Israel Inapiga Bila Kuchoka Lebanon, Iran ni Vilio TU Na Kubweka

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilikuambia kuwa Aragchi na Ghalibaf hawataki kufa kizembe kama wenzao.

Netanyahu hana utani, anatafuta sana sababu ya kuwapeleka kuzimu, wao wameshtuka.
Hamna lolote wewe dunia nzima imeisha fahamu Israel kaishiwa hana jipya na wamefahamu Netanyahu yeye hajali Waisrael wafe anacho tafuta abaki kwenye vita ili abaki kwenye kiti hahaha ndio sababu wamemuambia Iran asifanye haraka kumtandika Hezbullah inatosha kumtia adabu.

Anacho tafuta Netanyahu USA abaki kwenye vita na Iran hapo ndio anamategemeo ya kubaki kwenye kiti.

Sa yeye Israel mkataba wa USA na Iran hamuhusu mbona hashambulii Iran hilo ndio swali.

Pia kule Lebanon kwanini anavunja majumba ya raia wasio na makosa sababu ana maboom mengi kapewa na America sio ya kuvunja majumba

Israel hana lolote dogo we tulia uone Hezbullah atakavyo safirisha maiti hivi leo unajua wangapi Hezbullah kasafirisha pia kule Hormuz Iran kisha fungal hakuna kupita meli na si ajabu Iran akamtabdika Israel we ngojea utaona vita vinarudi kwa speed .Day-to-day sio mrefu unless Israel abaki kwenye box lake ama sivyo kipigo kipo njiani.
 
Hivyo vita vya ardhini Iran hawezi ndio maana anakaa mbali na kurusha makombora angekuwa anavijua angeenda Lebanon kuwasaidia magaidi wa Hezbollah ili "kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia" lakini anagwaya anajua nini kitakacho mkuta.
Mtu akiwa kenge anabaki kuwa kenge hebu nionyeshe wapi Israel kawaface uso kwa uso Hezbullah zaid ya kurusha maboom na sehemu alipo ingia Lebanon kumbuka ni sehemu ambayo Hezbullah alikuwa hayupo sababu Hezbullah alikuwa nyuma ya mto Litani ni makosa ya serekali ya Lebanon kujidai wamesign peace na Israel na kuwambia Hezbullah waende umbali wa km karibu 30 kutokea mpakani hapo ndipo walimpo mpa chance ya kuvamia ardhi ya Lebanon na ndio kwa sasa anajidai hatoki lakini Hezbullah wamemuambia atatoka tu leo kule Lebanon askari wengi sana wa Israel wamepigwa yellow card na sio ajabu labda wako walio pigwa red card sema Israel wanaficha hawatoi ukweli

Afu kenge anatuambia Iran hawezi kupigana face to face na Israel hivi wewe hujui Iran alipigana miaka zaidi ya minane na Iraq na nchi zote za kiarabu zilikuwa zikimsaidia Iraq na pia USA na western lakini hawakuweza kumshinda vita Iran hio vita ilistopishw bada ya dunia kumbembeleza sana Khomeni Afu aje kifaranga eti apigane face to face na Iran hahaha kweli kenge atabaki kuwa kenge tu

View: https://youtu.be/ihDRV8nB1N8?si=_IpRzTmVt6JJygY2
 
Nimekuuliza uliona clip ya Trump akisema pasipo US Israel ingepigwa imalizwe.. Uliona hio clip? Hizi nyuzi unajisumbua bure tu lakini finally pro Israel mwenyewe Trump amekiri.. Kwamba Israel pasipo US hana uwezo kukabiliana na Iran.

Tukiwa tunawaambia ukweli kuweni waelewa.
Ni wajinga wachache ambao hawatambui Israel iko pale kwasababu ya USA na Uingereza tofauti na hapo Israel hata M23 haiwawezi
 
Umekazia sana viongozi wa Iran kuuawa..
Hoja dhaifu sana..
Viongozi wakuu kuuwawa ni hoja dhaifu? Watu Kila mara wanapoamua wanaingia nchini kwako wanaua viongozi wa juu alafu unasema hoja dhaifu? Unaongea hivi sababu wewe bado unaishi, unafikiri larijani akipewa nafasi ya pili ya kurudi duniani ataongea kama wewe? Think bro 🤣

Khamenei kauliwa ikatangazea jihad Dunia nzima, unasema hoja dhaifu? Imewahi lini kutangazwa jihad Dunia nzima?
 
