Israel inalazimisha dunia kuamini Hitler alikuwa sahihi kufanya alichofanya dhidi yao

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Baada ya wajapan kuwa na tabia ya kishenzi na kufanya majirani zake karibia wote kutowapenda kutokana na ushenzi aliokuwa anawafanyia ndio alipo jikoroga na kupanda mabega kwenda kuwaoneshea ushenzi wa marekani.

Tukio la kikatili alilofanya marekani juu yao limewafanya wajapan mpaka ule ushenzi walio nao kuwaondoka na kujenga utulivu kwao na kwa majirani zake walio mzunguka.

Hivyo hivyo kwa wajerumani baada ya kulazimishwa kutulizwa na wasoviet na wamarekani sasa wametulia tuli.

Israel kwa yale waliyo fanyiwa na Hitler walipaswa kuwa mfano tosha wa jamii ya watulivu, wanaojiheshimu na wanaojitambua ila imekuwa vise versa kwao.

Israel kwa nguvu kabisa inataka kuiaminisha dunia kuwa kile alichofanya Hitler kilikuwa sahihi juu yao hii sijui jamii ya watu gani isiyo taka kujifunza.
 
Kwahiyo wewe unatuaminisha walichofanya Hamas tarehe 7 ndio sahihi?
 
hata hamas wanafanya tuamini israel inafanya jambo la msingi sana, kwanini wamekamata watanzania wawili vitoto vidogo vianafunzi tu? wapo mateka hasi asaivi. hawakuangalia hata sura tu kuwa hao ni wandengereko tu sio wayahudi?
Sawa
 
Haujasema bado, mpaka mseme shenzi taipu.

Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kwa magaidi kuibeep Israel, maana sasa wanapigiwa kwa kifurushi cha mwezi unlimited bundle.
Una miaka mingapi dogo ?
 
Kabisa, ukipata mtoto mmoja no sawa tu na usipopata ni sawa tu....tunawaleta watoto duniani kuja kuteseka tu na kushuhudia huu uovu unaoendelea duniani
Acha changamoto na matatizo ya dunia yani kabili mimi sio kuleta kizazi katika duniani hii tena katika nchi hii na bara hili ni laana
 
Now the world can't differentiate between Zionism and Nazism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…