ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Nimemuuliza hivyo kwa sababu hata mtoto wa darasa la nne ana jua Israel uko hapo kwa mkono wa nani.Hilo ndiyo jibu?Mpe majibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemuuliza hivyo kwa sababu hata mtoto wa darasa la nne ana jua Israel uko hapo kwa mkono wa nani.Hilo ndiyo jibu?Mpe majibu.
Umeandika vizuri ila huwezi fananisha uchumi wa Iran yenye vikwazo toka miaka ya 80 na Israel ambayo iko free tu haina vikwazoHapa
Duniani resource kubwa kulizo zote ni akili. Akili ndiyo hujenga sayansi na tekinolojia.
Kwa ujumla, uchumi wa Israel unategemea sana tekinolojia, kuanzia tekinolojia ya silaha, mawasiliano, usafiri, tiba, n.k. Ni nchi ndogo, lakini wanatengeneza mpaka ndege za kivita. Israel inatengeneza silaha ambazo inaziuzia nchi kubwa karibia zote, kuanzia China mpaka US, huku yenyewe ikiinunua silaha chache toka nje.
What countries does Israel supply weapons to?
Much of the exports are sold to the United States and Europe. Other major regions that purchase Israeli defense equipment include Southeast Asia and Latin America. India is also major country for Israeli arms exports and has remained Israel's largest arms market in the world.
COMPARE IRAN AND ISRAEL ECONOMIES:
Iran Its population of around 88 million is nearly 10 times that of its arch-enemy Israel. But in 2023, Iran's economic output was $403 billion, significantly lower than Israel's $509 billion.
As of 2024, the IMF estimated Israel has the 26th largest economy in the world by nominal GDP, and one of the biggest economies in the Middle East.
Israel's economic freedom score is 70.1, making its economy the 26th freest in the 2024 Index of Economic Freedom. Its rating has increased by 1.2 points from last year, and Israel is ranked 2nd out of 14 countries in the Middle East/North Africa region.
Ndio maana nimeweka hapo, ataipitia tu! Manake uzi ni wake!Ndio umpe majibu aliyeuliza
Aisee!Nimemuuliza hivyo kwa sababu hata mtoto wa darasa la nne ana jua Israel uko hapo kwa mkono wa nani.
Mkuu situation ya Israel ni vikwazo tosha, imagine nchi ina mizozo enzi na enzi, kila siku ina hofu ya ugaidi! Huwezi sema iko free!Umeandika vizuri ila huwezi fananisha uchumi wa Iran yenye vikwazo toka miaka ya 80 na Israel ambayo iko free tu haina vikwazo
Pamoja na yote huwezi fananisha na Iran ambayo imewekewa vikwazo na US toka mapinduzi yao yale mpaka leo, kwasababu Iran anawekewa vikwazo na Matajiri wengi, ila Israel huko kwa matajiri ndio kwakeMkuu situation ya Israel ni vikwazo tosha, imagine nchi ina mizozo enzi na enzi, kila siku ina hofu ya ugaidi! Huwezi sema iko free!
Tanzania hapa janja janjaHivi unajua yule jamaa wa Hamas aliyeuwa Tehran alikuwa Bilionea hapa Tanzania yote na east africa hakuna angemfikia...
Wewe ni mvulana wa 2000?Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houth, Iran ,makundi mengine Syria , Iraq kama tu vita ya 78 dhidi ya Nduli tuliyumba mpk leo....wao wanaendesha vipi Nchi? Sioni wako na resources za maana kama mafuta, misitu, makaa ya mawe hata viwanda, Nchi yao ndogo na msinambie anasaidiwa na US, US kumpa kila kitu kuna namna anasimama peke yake, hzo F35 et al , na missile, drone n.k ni gharama sana kutengeneza na kutumia, nategemea uchambuzi makin kutoka kwenu.
😂😂😂😂Siku ukijua kwamba unaodhani wanaiwezesha Israeli ndiyo wanaitegemea,utajisikiaje?Nimemuuliza hivyo kwa sababu hata mtoto wa darasa la nne ana jua Israel uko hapo kwa mkono wa nani.