Wakurds wapo milimani huko wanapambania kurdistan yao huko wakivamia uturuki, Syria na Iraq sasa Iran ipambane kwa ajili gani ila wangejichanganya kushirikiana na Israel kuvamia Tehran basi ingekua mwisho wao. Maana yale makombora ya Iran yangesambaratisha makazi yao yote.

Kama mtu sio threat kwako hauna mpango naye
Sio threat kivupi wakati Kila mara wsnapigana na kuuana?
 
Wapi imeandikwa Kuwa Iran wataifuta Israel? Unaweza nionyesha kwenye hiyo habari?

Nimebadili na nani? Yeye alitishia wazi wazi kuangamiza wairan wote ndani ya usiku mmoja.

Ila haizungumzwi popote hiyo kauli cha ajabu mnaokoteza vikauli na kudai Iran imetishia kuifuta Israel. Huu unafiki vipi
Tunaokoteza kauli? Miaka na miaka Iran wamesema kuwa wataifuta Israel.

Hii ni 2005 raisi wa nchi aliutoa hiyo kauli, alafu unasema tunaokoteza.
Screenshot_20260620-175642.png
 
Hamna lolote wewe dunia nzima imeisha fahamu Israel kaishiwa hana jipya na wamefahamu Netanyahu yeye hajali Waisrael wafe anacho tafuta abaki kwenye vita ili abaki kwenye kiti hahaha ndio sababu wamemuambia Iran asifanye haraka kumtandika Hezbullah inatosha kumtia adabu.

Anacho tafuta Netanyahu USA abaki kwenye vita na Iran hapo ndio anamategemeo ya kubaki kwenye kiti.

Sa yeye Israel mkataba wa USA na Iran hamuhusu mbona hashambulii Iran hilo ndio swali.

Pia kule Lebanon kwanini anavunja majumba ya raia wasio na makosa sababu ana maboom mengi kapewa na America sio ya kuvunja majumba

Israel hana lolote dogo we tulia uone Hezbullah atakavyo safirisha maiti hivi leo unajua wangapi Hezbullah kasafirisha pia kule Hormuz Iran kisha fungal hakuna kupita meli na si ajabu Iran akamtabdika Israel we ngojea utaona vita vinarudi kwa speed .Day-to-day sio mrefu unless Israel abaki kwenye box lake ama sivyo kipigo kipo njiani.
Unamaliza miti TU , watu walisubiri kuona Iran ilifanya kile ilichosema lakini wamenywea.
Mimi nawaelewa sababu hao wakiopi sasa wanapenda kuishi, ndio maana Ayatollah mpya anaishi kwenye mahandaki Hadi Leo anaogopa kujitokeza hadharani 🤣🤣
20260620_173922.jpg
 
Mtu akiwa kenge anabaki kuwa kenge hebu nionyeshe wapi Israel kawaface uso kwa uso Hezbullah zaid ya kurusha maboom na sehemu alipo ingia Lebanon kumbuka ni sehemu ambayo Hezbullah alikuwa hayupo sababu Hezbullah alikuwa nyuma ya mto Litani ni makosa ya serekali ya Lebanon kujidai wamesign peace na Israel na kuwambia Hezbullah waende umbali wa km karibu 30 kutokea mpakani hapo ndipo walimpo mpa chance ya kuvamia ardhi ya Lebanon na ndio kwa sasa anajidai hatoki lakini Hezbullah wamemuambia atatoka tu leo kule Lebanon askari wengi sana wa Israel wamepigwa yellow card na sio ajabu labda wako walio pigwa red card sema Israel wanaficha hawatoi ukweli

Afu kenge anatuambia Iran hawezi kupigana face to face na Israel hivi wewe hujui Iran alipigana miaka zaidi ya minane na Iraq na nchi zote za kiarabu zilikuwa zikimsaidia Iraq na pia USA na western lakini hawakuweza kumshinda vita Iran hio vita ilistopishw bada ya dunia kumbembeleza sana Khomeni Afu aje kifaranga eti apigane face to face na Iran hahaha kweli kenge atabaki kuwa kenge tu

