale wanatia huruma sana. Ikibidi hamas wote wafyekwe lakini siyo watoto na wazee, watoto wana haki ya kuishi .
Hao watoto ndio hamas wajao fyeka tu wote. Lile tukio la oct7 watoto walikuemo na walifanya matukio. Na waliua watoto wa kiisrael kwani watoto wao waonewe huruma
 
Hiyo habari ya houthi kushikilia njia unayo peke yako. Mtuache tusafishe magaidi na muwe na huruma na wapalestina wanaangamia
Ninayo pekeyangu au WEWE HUFUATILII HABARI!?
Juzi hapa PANAMA FLAGED SHIP ilishambuliwa.
Fuatilia habari mzee red sea bab almandib meli hazipiti pale.
Magaidi ni Israel wanaoua mpaka wakristu wenzenu.
Magaidi ni Israel waliovamia mpaka Central Syria na Gollan heights.
Magaidi ni Israel wanaoua kimakusudi mpaka nje ya mipaka ya Israel.
Unaonekana mdogo wangu hujui maana ya ugaidi.
Sema tukufundishe.
 
Angalia nguvu ya unaejitetea kwake mengine yanahitaji busara tu. Sisi mbona tunaonewa na ccm ila hatuwafanyi kitu miaka yote
Unaona ulivyo huna akili!?
Unafananishaje udhalimu wa vyama vya siasa na uporaji wa ardhi!?
Kichwani uko timamu wewe!?
 
Hao watoto ndio hamas wajao fyeka tu wote. Lile tukio la oct7 watoto walikuemo na walifanya matukio. Na waliua watoto wa kiisrael kwani watoto wao waonewe huruma
Una ushahidi kuwa watoto walikuwepo!?
Mbona unaongea PUMBA WE JAMAA!?
Mtoto wa miaka 10 wengine mpaka miaka miwili wamefanya kosa gani!?
-Israel kabla ya october 7 ilikua ikivunja nyumba Jenin na kuchoma mashamba ya wabedui.
-Israel kila mwaka hukamata watoto kuanzia umri miaka 6-12 na kuwaweka jela za jeshi pasi na mashtaka yeyote.
-Israel kila mwaka huvunja makazi ya Palestina westbank ili kutanua makazi ya walowezi wa kiyahudi.
Hivi watu kujitetea ni kosa!?
Mkristo mwenzako Sheriin Abu Akleh alipigwa risasi ya ubongo akiwa kazini na Askari wa IDF kimakusudi na wala hakufanya kosa lolote.
Mwaka huohuo kuna wanawake wawili wamepigwa risasi wakiwa katika kanisa kongwe la Palestina tena wamepigwa na SNIPER kwa kutumia assault rifle yani ni deliberate shooting.
Je walikosea nini wale wanawake!?
Kuna muda kama hauna hoja unaweza ukanyamaza kaka kuliko kuongea USENGE.
HUU UNAOONGEA NI USENGE.
 
Unaona ulivyo huna akili!?
Unafananishaje udhalimu wa vyama vya siasa na uporaji wa ardhi!?
Kichwani uko timamu wewe!?
Tofauti ni nini watu hawafi hawatekwi hawaporwi mali au sababu tu ya ushabiki kwa waarabu ndio unakufanya upate muhemko
 
Safi kamata vitoto vyenye vimelea vya ugaaidi. Tafuta uone vitoto vilivyokua vinashangilia ugaidi wa hamas wacha visagike tu maana hakuna namna. Gaidi yake bunduki na mabomu na vitoto vyao. Pale visibaki vimelea
 
Vita sio nzuri kabisa.
Ingawa Israeli wanaonekana kuwa wachokozi.
Lakini pia Hamas hakustahili kutumia njia za ugaidi kama njia pekee ya kujibu uonevu wa Israeli kwao.
Suluhisho la mazungumzo lilikuwa bora zaidi, kama wanavyo fanya sasa kuzitaka jumuiya za kimataifa kuingilia mgogoro wao na Israeli, wangefanya hivyo pia wakati Israeli ilipo kiuka haki za Wapalestina.
Uvamizi wao Israeli hiyo tarehe Saba naona imeleta shida zaidi kwa Wapalestina kuliko wangeamua kuweka madai yao Kidiplomasia.
Hasara iliyopatikana Gaza na Rafal sijui itachukua muda gani kuitibu.
Mtu aliye kuzidi nguvu unatakiwa kutumia akili kumdhibiti na sio nguvu.
Hasara itakuwa ya kwako.
 
