Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Walijaribu ile mwanzo, walichokutana nacho hawarudii tena. Ndio maana wameamua Kubweka bweka TU🤣Iran hawezi mrushia Israel kisa Lebanon
Mkataba wa amani umeshasainiwa so huo mtego Iran hawatoingia. US ndio wana jukumu la kuwatuliza hao vibaraka wao kama ambavyo Iran imewatuliza PMZ, Houthi n.k kutoshambulia Israel.Walijaribu ile mwanzo, walichokutana nacho hawarudii tena. Ndio maana wameamua Kubweka bweka TU🤣
Walikua Israel ni kama Kuwait au Bahrain.
Netanyahu anawatamani sana, safari hii watakula vichwa vya Ghalibaf na Aragchi. Ndio maana unaona hao kina Ghalibaf ni wajanja, wanajua kuwa Hawa watu kukupeleka kuzimu ni dakika TU🤣🤣🤣
Cc: zitto junior , mdogoee , Adiosamigo
Poleni sana najua bado mna maumivu ya mkataba wa kusurrender kwa Iran. Vita na Iran imewashinda mnshabikia kuua watoto wa Lebanon?? Kwanini Israel asiende kupambana na Iran moja kwa moja mpaka alazimishe USA amsaidie? Kama bado hujaelewa kwanini Israel hawezi basi na wewe una akili mbovu kuliko Trump.Endeleeni kucheka na Netanyahu mkifikiri ana utani na nyie
Iran wataingia we subiri utaona afu hata Iran asipo ingia inatosha Hezbullah anavyo safirisha maiti kutoka Lebanon kwenda Israel mimi nasema USA na Europe wasiwasaidie Israel na uhakika 💯 Israel peke yake hawezi moto wa Hezbollah tatizo Europe wanafiki haswa France na UK na Germany wanajidai hatumsaidii Israel kumbe nyuma kwa nyuma wanawasaidia pia msisahau wako warabu pia UAE hata Israel alisema UAE kawasaidia kule Gaza kawapekekea vifaruu na pesa nyingi sana pia Jordan wanawasaidia Israel sana na pia India na nchi nyingi sana wanamsaidia Israel nyuma ya paziaIsrael inafanya mapigo na mwendo ndani ya Lebanon, Iran waanza kulia Rasmi.
Iran kama ilivyo kawaida Kubweka bweka, safari hii wameacha Kubweka wameanza kutoa milio. Watishia kuvunja negotiation
Iran walianza kusema kuwa Israel akiendelea na mashambulizi Lebanon basi Iran nao Watajibu kwa kushanmbulia Israel, lakini ulikua mkwara mbuzi, Israeli ikaendelea kumwaga moto bila majibu yoyote.
Sasa hivi wanasema watasitisha negotiation, wakati mwanzo walisema nao wataishambulia Israel . 🤣🤣
Wajaribu kurusha hata kijiko ndani ya Israel waone Tehran itavyowaka🤣
Au warushe hata sindano tu waone🤣🤣
Endeleeni kucheka na Netanyahu mkifikiri ana utani na nyie, muulizeni Ayatollah khamenei na mwenzake Larijani🤣
Cc; Adiosamigo
mdogoee
6 Pack
Ritz
zitto junior
Echolima1
Khaibar
100 others
View attachment 3611148
Kwa hiyo Iran anaogopa kujibu sababu ya mkataba? Mbona viongozi wake Kila siku wanabweka?Mkataba wa amani umeshasainiwa so huo mtego Iran hawatoingia. US ndio wana jukumu la kuwatuliza hao vibaraka wao kama ambavyo Iran imewatuliza PMZ, Houthi n.k kutoshambulia Israel.
Kama mlidhani Iran itarudi vitani na kuacha dili kubwa la ushindi basi mnadanganyana tu.
Ayatollah khamenei, Larijani, mawaziri, wakuu wa majeshi waliuliwa. Kwa hiyo hao ni watoto?Poleni sana najua bado mna maumivu ya mkataba wa kusurrender kwa Iran. Vita na Iran imewashinda mnshabikia kuua watoto wa Lebanon?? Kwanini Israel asiende kupambana na Iran moja kwa moja mpaka alazimishe USA amsaidie? Kama bado hujaelewa kwanini Israel hawezi basi na wewe una akili mbovu kuliko Trump.