View: https://youtu.be/ihDRV8nB1N8?si=_IpRzTmVt6JJygY2

Israel Wana mbinu zaidi ya 10000 za iumpiga adui, na huwa wanajua adui alipo muda wowote na muda gani wa kumtwanga. Huwezi elewa haya kama bado unaishi, ila Hassan Nasrallah ambae yupo kuzimu anaelewa vizuri somo, japo alikua mbishi kuliko wewe🤣🤣
 
Kuhusu suala la kuliwa vichwa hapo ungenyamaza TU, ayatollah Khamenei na majenerali wake waliuliwa vichwa fasta sana, wapambe wake kina larijani nao wakawahishwa fasta kwenda kuzimu
Sio lost ,naona unalia dogo .. Jihadists kifo ni heshima
 
Israel Wana mbinu zaidi ya 10000 za iumpiga adui, na huwa wanajua adui alipo muda wowote na muda gani wa kumtwanga. Huwezi elewa haya kama bado unaishi, ila Hassan Nasrallah ambae yupo kuzimu anaelewa vizuri somo, japo alikua mbishi kuliko wewe🤣🤣
Wameshindwa kuzuia Missiles za Iran na wameshindwa kuzia drones za Hezbullah na Missiles zao kule Lebanon jana maiti 29 leo sijui wangapi eti wana mbinu si ndio walimuingiza mkenge Trump eti Iran ukisha uwa viongozi kwisha tena kwa kumvizia walidai wanaongelea peace kumbe wamisha panga njama za kuwashambulia hao viongozi walijua watakuwa hawana wasi wasi sababu hawapo kwenye vita afu mnajisifia eti Israel wana mbinu labda mbinu za kuibia kama mtu aibie mtihani afu ajisifie ana akili ndio Israel na vichaa wanao muamini hahaha
 
Unamaliza miti TU , watu walisubiri kuona Iran ilifanya kile ilichosema lakini wamenywea.
Mimi nawaelewa sababu hao wakiopi sasa wanapenda kuishi, ndio maana Ayatollah mpya anaishi kwenye mahandaki Hadi Leo anaogopa kujitokeza hadharani 🤣🤣
View attachment 3611831
Nyie ni wajinga tu hata Ali Khomen msinge weza kumuuwa sema kujidai mpo kwenye mazungumzo ya amani ndio mkaenda kumshambulia tatizo wakristo na wayahudi wengi wao wana lana ya uwongo ndio sababu uwongo kwao nikitu cha kawaida sana

Iran leo alikuwa amchape Israel imebidi Israel akunje kia kaamua kusimamisha vita Lebanon sababu Hormuz Iran kaifunga na leo ilikuwa Israel ale kichapo cha Iran Nyau na yule wazi wake wa majeshi wameamua kusimamisha mashambulizi Lebanon je Iran watajizuia kuipiga Israel sababu sharti la Iran ni atoe majeshi yake Lebanon pia

View: https://youtu.be/Er2DwAHGhRQ?si=F_0IC1DowWEEcTEn
 
Wameshindwa kuzuia Missiles za Iran na wameshindwa kuzia drones za Hezbullah na Missiles zao kule Lebanon jana maiti 29 leo sijui wangapi eti wana mbinu si ndio walimuingiza mkenge Trump eti Iran ukisha uwa viongozi kwisha tena kwa kumvizia walidai wanaongelea peace kumbe wamisha panga njama za kuwashambulia hao viongozi walijua watakuwa hawana wasi wasi sababu hawapo kwenye vita afu mnajisifia eti Israel wana mbinu labda mbinu za kuibia kama mtu aibie mtihani afu ajisifie ana akili ndio Israel na vichaa wanao muamini hahaha
Exactly, kipindi ambacho US inawaaminisha Iran kwamba wapo kwenye mazungumzo na hakuna vita itatokea, ndipo wakafanya mauaji ya kushtukiza.

Kwa hiko kitendo ndio maana imekuwa ngumu sana hivi sasa Iran kumuamini tena Trump, na pia Iran wamekuwa na msimamo mkali sana kuliko mwanzoni, maana ile imani haipo tena, tumeshuhudia jinsi suala la makubaliano lilivyokuwa vuta nikuvute.
 
