Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Unajua kitu ambacho wengi wao hawakitambui ni hiki!
Hatukatai alichofanya Hamas kuua raia wa Israel ni kitu kibaya.
Ila israel naye anachokifanya ni kibaya pia!
Unaposema magaidi wanajificha nyuma ya raia ina maana kwamba unafahamu wapi walipo! Kwa nini sasa usiwafuate?
Pengine mwengine atajibu usiwapangie namna ya wao kurudisha mapigo!
Lakini haiwezekani ukapiga makombora mazito eneo lenye raia takribani million 2 popote pale utakapojisikia kisa wanamgambo kama elfu 2000 au elfu 15+
Unazuia maji, umeme, chakula. Unazuia misaada ya kibinadamu kuwafikia. Hii ni kinyume cha ubinadamu.
Hayo ni mauaji ya kimbari!