Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Baada ya wajapan kuwa na tabia ya kishenzi na kufanya majirani zake karibia wote kutowapenda kutokana na ushenzi aliokuwa anawafanyia ndio alipo jikoroga na kupanda mabega kwenda kuwaoneshea ushenzi wa marekani.
Tukio la kikatili alilofanya marekani juu yao limewafanya wajapan mpaka ule ushenzi walio nao kuwaondoka na kujenga utulivu kwao na kwa majirani zake walio mzunguka.
Hivyo hivyo kwa wajerumani baada ya kulazimishwa kutulizwa na wasoviet na wamarekani sasa wametulia tuli.
Israel kwa yale waliyo fanyiwa na Hitler walipaswa kuwa mfano tosha wa jamii ya watulivu, wanaojiheshimu na wanaojitambua ila imekuwa vise versa kwao.
Israel kwa nguvu kabisa inataka kuiaminisha dunia kuwa kile alichofanya Hitler kilikuwa sahihi juu yao hii sijui jamii ya watu gani isiyo taka kujifunza.