Israel inapata wapi pesa za kuendesha vita?

Umeandika vizuri ila huwezi fananisha uchumi wa Iran yenye vikwazo toka miaka ya 80 na Israel ambayo iko free tu haina vikwazo
 
Umeandika vizuri ila huwezi fananisha uchumi wa Iran yenye vikwazo toka miaka ya 80 na Israel ambayo iko free tu haina vikwazo
Mkuu situation ya Israel ni vikwazo tosha, imagine nchi ina mizozo enzi na enzi, kila siku ina hofu ya ugaidi! Huwezi sema iko free!
 
Hivi unajua yule jamaa wa Hamas aliyeuwa Tehran alikuwa Bilionea hapa Tanzania yote na east africa hakuna angemfikia...
 
Mkuu situation ya Israel ni vikwazo tosha, imagine nchi ina mizozo enzi na enzi, kila siku ina hofu ya ugaidi! Huwezi sema iko free!
Pamoja na yote huwezi fananisha na Iran ambayo imewekewa vikwazo na US toka mapinduzi yao yale mpaka leo, kwasababu Iran anawekewa vikwazo na Matajiri wengi, ila Israel huko kwa matajiri ndio kwake
 
Wewe ni mvulana wa 2000?
 
Nimemuuliza hivyo kwa sababu hata mtoto wa darasa la nne ana jua Israel uko hapo kwa mkono wa nani.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Siku ukijua kwamba unaodhani wanaiwezesha Israeli ndiyo wanaitegemea,utajisikiaje?
 
Jiongeze! Ukipigana na Israel unataka kupigana na Mungu mwenyewe! Kila nyumba na vyumba vina mlango! Mungu akitaka kuja duniani mlango wa kuingilia ni Israel! Israel ndo mlango wa Mungu kuingia duniani! Kwahiyo kama wewe ni muumini wa Mungu wa kweli na sio yule mungu anayekaa katika mfumo wa sayari (solar system) anayeabudiwa mungu jua, au yule mungu anayekaa kuzimu ambaye anaabudiwa na makabira karibu yoote duniani, inabidi uiombee Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ. Mungu wa Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ ndo Mungu wa walokole ndo Mungu wa kweli!
 
Akili uliobaki nayo ni ya kuvukia barabara tu
 
Umekula Leo
 


Hiyo simu au PC au Data unazotumia unatoa wapi? I mean the origin yake ni wapi?
 
Israel ni taifa la vita. Wapo vitani hata kabla dini zenu hazijaanza duniani.

Jibu ni UWEKEZAJI
Likija suala la vita wanakuwa wamoja, hawa jamaa kwa vita ni balaa. Toka enzi za Mfalme Sauli hadi Daud.

Aliyeweza kuwaumiza hawa ni Mfalme wa Babillon, aliwachapa vilivyo akaingia kwa hekalu lao la Jerusalem akachujua vyombo vyote vya madhabahu akasepa nayo pamoja na baadhi ya vijana werevu ya kiyahudi akiwemo Daniel.

Hamas washaonja utaam wa kuitisha vita na hawa jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