Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Na ndiyo maana wenye hekima zao wanasema unapomfanyia ubaya mwenzako ujue hilo ni deni tena utakuja kulilipa kwa riba!Hatari sana tena ubaya zaidi Israel ushenzi imeanza since day one walipotimba mguu pale sio leo wala jana ni kama matukio ya Hitler hayakuwafunza kitu au ni kisasi wameamua kulipa kwa wapalestine sijui ?
Ujue hii jamii ya hawa watu mimi siielewi kabisa sijui inajiandalia mazingira gani ya kuishi siku western empire itakapo collapse ?
Hawafikirii ikiwa Amerika na nchi za magharibi zikipoteza nguvu walizonazo kwa sasa wao Israel wataishi vipi?!
Kwa sababu kwa asilimia kubwa wamejenga uadui mkubwa na majirani zao!
Binafsi nilitegemea kwa vile wayahudi ni jamii iliyopitia madhila mengi basi wao ndiyo wangelikuwa mfano kwenye hii dunia jinsi ya kusambaza amani na upendo.