Israel Wana mbinu zaidi ya 10000 za iumpiga adui, na huwa wanajua adui alipo muda wowote na muda gani wa kumtwanga. Huwezi elewa haya kama bado unaishi, ila Hassan Nasrallah ambae yupo kuzimu anaelewa vizuri somo, japo alikua mbishi kuliko wewe🤣🤣
Huna hoja nyingine , ulichobakiza ni kuisifu Israel kwenye kufanya mauaji ...

Labda nikuuize, baada ya hayo mauaji Israel imefanikiwa kipi? badala yake Iran imeshinda..

Israel ilitumia resources zote, fedha mamilioni ya dollar kununua taarifa za viongozi wa Iran, ni mission wameifanya kwa muda mrefu na kwa matumaini wakiua viongozi flani wa kijeshi na siasa Iran basi ndio anguko la Iran. Maana walifahamu wazi kivita haitowezekana.

Na kuishinikiza US iingie vitani matokeo yake ndio kama haya, hakuna walichopata, na hio intel yao ilikuwa ni ya uongo kwamba ukiua majenerali wa jeshi basi Iran itaanguka...

Kiko wapi sasa, hivi sasa Israel inafuata matakwa ya Iran kupitia US, what a shame, ujanja wote mfukoni...

Hoja uliyobakiza ni viongozi wa kijeshi na kisiasa wa Iran kuuawa, mbona JFK wa US aliuawa hadharani kwa kulengwa na sniper? mbona Trump alilengwa na kukoswa na risasi na ulinzi ulikuwepo mkali? Ndio maana nasema hoja zako ni dhaifu...

Kuipa Israel u superior kisa wameua viongozi wa Iran haina maana yeyote, maana hawakufanikisha walilopanga, mission ilikuwa failed, sawa umewaua umepata nini?
 
Mtu akiwa kenge anabaki kuwa kenge hebu nionyeshe wapi Israel kawaface uso kwa uso Hezbullah zaid ya kurusha maboom na sehemu alipo ingia Lebanon kumbuka ni sehemu ambayo Hezbullah alikuwa hayupo sababu Hezbullah alikuwa nyuma ya mto Litani ni makosa ya serekali ya Lebanon kujidai wamesign peace na Israel na kuwambia Hezbullah waende umbali wa km karibu 30 kutokea mpakani hapo ndipo walimpo mpa chance ya kuvamia ardhi ya Lebanon na ndio kwa sasa anajidai hatoki lakini Hezbullah wamemuambia atatoka tu leo kule Lebanon askari wengi sana wa Israel wamepigwa yellow card na sio ajabu labda wako walio pigwa red card sema Israel wanaficha hawatoi ukweli

Afu kenge anatuambia Iran hawezi kupigana face to face na Israel hivi wewe hujui Iran alipigana miaka zaidi ya minane na Iraq na nchi zote za kiarabu zilikuwa zikimsaidia Iraq na pia USA na western lakini hawakuweza kumshinda vita Iran hio vita ilistopishw bada ya dunia kumbembeleza sana Khomeni Afu aje kifaranga eti apigane face to face na Iran hahaha kweli kenge atabaki kuwa kenge tu

View: https://youtu.be/ihDRV8nB1N8?si=_IpRzTmVt6JJygY2

Naona wewe ndio kweli ulifuzu mafunzo ya madrasa kwa sababu una shahada ya uzamivu ya matusi ambayo kwenu ni ibada.

Iran anaogopa nini si apeleke jeshi Lebanon aifute Israel kwenye ramani ya dunia anaogopa nini ile ndoto yake ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia itatimia lini.
 
Wangetaka kuifuta basi Pakistan wangeshapiga nuclear za kutosha Tel aviv maana hawatambui taifa la Israel na wanatambua taifa la palestina. Kwahiyo hii hoja kuwa Iran au waarabu wanataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ni Propaganda.

In fact Israel ndio wana mpango unaitwa Samson option wa kulipua nuclear mataifa yote makubwa na pale ikivamiwa na kushindwa vita. Ila sijawahi ona mkisema Israel ina mpango wa kuifuta dunia!!
Porojo tu hizo nani wa kuivamia Israel na kuifuta kwenye ramani ya dunia. Waliokuwa na hizo ndoto feki akina Ayatollah ndio wanakufa na kuiacha Israel.
 
Back
Top Bottom