Ila ndio hivyo endelea kuugulia maumivu. Wao Iran ndio kwanza wameruhusiwa kuuza mafuta na wanasubiri USD 24 Billion ziachiwe. Nyie endeleeni kutapatapa tu siku Trump akiwageukia ndio mtajua nani ni baba na nani ni kijakazi
Unaongea usichokijua..Walijaribu ile mwanzo, walichokutana nacho hawarudii tena. Ndio maana wameamua Kubweka bweka TU🤣
Walikua Israel ni kama Kuwait au Bahrain.
Netanyahu anawatamani sana, safari hii watakula vichwa vya Ghalibaf na Aragchi. Ndio maana unaona hao kina Ghalibaf ni wajanja, wanajua kuwa Hawa watu kukupeleka kuzimu ni dakika TU🤣🤣🤣
Cc: zitto junior , mdogoee , Adiosamigo
Hueleweki, Iran wataingia au hawataingia? Simama sehemu MojaIran wataingia we subiri utaona afu hata Iran asipo ingia inatosha Hezbullah anavyo safirisha maiti kutoka Lebanon kwenda Israel mimi nasema USA na Europe wasiwasaidie Israel na uhakika 💯 Israel peke yake hawezi moto wa Hezbollah tatizo Europe wanafiki haswa France na UK na Germany wanajidai hatumsaidii Israel kumbe nyuma kwa nyuma wanawasaidia pia msisahau wako warabu pia UAE hata Israel alisema UAE kawasaidia kule Gaza kawapekekea vifaruu na pesa nyingi sana pia Jordan wanawasaidia Israel sana na pia India na nchi nyingi sana wanamsaidia Israel nyuma ya pazia
Tazama maiti hao kutoka Lebanon
View: https://youtu.be/mYpe2-TCCtU?si=Smhitn3juKlri96X
Nisichojua kipi? Unafikiri Aragchi na Ghalibaf hawapendi kuishi?? Wanajua fika kuwa wanaliwa fasta tu endapo Israel itashambulia tena IranUnaongea usichokijua..
Mbona ilijibu au wewe unaishi dunia gani. Tarehe 7 na 8 iran walirusha makombora Northern Israel na baada ya hapo US iliingilia na kuahidi Iran kuwa Israel itapunguza mashambulizi Lebanon.Kwa hiyo Iran anaogopa kujibu sababu ya mkataba? Mbona viongozi wake Kila siku wanabweka?
Kila siku Iran anaombwa?🤣🤣We kenge mtoa mada USA kamuomba Iran asimpige leo Israel sababu Iran slitaka shambulia leo Israel kambiwa ukijidai mamba tunamuwachia Iran peke yako akutia adabu Israel kainua bendera kwanza alijidai hauhusiki na huo mkataba wa USA na Iran hahaha
View: https://www.youtube.com/live/e2RgSa1Wt5o?si=-cc3doO4P-RYWwDO
Tatizo wewe kenge hufahamu Iran ni USA ndiye alimuomba asimshambulie Israel na Iran alimuambia USA kama Israel haipo kwenye mkataba mimi tamshambulia USA akamwambia Israel ukijidai haupo kwenye mkataba kati ya Iran na USA basi kitakacho kupata sisi hatupo na wewe utapigana na Iran bila support kutoka USA imebidi mashoga kule Israel yakubali hayata shambulia Lebanon tena hahahaHueleweki, Iran wataingia au hawataingia? Simama sehemu Moja
Israel peke yake hawezi?? Hiki kiburi ndio kiliwaponza khamenei na larijani, sasa hivi wapo kuzimu 🤣🤣
Nimekuuliza uliona clip ya Trump akisema pasipo US Israel ingepigwa imalizwe.. Uliona hio clip? Hizi nyuzi unajisumbua bure tu lakini finally pro Israel mwenyewe Trump amekiri.. Kwamba Israel pasipo US hana uwezo kukabiliana na Iran.Nisichojua kipi? Unafikiri Aragchi na Ghalibaf hawapendi kuishi?? Wanajua fika kuwa wanaliwa fasta tu endapo Israel itashambulia tena Iran
Nyie ndio mliponza larijani hadi akafanya maandamano mtaani, kesho yake wayahudi wakambamiza mabomu zaidi ya 10🤣
Huyu Ayatollah wa sasa ni mjanja, anaongelea shimonj mwezi wa tatu sasa, hakuna hata aliyemuona