Israel Inapiga Bila Kuchoka Lebanon, Iran ni Vilio TU Na Kubweka

Israel Inapiga Bila Kuchoka Lebanon, Iran ni Vilio TU Na Kubweka

Sawa nakubaliana na wewe Iran hapo karegeza kamba.lakini subiri mda utaongea lakini pia usisahau Hezbullah na yeye anashambulia North Isreal ni balaa na huko Lebanon anawamaliza askari wa Israel
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilikuambia kuwa Aragchi na Ghalibaf hawataki kufa kizembe kama wenzao.

Netanyahu hana utani, anatafuta sana sababu ya kuwapeleka kuzimu, wao wameshtuka.
 
Kwahiyo wakipiga targets unasifia Israel, ila zikiangushwa unadai ni za USA pekee. Maana yake USA ndio inatumika zaidi vitani Israel wanategea tu kwa mbali ndio maana hata losses kubwa kapata USA maana ndio alikuja wazi wazi sio Israel anasubiri US ishambulie yeye anakuja nyuma na kukimbia.

Unaweza weka source ya taarifa yako? Inakuaje mtu makini kama wewe unaamini taarifa feki ambazo haziko verified?

Unapotosha mfano refuelling planes walipewa na USA, haya B2 bombers zilizolipuwa Fordo na Natanz zilikua za USA, pia Air defense za US zilitumika kuintercept makombora ya Iran yaliyokua yanaelekezwa Israel. Sasa unasemaje USA haikuhusika? Kwanini mnapotosha?

Usipindishe, hat JD vance kasema pia kuwa bila silaha na nguvu ya USA hao Israel wasingeweza kupigana na Iran na video zipo kibao tu YouTube. Unakataa ukweli ulio wazi
Unakataa kuwa Iran walikua hawalalamiki Israel wanatumia uchawi?

Mbona taarifa ilikua wazi kabisa, mwaka Jana kwenye vita ya siku 12 Iran walilalamika Israel wanatumia uchawi🤣
Screenshot_20260620-140551.png

Screenshot_20260620-140649.png

Cc: Hamatan
 
Akili zake anaelewa alichosema Trump kuhusu kutokuwepo kwa Israel kwamba Iran kutumia nuclear.... Trump amemaanisha anguko la taifa la Israel na rasmi inakuwa Palestine, maana Iran huwa hawasemi Israel, huwa wanasema ni Palestine. Israel hawaitambui.

Israel ikishambuliwa miundombinu ya kiraia, ni mwezi tu watu wote watakimbilia US na EU walipotokea.. Israel itazungukwa na kushambuliwa vibaya kabla serikali haijaanguka na viongozi kukimbia nchi... Hivyo Trump anasema kweli..
Wakati huo hayo yakifanyika Netanyahu na vijana wake watakua wanakunywa chai?

Hiyo ndoto uliyonayo ndio imefanya hata Leo hii tusiwe na mzee wa watu Ayatollah khamenei 😭

Mlimjaza upepo mzee wa watu kuwa anaweza kuifuta Israel, mwisho kafutwa yeye🤣🤣

Kuna yule kamanda mkuu wa Basij, alisema yeye na jeshi lake IRGC wanaipa Israel wiki Moja TU, mwisho wake yeye hakuchukua hata masaa 24 wakampeleka kuzimu. Msicheze na Netanyahu, shauri yenu kama hamuelewi
 
Kwahiyo wakipiga targets unasifia Israel, ila zikiangushwa unadai ni za USA pekee. Maana yake USA ndio inatumika zaidi vitani Israel wanategea tu kwa mbali ndio maana hata losses kubwa kapata USA maana ndio alikuja wazi wazi sio Israel anasubiri US ishambulie yeye anakuja nyuma na kukimbia.
Mwaka Jana vita ya siku 12 Israel walikua wanazurura hapo Tehran na sehemu yote ya nchi peke Yao kwa kadri walivyotaka, US walihusika kwenye kusaidia kushambulia nuclear plants TU. Lakini mashambulizi mengine yote ni Israel ndio walifanya.

Israel muda wowote saa yoyote huwa wanaingiza ndege zao humo Iran na kumchomoa yoyote wanayemtaka, mwaka Jana Trump ndio aliwazuia Israel wasimuue khamenei, mwaka huu Israel wakamgomea wakasema lazima aende kuzimu🤣🤣

20260617_123548.jpg


Cc: 100 others , Adiosamigo
 
Wakati huo hayo yakifanyika Netanyahu na vijana wake watakua wanakunywa chai?

Hiyo ndoto uliyonayo ndio imefanya hata Leo hii tusiwe na mzee wa watu Ayatollah khamenei 😭

Mlimjaza upepo mzee wa watu kuwa anaweza kuifuta Israel, mwisho kafutwa yeye🤣🤣

Kuna yule kamanda mkuu wa Basij, alisema yeye na jeshi lake IRGC wanaipa Israel wiki Moja TU, mwisho wake yeye hakuchukua hata masaa 24 wakampeleka kuzimu. Msicheze na Netanyahu, shauri yenu kama hamuelewi
Netanyahu ana kitu gani? Ni mzee umri umekwenda, anasumbuliwa na maradhi na ana kesi za ufisadi pamoja na warranty kutoka ICC.