Tofauti ni nini watu hawafi hawatekwi hawaporwi mali au sababu tu ya ushabiki kwa waarabu ndio unakufanya upate muhemko
Ukiambiwa we ni popoma usikatae.
-Suala la CCM ni internal affairs,ni viongozi na raia wao.Raia wakiamua kufanya mabadiliko basi yanafanyika.
Utekaji,uporaji ni wa nadra na unyanyasaji ni wa nadra pia.
Tanzania watu tunatembea huru tunafanya mambo yetu tukiwa huru.Tanzania wewe usishoboke na siasa basi utaendelea na maisha yako.Kapuku kama wewe utekwe na uporwe mali kwa lipi?Una mali gani?Wanaotekwa na kuporwa kina Tundu Antipas Lissu ambao huonesha upinzani kwa chama tawala.Wewe jitaftie ugali wako kula kanye ulale uone kama kuna atayehangaika na wewe.
Palestina wewe kuwa mpalestina ni tatizo yani hata uwe umelala myahudi akikuona wewe ni kifo.
-Palestina na Israel ni suala la kimataifa,kila mwaka nyumba za wapalestina huvunjwa,kila mwaka mashamba ya wapalestina huchomwa moto,kila mwaka watu hupigwa risasi kimakusudi.
Palestina kila unapopita ukionekana ni eidha ushambuliwe na wayahudi au askari wa IDF kimakusudi.
Kila unapopita unakaguliwa mpaka nguo zako za ndani.
Huwezi kutembea kwa uhuru na wala huwezi kufanya kazi zako kwa uhuru,ukiwa karibu na wayahudi kama wewe ni Mpalestina basi hauna tena uhai.
Unafananishaje haya mambo??
 
Safi kamata vitoto vyenye vimelea vya ugaaidi. Tafuta uone vitoto vilivyokua vinashangilia ugaidi wa hamas wacha visagike tu maana hakuna namna. Gaidi yake bunduki na mabomu na vitoto vyao. Pale visibaki vimelea
Unaona unavyozidi kuongea USENGE!?
Nakuacha na haya maswali matatu,
1)Nini maana ya ugaidi?
2)Kama hao watoto magaidi kwanini UN human rights watch wamewatetea na kutoa ushahidi kuwa wanakamatwa kila mwaka pasi na mashitaka yeyote na kuteswa?
3)Je ni sahihi unakamata watoto hovyo 200-300 kila mwaka umri miaka 6-12!?
Nasubiri hapa majibu ukishanijibu haya sitohangaika kujadiliana na wewe.
 
Mkuu toka 1949 mpaka leo hii mazungumzo hayakufana kwa lolote.
Kamfuatilie jamaa ambaye alikua mkuu wa PLO YASSER ARAFAT.
Huyu jamaa alikua akienda makao makuu ya UNO kila mara na walimlaghai kwa kumwambia aache mapigano na ayalaani kama ya ugaidi ndipo watafikiria kuitambua Palestina kama taifa.Yani ndipo watafikiria.
Jamaa wa watu kafanya kama anavyotakiwa kufanya ila hakuna lolote lililotokea,Israel aliendelea kupewa silaha huku akipora ardhi sio tu Palestina hadi NJE YA PALESTINA.
Mazungumzo hayakuwahi kuwa njia sahihi.
 
Ndio la kujifunza hapo usianzishe vita na taifa lenye nguvu , lenye teknoloji, uchumi, washirika imara huku wewe unategemea huruma ya dunia wapige kelele wakusaidie
 
Wapalestina wangeachana na vita na israel hata hawajawahi kushinda wanaishia kuuawa kama kuku na waachane na madai ya mji wa Jerusalemu sioni kama watakuja kushinda
 
Umeongea point ila mapopoma ya kidini hayatakuelewa
 
Kwa mtazamo wako unaona Palestina wafanyeje ili waweze kuishi kwa amani katika nchi yao?
Kama Arafat alishindwa nini kifanyike ?
 
Kwa mtazamo wako unaona Palestina wafanyeje ili waweze kuishi kwa amani katika nchi yao?
Kama Arafat alishindwa nini kifanyike ?
Kwa mtazamo wangu kitumike chombo cha kimataifa kuweka usuluhishi wa Palestina na Israel na kuwe na two states solution ambacho hiko chonbo hakitakuwa na mkono wa USA/EU.
Maana USA na EU hususan UK na France ndio washirika wakubwa wa Israel.
Ikitumika UN mazungumzo ya two state solution hayatatimia.
Ila kama kutatumika taifa lenye nguvu mathalan China huwenda kukasaidia, kama China ilivyozaidia kumaliza vita Yemen na kuvunja uhasama baina ya Iran na Saudi Arabia.
 
Ili hii vita iishe mpaletina asilimu amri maana Kuna wahuni wanamhamasisha kurusha makombora Israel then ,wao wanageuka wahanga na Hawa wastabu wengine wanaoishia kwenye matamko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…