Jiongeze! Ukipigana na Israel unataka kupigana na Mungu mwenyewe! Kila nyumba na vyumba vina mlango! Mungu akitaka kuja duniani mlango wa kuingilia ni Israel! Israel ndo mlango wa Mungu kuingia duniani! Kwahiyo kama wewe ni muumini wa Mungu wa kweli na sio yule mungu anayekaa katika mfumo wa sayari (solar system) anayeabudiwa mungu jua, au yule mungu anayekaa kuzimu ambaye anaabudiwa na makabira karibu yoote duniani, inabidi uiombee Israel 🇮🇱. Mungu wa Israel 🇮🇱 ndo Mungu wa walokole ndo Mungu wa kweli!Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houth, Iran ,makundi mengine Syria , Iraq kama tu vita ya 78 dhidi ya Nduli tuliyumba mpk leo....wao wanaendesha vipi Nchi? Sioni wako na resources za maana kama mafuta, misitu, makaa ya mawe hata viwanda, Nchi yao ndogo na msinambie anasaidiwa na US, US kumpa kila kitu kuna namna anasimama peke yake, hzo F35 et al , na missile, drone n.k ni gharama sana kutengeneza na kutumia, nategemea uchambuzi makin kutoka kwenu.
Akili uliobaki nayo ni ya kuvukia barabara tuJiongeze! Ukipigana na Israel unataka kupigana na Mungu mwenyewe! Kila nyumba na vyumba vina mlango! Mungu akitaka kuja duniani mlango wa kuingilia ni Israel! Israel ndo mlango wa Mungu kuingia duniani! Kwahiyo kama wewe ni muumini wa Mungu wa kweli na sio yule mungu anayekaa katika mfumo wa sayari (solar system) anayeabudiwa mungu jua, au yule mungu anayekaa kuzimu ambaye anaabudiwa na makabira karibu yoote duniani, inabidi uiombee Israel 🇮🇱. Mungu wa Israel 🇮🇱 ndo Mungu wa walokole ndo Mungu wa kweli!
Umekula LeoJiongeze! Ukipigana na Israel unataka kupigana na Mungu mwenyewe! Kila nyumba na vyumba vina mlango! Mungu akitaka kuja duniani mlango wa kuingilia ni Israel! Israel ndo mlango wa Mungu kuingia duniani! Kwahiyo kama wewe ni muumini wa Mungu wa kweli na sio yule mungu anayekaa katika mfumo wa sayari (solar system) anayeabudiwa mungu jua, au yule mungu anayekaa kuzimu ambaye anaabudiwa na makabira karibu yoote duniani, inabidi uiombee Israel 🇮🇱. Mungu wa Israel 🇮🇱 ndo Mungu wa walokole ndo Mungu wa kweli!
Huyo hata hio hana kabakia nayakwendea msalani tu kama imebakiaAkili uliobaki nayo ni ya kuvukia barabara tu
AhahahahahaHuyo hata hio hana kabakia nayakwendea msalani tu kama imebakia
Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houth, Iran ,makundi mengine Syria , Iraq kama tu vita ya 78 dhidi ya Nduli tuliyumba mpk leo....wao wanaendesha vipi Nchi? Sioni wako na resources za maana kama mafuta, misitu, makaa ya mawe hata viwanda, Nchi yao ndogo na msinambie anasaidiwa na US, US kumpa kila kitu kuna namna anasimama peke yake, hzo F35 et al , na missile, drone n.k ni gharama sana kutengeneza na kutumia, nategemea uchambuzi makin kutoka kwenu.
Hizo ni nadharia na hadithi za kusadidika zinazo aminiwa na wapumbavu.😂😂😂😂Siku ukijua kwamba unaodhani wanaiwezesha Israeli ndiyo wanaitegemea,utajisikiaje?
Kwa hiyo imetoka Israel?Hiyo simu au PC au Data unazotumia unatoa wapi? I mean the origin yake ni wapi?
Ukijua wapumbavu wenyewe mmoja wao unamuangalia kwenye kioo utajibu nini?Hizo ni nadharia na hadithi za kusadidika zinazo aminiwa na wapumbavu.
Likija suala la vita wanakuwa wamoja, hawa jamaa kwa vita ni balaa. Toka enzi za Mfalme Sauli hadi Daud.Israel ni taifa la vita. Wapo vitani hata kabla dini zenu hazijaanza duniani.
Jibu ni UWEKEZAJI