Akitoka tu madarakani hachukui muda kabla ya kufunguliwa kesi mbali mbali na jinsi ni mzee na afya yake ni mgogoro hatochukua muda.

Pona yake ni kuanzisha vita kila kukicha ili asitoke madarakani.
 
Kawaulize kilichowakuta Egypt, Syria, Jordan na Lebanon🤣🤣🤣
Kiliwakuta nini? Israel si ilivamia kwanza na kulipua ndege zote na maghala ya silaha sio kwamba ilivamiwa ndio ika repel. Ila pia ilisaidiwa na meli vita za USA kwa intelijensia na kurusha makombora.

Sasa hao wote hakuna mwenye hta nusu ya nguvu ya Iran ya sasa, imagine nini kitatokea siku ikivamiwa by land na nchi yenye watu 100 million na drones malaki!!
 
Au nikuulize hao Hezbollah kwa nn wasiingie kufanya hivyo? Si wanapatiwa msaada mkubwa na Iran. Makamanda wakubwa Waliokua na hiyo ndoto wanazamishwa haraka haraka kwenda kuzimu. R.I.P Hassan Nasrallah, huyu alishindiliwa mabomu 17 akiwa amejificha chini ya ardhi MITA za kutosha🤣🤣
Hezbollah ni kikundi tu hakina ndege vita hata, ni infantry zaidi na Israel inatumia air superiority kupambana ila Hezbollah kikipigana na majeshi ya ardhini kma kuwafuta ISIS na kuzuia Assad kupinduliwa ilifanikiwa.

Ile sio jeshi la kitaifa, so ni aibu kujiona wababe kwa kupambana na kikundi nyie mnatakiwa mpambane na jeshi la nchi kabisa sio Hamas na Hezbollah.

Netanyahu aje Iran bila USA ndio tuone ubabe wake
 
Kiliwakuta nini? Israel si ilivamia kwanza na kulipua ndege zote na maghala ya silaha sio kwamba ilivamiwa ndio ika repel. Ila pia ilisaidiwa na meli vita za USA kwa intelijensia na kurusha makombora.

Sasa hao wote hakuna mwenye hta nusu ya nguvu ya Iran ya sasa, imagine nini kitatokea siku ikivamiwa by land na nchi yenye watu 100 million na drones malaki!!
Iran hiyo nguvu anaitumia wapi ikiwa Israel Kila muda anaingia sebuleni kwake na kumchomoa yoyote wanayemtaka?

Uwe na nguvu hizo, alafu taifa lingine like liingie kwako muda wowote na kuua kiongozi yoyote wanayemtaka? Acha basi utani wako braza🤣
 
R.I.P kwa Ayatollah khamenei, huyu walimshindilia mabomu mazito 22 wakatawanyisha Kila kiungo chake, Iran wakaapa kulipa kisasi Hadi Leo kimya waliishia kurusha rusha tu missiles🤣🤣
So what? Nini kimebadilika? Kama ushindi wa vita ni kuua viongozi 20 kwenye nchi ya watu million 100 basi Hitler kuua wayahudi million 6 angekua mshindi wa World War II.
 
Hezbollah ni kikundi tu hakina ndege vita hata, ni infantry zaidi na Israel inatumia air superiority kupambana ila Hezbollah kikipigana na majeshi ya ardhini kma kuwafuta ISIS na kuzuia Assad kupinduliwa ilifanikiwa.

Ile sio jeshi la kitaifa, so ni aibu kujiona wababe kwa kupambana na kikundi nyie mnatakiwa mpambane na jeshi la nchi kabisa sio Hamas na Hezbollah.

Netanyahu aje Iran bila USA ndio tuone ubabe wake
Kumbe hujui kupambana na vikundi hivyo ni ngumu kiasi gani sababu hawana maneno Rasmi na wanajichanganya sana na raia. Unasema Iran Wana nguvu Mbona hawajawamaliza wale wakurdi?

Ukubwa wa Iran na nguvu unazosema Mbona wameshindwa kuwafuta wale wanamgambo wa kurdi?
 
Hivyo vita vya ardhini Iran hawezi ndio maana anakaa mbali na kurusha makombora angekuwa anavijua angeenda Lebanon kuwasaidia magaidi wa Hezbollah ili "kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia" lakini anagwaya anajua nini kitakacho mkuta.
Wangetaka kuifuta basi Pakistan wangeshapiga nuclear za kutosha Tel aviv maana hawatambui taifa la Israel na wanatambua taifa la palestina. Kwahiyo hii hoja kuwa Iran au waarabu wanataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ni Propaganda.

In fact Israel ndio wana mpango unaitwa Samson option wa kulipua nuclear mataifa yote makubwa na pale ikivamiwa na kushindwa vita. Ila sijawahi ona mkisema Israel ina mpango wa kuifuta dunia!!
 
