Dollar hermees
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 517
- 1,045
Dah pole sana kwa kuwa Brain washed na western media. Ukweli ni kwamba hawa wayahudi kipindi cha zamani wakati wa dola ya kiislam ilipo tawala walikuwa hawauliwi na walikuwa wana tambulika kisheria. Nenda leo Qatar kama sikosei kuna mskiti, kanisa na sinagogi kwa ajili ya mayahudi.Uislam ni dini ya Chuki sana, kama unabisha ongea na waislam 5 wanaoswali swala 5.
Waislam wanataka watu wote wawe Waislam, kwa lazima au kwa hiari.
Wayahudi ni watu wasiotaka kila mtu awe Myahudi, uyahudi unatoka kwa mama, Wayahudi hawawezi kukubali kubadilika imani yao, ni bora wakae kwenye community zao, na hili ndio linawafanya wachukiwe kila mahali
Uislam sio kwamba unataka kila mtu awe muislam bali ndio dini sahihi kwa sababu kila kitu kinacho tendeka leo hii kime andikwa.
Kingine ukitaka ufahamu ukweli kuhusu hawa wayahudi soma uislam ulivyo. Chukua muda wako tafuta ukweli. Lakini hivi tu huta elewa