Israel inapata wapi pesa za kuendesha vita?

Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houth, Iran ,makundi mengine Syria , Iraq kama tu vita ya 78 dhidi ya Nduli tuliyumba mpk leo....wao wanaendesha vipi Nchi? Sioni wako na resources za maana kama mafuta, misitu, makaa ya mawe hata viwanda, Nchi yao ndogo na msinambie anasaidiwa na US, US kumpa kila kitu kuna namna anasimama peke yake, hzo F35 et al , na missile, drone n.k ni gharama sana kutengeneza na kutumia, nategemea uchambuzi makin kutoka kwenu.
Uchumi wa Israel ni karibu Dola billion 500.

Wakati uchumi wa Tanzania ni karibu billion 80-90.

Wana Watu million 9 pekee
 
Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houth, Iran ,makundi mengine Syria , Iraq kama tu vita ya 78 dhidi ya Nduli tuliyumba mpk leo....wao wanaendesha vipi Nchi? Sioni wako na resources za maana kama mafuta, misitu, makaa ya mawe hata viwanda, Nchi yao ndogo na msinambie anasaidiwa na US, US kumpa kila kitu kuna namna anasimama peke yake, hzo F35 et al , na missile, drone n.k ni gharama sana kutengeneza na kutumia, nategemea uchambuzi makin kutoka kwenu.
Wanapewa na mashoga na mabasha zao wamerekani.
 
Wanapewa misaada kutoka nje. Marekani anawatumia silaha na ana budget ya kuwafund kila mwaka.
Hezbollah na hamas wao wanakuwa funded na nchi kama qatar, iran na matajiri wengine wa kiarabu wanaowafund kwa siri kama watu binafsi.
Marekani na Israel wanategemea. Wayahudi ndiyo sponsor mkubwa wa vyama viwili vikubwa vya Marekani. Soma kuhusu AIPAC ndiyo utaelewa.
 
Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houth, Iran ,makundi mengine Syria , Iraq kama tu vita ya 78 dhidi ya Nduli tuliyumba mpk leo....wao wanaendesha vipi Nchi? Sioni wako na resources za maana kama mafuta, misitu, makaa ya mawe hata viwanda, Nchi yao ndogo na msinambie anasaidiwa na US, US kumpa kila kitu kuna namna anasimama peke yake, hzo F35 et al , na missile, drone n.k ni gharama sana kutengeneza na kutumia, nategemea uchambuzi makin kutoka kwenu.
kama huamiini msaada mkubwa wa myahudi unatoka US sisi tukwambie nini uelewe?
 
Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houth, Iran ,makundi mengine Syria , Iraq kama tu vita ya 78 dhidi ya Nduli tuliyumba mpk leo....wao wanaendesha vipi Nchi? Sioni wako na resources za maana kama mafuta, misitu, makaa ya mawe hata viwanda, Nchi yao ndogo na msinambie anasaidiwa na US, US kumpa kila kitu kuna namna anasimama peke yake, hzo F35 et al , na missile, drone n.k ni gharama sana kutengeneza na kutumia, nategemea uchambuzi makin kutoka kwenu.
Soma na ufahamu kuhusu AIPAC unafahamu wanaopata pesa.
 
Ebu tutajie aina ya ndege ya kivita inayo tengenezwa na Israel.
Eti anatengeneza ndege na kuiuzia Urusi na china hivi una akili?
Wewe unadhani mimi ni mweupe kichwani na maarifa, kama ulivyo wewe?

Kama ulienda shule, japo kidogo, soma hapa chini:

What aircraft are built in Israel?

Military aircraft

Kfir – fighter jet, developed from the Nesher. Nammer – fighter jet, updated version of the Kfir. Nesher – fighter jet, derivative of the French Mirage 5. ELTA-ELI-3001 – AISIS – Airborne Integrated SIGINT System.

Who makes the private jets in Israel?

Manufacturer. Israel Aircraft Industries (IAI) is Israel's major aircraft manufacturer. Founded in 1953 as Bedek Aviation, the company initially maintained military aircraft for the Israel Defence Forces before developing its own planes – including the IAI Arava, an aircraft designed for short takeoffs and landings.

Does China buy weapons from Israel?

China had looked to Israel for the arms and military technology it could not acquire from the United States, Europe and Russia. Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites
 
Jiongeze! Ukipigana na Israel unataka kupigana na Mungu mwenyewe! Kila nyumba na vyumba vina mlango! Mungu akitaka kuja duniani mlango wa kuingilia ni Israel! Israel ndo mlango wa Mungu kuingia duniani! Kwahiyo kama wewe ni muumini wa Mungu wa kweli na sio yule mungu anayekaa katika mfumo wa sayari (solar system) anayeabudiwa mungu jua, au yule mungu anayekaa kuzimu ambaye anaabudiwa na makabira karibu yoote duniani, inabidi uiombee Israel 🇮🇱. Mungu wa Israel 🇮🇱 ndo Mungu wa walokole ndo Mungu wa kweli!
We ni tahira Israel inayoua wapalestina kila siku itakuwa huyo mungu nae hajitambui
 
Back
Top Bottom