So what? Nini kimebadilika? Kama ushindi wa vita ni kuua viongozi 20 kwenye nchi ya watu million 100 basi Hitler kuua wayahudi million 6 angekua mshindi wa World War II.
Iran walipandisha bendera nyekundu na kusema watalipa kisasi kwa kuuliwa kiongozi wao wa kiimani. Wakaenda mbali na kusema wanatangaza jihad dunia nzima🤣

Hakuna cha jihad Wala kisasi chochote, Kubweka tu
 
Unasema Iran Wana nguvu Mbona hawajawamaliza wale wakurdi?
Kwanini wawamalize? Hujui Iran na wakurdi walishirikiana kuwafuta ISIS na Al qaeda huko Iraq na Syria? Hao kurds wanapambania nchi yao hawana shida na Iran in fact kwenye vita ya iraq-iran hao kurds waliwasaidia Iran kupambana na Saddam Hussein. Ndio maana baada ya Trump kuwapa silaha kurds walipotezea vita maana hawakuwa na sababu ya kupambana
 
Wangetaka kuifuta basi Pakistan wangeshapiga nuclear za kutosha Tel aviv maana hawatambui taifa la Israel na wanatambua taifa la palestina. Kwahiyo hii hoja kuwa Iran au waarabu wanataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ni Propaganda.
Hii ndio mnaita taqeyyah? Viongozi wa Iran kwa muda mrefu tu wamekua walisema wataifuta Israel. Hata huyu wa sasa mojtaba hivi karibuni alisema Israel itafutika miaka 15 inayokuja. Huwa Mbona Raha kufanya taqeyyah?
Screenshot_20260620-150805~3.png
 
Hii ndio mnaita taqeyyah
Ndio nini? Mimi sio muislam
Viongozi wa Iran kwa muda mrefu tu wamekua walisema wataifuta Israel. Hata huyu wa sasa mojtaba hivi karibuni alisema Israel itafutika miaka 15 inayokuja. Huwa Mbona Raha kufanya taqeyyah?
Will not exist ndio kusema TUTAIFUTA?

Trump literally alisema ATAKIFUTA kizazi kizima cha Iran na sijasikia mkisema lolote ila hiyo kauli angetoa Khamenei Iran ingevamiwa na mataifa yote.
 
Kwanini wawamalize? Hujui Iran na wakurdi walishirikiana kuwafuta ISIS na Al qaeda huko Iraq na Syria? Hao kurds wanapambania nchi yao hawana shida na Iran in fact kwenye vita ya iraq-iran hao kurds waliwasaidia Iran kupambana na Saddam Hussein. Ndio maana baada ya Trump kuwapa silaha kurds walipotezea vita maana hawakuwa na sababu ya kupambana
Naona umeanza kufanya taqeyyah. Wakurdi wanapambana na Iran Kila mara, unahisi Iran wao hawana lengo la kuwanaliza hao? Sawa na useme congo Haina lengo la kuwanaliza m23

Kuhusu kusaidiana kupambana na adui hata Israel na Iran walishirikiana dhidi ya saddam
 
Ndio nini? Mimi sio muislam

Will not exist ndio kusema TUTAIFUTA?

Trump literally alisema ATAKIFUTA kizazi kizima cha Iran na sijasikia mkisema lolote ila hiyo kauli angetoa Khamenei Iran ingevamiwa na mataifa yote.
Huelewi nini wanamaanisha walisema wataiangamiza Israel? Huyu Trump si mlikubalina hajui anachosema, ni mropokaji, kachanganyikiwa, ni muongo n.k. au mmebadili kauli?
 
Iran hiyo nguvu anaitumia wapi ikiwa Israel Kila muda anaingia sebuleni kwake na kumchomoa yoyote wanayemtaka?

Uwe na nguvu hizo, alafu taifa lingine like liingie kwako muda wowote na kuua kiongozi yoyote wanayemtaka? Acha basi utani wako braza🤣
Umekazia sana viongozi wa Iran kuuawa..
Hoja dhaifu sana..
 
Wakurdi wanapambana na Iran Kila mara, unahisi Iran wao hawana lengo la kuwanaliza hao? Sawa na useme congo Haina lengo la kuwanaliza m23
Wakurds wapo milimani huko wanapambania kurdistan yao huko wakivamia uturuki, Syria na Iraq sasa Iran ipambane kwa ajili gani ila wangejichanganya kushirikiana na Israel kuvamia Tehran basi ingekua mwisho wao. Maana yale makombora ya Iran yangesambaratisha makazi yao yote.

Kama mtu sio threat kwako hauna mpango naye
 
Huelewi nini wanamaanisha walisema wataiangamiza Israel?
Wapi imeandikwa Kuwa Iran wataifuta Israel? Unaweza nionyesha kwenye hiyo habari?
Huyu Trump si mlikubalina hajui anachosema, ni mropokaji, kachanganyikiwa, ni muongo n.k. au mmebadili kauli
Nimebadili na nani? Yeye alitishia wazi wazi kuangamiza wairan wote ndani ya usiku mmoja.

Ila haizungumzwi popote hiyo kauli cha ajabu mnaokoteza vikauli na kudai Iran imetishia kuifuta Israel. Huu unafiki vipi
 
Back
Top Bottom